Kwa sasa sipo tayari kuolewa, nahitaji kufanya mambo yangu

Daaah! Haya mambo yanafikrisha sana.., ukiwa na maisha safi utagongewa tu kama mwanetu huyo sijui kama hii pisi yake ilinusurika kuliwa baada ya hizo pombe, napo ukiwa apeche aloloo unagongewa tu yaani wajuba wanageuza geuza kama mshkaki mwanamke wako wengine wanaenda mbali na kuchoma choma kila tundu la mwili wake...
Hivi vitu havina formula.
 
Okay huu nao ni ushahidi kuwa wanaume ndio wanahitaji zaidi ndoa kuliko wanawake, maana wanawake wakiwa mabinti kuna wanaume wanahitaji kuwaoa na hata wakiwa wasimbe, bado hawakosi wanaume wa kuwaoa ambao ndio hao mnawaita 'mafala' ilihali ni wanaume kama ninyi tu
Wanawake wanahitaji ndoa zaidi, na wanaililia na kwenda kwa waganga, wakikosa wanaenda kuombewa kwenye makanisa ya kiroho.
Mwanaume akitaka muda na saa yeyote anaoa, we si unamuona Robert de Niro miaka 80 ana mtoto mchanga.

Mwanaume hata miaka 60 kesho ukitafuta mke unapata tena bado anazaa.

Mwanamke akikaa muda pasipo kuolewa huwa anaanza kujisikia vibaya. Kwa hio heshimuni wanaume wanapokuja kuwachumbieni ile ni heshima na cheo, tukigoma kuoa mtahangaika sana. Kwanza tunawaonea huruma tu wanawake...
 
Mzee wa kubishana na uhalisia ushakuja. Nenda kwa mwamposa fanya research kwa waganga wa jadi utajua ni jinsia gani ipo desperate na ndoa.
Wanawake wanaonekana wako desperate na ndoa kwa sababu siyo wao wanaoamua ndoa, kwa tamaduni zetu anayeamua ndoa ni mwanaume ndiye anayejua atamuoa nani ila mwanamke hajui ataolewa na nani, lakini cha ajabu pamoja na wanaume kuwa na maamuzi yote ya ndoa ila bado wanaoa wanawake hawa hawa ambao wanadai wameharibika kimaadili na hawafai kuolewa ilihali wana uwezo wa kuacha kuwaoa
 
Wanawake wanahitaji ndoa zaidi, na wanaililia na kwenda kwa waganga, wakikosa wanaenda kuombewa kwenye makanisa ya kiroho.
Mwanaume akitaka muda na saa yeyote anaoa, we si unamuona Robert de Niro miaka 80 ana mtoto mchanga.

Mwanaume hata miaka 60 kesho ukitafuta mke unapata tena bado anazaa.

Mwanamke akikaa muda pasipo kuolewa huwa anaanza kujisikia vibaya. Kwa hio heshimuni wanaume wanapokuja kuwachumbieni ile ni heshima na cheo, tukigoma kuoa mtahangaika sana. Kwanza tunawaonea huruma tu wanawake...
Mkuu wanaume ni wabinafsi sana hamna na hamjawahi kuwa na huruma, wadanganyeni hao mabinti wa 2000 ila sisi tunaelewa how the shit goes, mnaoa kwa sababu mnahitaji ndoa period..wala hakuna sababu nyingine
Wanawake wanaonekana wako desperate na ndoa kwa sababu siyo wao wanaoamua ndoa, kwa tamaduni zetu anayeamua ndoa ni mwanaume ndiye anayejua atamuoa nani ila mwanamke hajui ataolewa na nani, lakini cha ajabu pamoja na wanaume kuwa na maamuzi yote ya ndoa ila bado wanaoa wanawake hawa hawa ambao wanadai wameharibika kimaadili na hawafai kuolewa ilihali wana uwezo wa kuacha kuwaoa
....
 
Wanawake wazuri wanapata akili kwenye 30s , ila 20s wanakuwa ni mali ya umma.

Haijalishi unahudumia vipi ila wajuba watamt0mb@ tu.
Kuna siku nikimsikia dada mmoja kwa masikio yangu mawili, mmewe ana V8 na gari nyingine mbili za kutembelea wanashare na mkewe, wana nyumba ya kifahari, nikisema nyumba ya kifahari namaanisha, office ambayo mkewe anashinda kwa thamani inafika milioni zaidi ya 200 kwa sababu vifaa vilivyomo tu unajiongeza.

Nilimsikia yule dada anasema "yaani wakati mwingine unajisikia kabisa kubadili mwanaume".

Hapo tumekaa mahala flani tunakunywa whiskey na yeye akiwepo na jamaa wengine wawili.

Ukimuona huyo dada ni pisi kweli kweli.

Nikajisemea tu moyoni ihiiiiiiiiiii....
Yaani kabisa na suruali yako ukakaa kimya kabisa
Au ulikuwa umevaa kaptura?

Itabidi tujihakikishie kama wewe ni me
 
lakini cha ajabu pamoja na wanaume kuwa na maamuzi yote ya ndoa ila bado wanaoa wanawake hawa hawa ambao wanadai wameharibika kimaadili na hawafai kuolewa ilihali wana uwezo wa kuacha kuwaoa
Hao ndio nice guyz niliowaongelea huko juu. Ni wanaume fulani hivi mafala fala, bado tunaendelea kuwapa somo waamke
 
Mkuu wanaume ni wabinafsi sana hamna na hamjawahi kuwa hiyo huruma, wadangayeni hao mabinti wa 2000 ila sisi tunaelewa how the shit goes, mnaoa kwa sababu mnahitaji ndoa period wala hakuna sababu nyingine

....
Tunaoa kuwasitiri wanawake, mwanamke pasipo ndoa kuna dosari na jamii itamchukulia tofauti, wanaume tuna huruma na upendo sema huwa hamuelewi tu.
 
