Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Makiseo nitakuchapa acha fujo haraka [emoji1787]Hizo ni propaganda kama propaganda nyingine tu, wanaume mnawatukana wanawake mitandaoni kwa kile mnachodai hamfurahishwi na maovu yao ila cha ajabu bado mnawaoa, pamoja na kutishia kwamba hamuoi na kuwashawishi wengine wakatae ndoa kwa lengo la kuwakomoa wanawake lakini cha ajabu bado kila siku ndoa zinafungwa
Cha ajabu zaidi ni kipi hapo sasa, hujawahiona ajali zitokeazo kila siku za magari lakini bado tu Watu hununua na kupambania ndoto hizo hizo za kumiliki magari[emoji848]
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.