Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
- Thread starter
- #61
Umekubaliana na nani?Hapana tumekubaliana kwamba ukiwa na pesa ndio una akili na maarifa, lakini ukiwa masikini hata uwe na maadili wewe ni mpumbavu tu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekubaliana na nani?Hapana tumekubaliana kwamba ukiwa na pesa ndio una akili na maarifa, lakini ukiwa masikini hata uwe na maadili wewe ni mpumbavu tu,
Sasa unaniuliza mimi? wewe ndio utafute takwimu za unachoulizaJe na takwimu za wanawake wanaohitaji kuolewa pia inapanda au inashuka
😀😀😀😀 sema huyu mwamba mpaka leo bado sijamsoma kama ni me au ke sometimes nafikiriaga atakua upindeAisee dada unalipwa kubishana na watu humu jf
IlikuajeMimi nmesurika kuchukua kapi.
Mkuu usichokijua ni kwamba wanawake wa kizazi hiki na vizazi vinavyokuja wanatambaa na biti yani wanareact kulingana na wanaume wanavyoact, wanaume wengi wanaojifanya wanakataa ndoa si kwamba ni kweli hawataki ndoa, ila lengo lao ni kutaka eti wanawake wabadilike warudi kuwa wemaWanawake wengi hawapendi hio style ya uzazi.
Kwa hio mtoto ukimzaa kama ni jina lake ni John utamuita John Sperm? Je huyo mtoto akikua utamuambia wewe nilienda kununua sperm dukani baba yako simjui, na huyo mtoto anapokua anaona wenzake wana baba halafu unakuja kumuambia we baba yako ni kikopo cha sperm nilinunia dukani?
Mambo mengine haya make sense huo uzungu hata wazungu wenyewe hio njia hawa prefer ni wachache sana na kwa sababu maalumu, na wanakua tayari kwa misukosuko mbeleni huko.
Si bora aje nimpe mimba kesho mtoto akiuliza baba yupo wapi atamleta nilipo.
Sawa mkuuMwanaume usije ukaingia kwenye huu mtego wa kuoa makapi.
Wanawake ni tabu sana ,,sio watu wa kuwaamini sana.Wamejitakia wao wenyewe wangetulia na kufuata maadili mema ya kiafrika wala wasingepewa hayo majina.
Aloo hivi wewe unaongelea wanaume hawa hawa wa kiafrika au unaongelea wanaume wa maeneo gani, hawa hawa wanaume ambao achilia mbali watoto hata wakiwa kwenye mageto yao tu wenyewe, wanaona uvivu kufanya hizo kazi wanategemea wapenzi wao wakija kuwatembelea ndio wawafanyieAnayelipa kodi ya nyumba nani, anayelipa ada ya shule, pesa ya chakula n.k, wanaume wanatoa sehemu kubwa ya kipato chao ku provide kwa ajili ya familia, ukikuta familly mwanamke anatoa hata 30% ujue huyo mwanamke wa kipekee.
Familia nyingi asilimia zaidi ya 90 mtoaji ni mwanaume.
Hapo unataka afue, afanye usafi, akae na watoto n.k umekuwa malkia au rais, mwanamke kazi za nyumbani ni halali kwake.
Ndio maana wana tabia huwa wanataka kuolewa na mwanaume anayemzidi uchumi ili tu baadhi ya majukumu amuachie mwanaume.
Kama mnaona hatuwezi kazi za nyumbani katafute pesa nikae nyumbani kama hutakuta nimepaka hadi rangi paa la nyumba. Nyie naona mnacheza.
Kwa ujuaji wako huu, ni haki kabisa kukosa ndoa.Mkuu usichokijua ni kwamba wanawake wa kizazi hiki na vizazi vinavyokuja wanatambaa na biti yani wanareact kulingana na wanaume wanavyoact, wanaume wengi wanaojifanya wanakataa ndoa si kwamba ni kweli hawataki ndoa, ila lengo lao ni kutaka eti wanawake wabadilike warudi kuwa wema
Sasa kwa bahati nzuri au mbaya mmekuta hawa wanawake wa leo na wa kesho hawako tayari kurudi kuwa wake wema, badala yake nao ndio kwanza wanatafuta namna ya kuishi na kuwa na furaha bila wanaume yani wameamua liwalo na liwe, kama wanaume wameamua kumwaga ugali basi wao wanamwaga mboga na maji ya kunawa kabisa hii ni tofauti na bibi zetu
Sasa hilo ndilo ambalo wanaume wengi bado hamtaki kulikubali sababu hamjazoea haya mambo toka kwa wanawake, yani bado mnaishi kwenye fantasies kwamba wanawake siku zote wanatakiwa kuwa decent kwahiyo mlichobaki nacho ni kujifariji tu, ilihali wanawake ndio wameshaamua kujibu mapigo na wameamua liwalo na liwe no turning back no matter the consequences
Kuna ukweli hapa kwa 98%.Nice guy anatokeza dakika za majeruhi maku imeshachakazwa na kumwagiwa mbegu za kila aina..
Kwenye dunia ya leo pesa ndio kila kitu, wenye pesa ndio wanaosikilizwa kwenye mambo mengi hata yanayohusu mapenzi, wewe na umasikini wako hata ukisema huoi unafikiri wanawake watatetemeka kwamba kuna kitu umewapunguzia maishani mwaoUmekubaliana na nani?
