Kwa sasa, mita nyingi za Luku zinaondolewa Tariff Zero

Kimsingi haukulipa hela TANESCO kwa kuwa malipo kwa mkandarasi ni makubaliano yenu hivyo fika ofisi unaa za taratibu na ulipe kwa kupitia control number utakayopewa.
Sasa mbona TANESCO ndio walionielekeza kwa contractor na waliniambia mikipata risiti ya contractor nirejeshe kwao ili kazi iweze kuanza?Mkuu upo mchezo usiokubalika hapa.Worse still TANESCO walijua nature ya kazi,kwamba ni kuweka mita tu,lakini waling'ania niende kwa Contractor.Sasa mkuu let us be realistic,katika mazingira ya namna hii nitaiamije TANESCO?
 
Tafadhali tofautisha malipo ya kazi ya mkandarasi aliyokufanyia na gharama za kufungiwa umeme.Mkandarasi wala mtu yeyote mwingine hapaswi kupokea malipo kwa niaba ya TANESCO, Je ulimlipa ya nini?
 
Tafadhali tofautisha malipo ya kazi ya mkandarasi aliyokufanyia na gharama za kufungiwa umeme.Mkandarasi wala mtu yeyote mwingine hapaswi kupokea malipo kwa niaba ya TANESCO, Je ulimlipa ya nini?
TANESCO waliniambia hiyo 30000 ni ya contractor nimlipe yeye,ya kwao ni Sh.27,000!Anyway hapa kuna collaboration ya upigaji mkuu iko wazi,tuyaache nilitaka ufafanuzi tu,ila naona napigwa chenga.Mimi najuaje system yenu.Inaelekea walitumia ujinga wangu kuniingiza mkenge sawa.
 
Tafadhali fata taratibu zetu kwa huduma bora
 
Tanesco nimenunua umeme sipati majibu mpaka sasa na hela imeshakatwa tayari au ndo mmeshanitoa kwenye matumizi madogo meter namba 24219546025
 
Hahahah kila mtu si angekimbilia kulimit matumizi yasivuke hapo kwani wao hawataki hela 😅😅😅
 
Kusema kweli TANESCO nimewapenda kwa jins mlivyo active katika uzi huu kuweza kuwasaidia wateja wenu

Nawashukuru kwa hilo
 
habari ndugu, naomba unifafanulie kuhusu hizi tarrifu, maana nasikia mara tarrif 1 mara tarrif 0 mara tarrif T1, nani anapaswa/anastahiri kuwa na tarrif ipi ?, asante
 
Tafadhali weka namba yako ya mita tukujibu kwa taarifa kamili
Tanesco mnakosea Sana kupata mapato. Wekeni tarrif mbili TU yaani za matumizi ya kawaida na viwanda ili Kila mnufaika wa umeme alipe. Mbona petrol na he's hakuna mambo hayo? Wekeni wote tarrif 4 na Wenye viwanda wabaki upande wao tukusanye mapato ili mjiendeshe kibiashara! Angalizo hapa ni kuwa kusiwepo mgao Tena!
 
Sawa naomba muongozo Mimi matumizi yangu ni chini ya units 30 kwa mwezi ,juzi umeme uliisha nikaambiwa niwasiliane na tanesco nipate key change ,nikapiga namba zenu+255768985100 ila haikupokelewa ,Jana hivyo pia nikaamua kwenda tanesco wakanipatia hizo key change 4777-6541-8646-6604-6225 na 3347-2566-8527-3862-7220 meter no.24210087060 baada yakuingiza nikanunua umeme wa sh.elfu tano token 57644350865507321285 ila zinanigomea haziingii naomba msaada kwa hili
 
Why tarrifs tofauti tofauti??
 
Mimu tangu 2016 nauziwa unit kwa bei zaid ya 200 wakat matumiz yangu ni chin ya unit 30 kwa mwezi mf nikinunua umeme wa shiling 1000 napata unit 2.8 wakat huo jiran kwa hiyohiyo 1000 anapata zaid ya unit 7 inakuaje hapo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…