Hao ndio nice guyz niliowaongelea huko juu. Ni wanaume fulani hivi mafala fala, bado tunaendelea kuwapa somo waamke
Ni malofa kwa mujibu wa nani na ni universal law gani inayoamua kwamba wanaume wanaooa wanawake ambao wameshatumika ni malofa ni ipi, je kina Ruge (aliyetaka kumuoa Nandy ambaye video yake ya ngono na Bill Nass iliwahi kuvuja) na Majizo (ambaye amemuoa Eliza aliyetembea na wanaume wengi maarufu) na hao wote wana pesa, nani lofa ukilinganisha na ninyi mafukara mnaotegemea mijimama na mishangazi kuishi mjini hebu nisaidie hapo
 
Tunaoa kuwasitiri wanawake, mwanamke pasipo ndoa kuna dosari na jamii itamchukulia tofauti, wanaume tuna huruma na upendo sema huwa hamuelewi tu.
Mngekuwa na huruma basi hiyo huruma ingeanzia kwenye kuacha kuwatongoza wanawake ambao hamna malengo nao kwa lengo la ku hit and run, lakini badala yake mnawachezea kwa raha zenu kwa kisingizio kwamba ni wao ndio wanaoteseka hivyo ni wajibu wao kujitunza, huo nao ni unafiki tu kwa sababu sasa hivi mitandao imejaa lawama za wanaume kuhusu tabia za wanawake ila pamoja na hayo yote bado mnaendelea kuwaoa kwahiyo maana yake ninyi mko tayari kuteseka kwa lengo la kuwafurahisa wanawake tu si ndio
 
kulalama mitandaoni ni mambo ya kurekebishana kwa sababu ni sehemu ya kutolea maoni na mwingine akajifunza.

Kuhusu hit and run hata wanawake wapo hivyo, wapo kimaslahi zaidi, hivyo ni kutumiana.

Tunatongoza kwa sababu wanawake wanapenda kutongozwa, ni ile namna flani na yeye ajisikie yupo anaishi duniani, msipotongozwa mnajisikia vibaya na kujiuliza au ni mbaya, hakuna mvuto n.k..
Sisi wanaume tuna huruma sana na upendo hamjui tu.
 
Ni malofa kwa mujibu wa nani na ni universal law gani inayoamua kwamba wanaume wanaooa wanawake ambao wameshatumika ni malofa ni ipi, je kina Ruge (aliyetaka kumuoa Nandy ambaye video yake ya ngono na Bill Nass iliwahi kuvuja) na Majizo (ambaye amemuoa Eliza aliyetembea na wanaume wengi maarufu) na hao wote wana pesa, nani lofa ukilinganisha na ninyi mafukara mnaotegemea mijimama na mishangazi kuishi mjini hebu nisaidie hapo
unaweza kuwa na pesa na ukawa fala vile vile, all nice guys are idiots
 
Wanawake wazuri wanapata akili kwenye 30s , ila 20s wanakuwa ni mali ya umma.

Haijalishi unahudumia vipi ila wajuba watamt0mb@ tu.
Kuna siku nikimsikia dada mmoja kwa masikio yangu mawili, mmewe ana V8 na gari nyingine mbili za kutembelea wanashare na mkewe, wana nyumba ya kifahari, nikisema nyumba ya kifahari namaanisha, office ambayo mkewe anashinda kwa thamani inafika milioni zaidi ya 200 kwa sababu vifaa vilivyomo tu unajiongeza.

Nilimsikia yule dada anasema "yaani wakati mwingine unajisikia kabisa kubadili mwanaume".

Hapo tumekaa mahala flani tunakunywa whiskey na yeye akiwepo na jamaa wengine wawili.

Ukimuona huyo dada ni pisi kweli kweli.

Nikajisemea tu moyoni ihiiiiiiiiiii....
Hapo ndipo unakumbuka wimbo wa Chris brown ft Tyga & e.t all _ DEUCES

"" https://jamii.app/JFUserGuide love am tired of trying""
 
kulalama mitandaoni ni mambo ya kurekebishana kwa sababu ni sehemu ya kutolea maoni na mwingine akajifunza.

Kuhusu hit and run hata wanawake wapo hivyo, wapo kimaslahi zaidi, hivyo ni kutumiana.

Tunatongoza kwa sababu wanawake wanapenda kutongozwa, ni ile namna flani na yeye ajisikie yupo anaishi duniani, msipotongozwa mnajisikia vibaya na kujiuliza au ni mbaya, hakuna mvuto n.k..
Sisi wanaume tuna huruma sana na upendo hamjui tu.
Hizo ni propaganda kama propaganda nyingine tu, wanaume mnawatukana wanawake mitandaoni kwa kile mnachodai hamfurahishwi na maovu yao ila cha ajabu bado mnawaoa, pamoja na kutishia kwamba hamuoi na kuwashawishi wengine wakatae ndoa kwa lengo la kuwakomoa wanawake lakini kila siku ndoa zinafungwa
 
Back
Top Bottom