Tatizo nikileta takwimu mnaishia kusema mimi mbishi na mjuaji na mnadai kuwa naandika maoni yangu wakati mimi huwa naandika uhalisia, ukweli ni kwamba kadiri idadi ya wanaume wanaotaka kuoa inavyozidi kupungua ndivyo na idadi ya wanawake wanaotaka kuolewa inavyozidi kupungua, uzuri hata ninyi ni mashahidi ni wanawake wangapi wanakuwa asked for their hands in marriage ila wanagoma wakidai hawako tayari kuolewa kwa wakati huo eti hadi wafikie umri mkubwa ndio wawe tayari kuolewa hapo wanaume mnajisikiajeSasa unaniuliza mimi? wewe ndio utafute takwimu za unachouliza
Wanaume wanarogwa, wanawake wanakesha Kwa waganga kulilia ndoa...Wanawake wanaonekana wako desperate na ndoa kwa sababu siyo wao wanaoamua ndoa, kwa tamaduni zetu anayeamua ndoa ni mwanaume ndiye anayejua atamuoa nani ila mwanamke hajui ataolewa na nani, lakini cha ajabu pamoja na wanaume kuwa na maamuzi yote ya ndoa ila bado wanaoa wanawake hawa hawa ambao wanadai wameharibika kimaadili na hawafai kuolewa ilihali wana uwezo wa kuacha kuwaoa
Jadili hoja achana na hizi kauli tumeshazizoea, bongo ukiona mtu anakuita mbishi au mjuaji ujue hana hoja, ni kwamba yeye ndiye hajui kwahiyo anajihisi inferior kukuona wewe unajua zaidi yake hivyo anatafuta kauli za kujifarijiKwa ujuaji wako huu, ni haki kabisa kukosa ndoa.
Mkuu nani awaroge hawa wanaume ambao wanaonekana maisha yao tu yameshawavuruga, kwa uchumi gani hasa walionao hadi warogwe au bado mnaishi katika enzi za babu na bibi zetu, ukweli ni kwamba mnaoa kwa sababu mnahitaji ndoa fullstop..wala hakuna sababu nyingineWanaume wanarogwa, wanawake wanakesha Kwa waganga kulilia ndoa...
Kwa msingi huo kwann wasioe Vimeo??
Hao wote uliowataja wanasifa za ziada. Ukiacha umalaya wao.Ni malofa kwa mujibu wa nani na ni universal law gani inayoamua kwamba wanaume wanaooa wanawake ambao wameshatumika ni malofa ni ipi, je kina Ruge (aliyetaka kumuoa Nandy ambaye video yake ya ngono na Bill Nass iliwahi kuvuja) na Majizo (ambaye amemuoa Eliza aliyetembea na wanaume wengi maarufu) na hao wote wana pesa, nani lofa ukilinganisha na ninyi mafukara mnaotegemea mijimama na mishangazi kuishi mjini hebu nisaidie hapo
Leta takwimu wewe acha maneno mengi, idadi ya wanaume wanaooa takwimu zinashuka na hili suala hata Rais alishaliongelea kumbuka Rais ana vyanzo vya uhakika vya takwimu, sasa wewe izo takwimu zako za wanawake kutotaka ndoa umezitoa wapiTatizo nikileta takwimu mnaishia kusema mimi mbishi na mjuaji na mnadai kuwa naandika maoni yangu wakati mimi huwa naandika uhalisia, ukweli ni kwamba kadiri idadi ya wanaume wanaotaka kuoa inavyozidi kupungua ndivyo na idadi ya wanawake wanaotaka kuolewa inavyozidi kupungua, uzuri hata ninyi ni mashahidi ni wanawake wangapi wanakuwa asked for their hands in marriage ila wanagoma wakidai hawako tayari kuolewa kwa wakati huo eti hadi wafikie umri mkubwa ndio wawe tayari kuolewa hapo wanaume mnajisikiaje
Sifa zipi za ziada ambazo wanawake wengine hawana, nimewatolea mifano hao sababu ni maarufu ila wapo wanawake wengi wenye historia ya umalaya na bado wanapata wanaume wazuri tu wakuwaoa, na unakuta hao wanaume wanakuwa wanajua historia za hao wanawake ila bado wanaamua kuwaoa na ndoa zinadumuHao wote uliowataja wanasifa za ziada. Ukiacha umalaya wao.
Siyo kila kitu hadi utafuniwe kama kweli unahitaji kujua basi fuatilia ila kama hutaki basi endelea kujifariji, pita mitandaoni uone jinsi mabinti wengi wanavyogomea ndoa wengine wanadai wanataka wazalishwe tu kisha walee wenyewe ila hawataki kuolewa, ukisema eti wakifika uzeeni wanaanza kutamani ndoa basi hiyo siyo kwao tu hata wanaume wanaojifanya kukataa ndoa ujanani wakifika uzeeni nao wanaanza kutamani ndoa na wengi huamua kuoaLeta takwimu wewe acha maneno mengi, idadi ya wanaume wanaooa takwimu zinashuka na hili suala hata Rais alishaliongelea kumbuka Rais ana vyanzo vya uhakika vya takwimu, sasa wewe izo takwimu zako za wanawake kutotaka ndoa umezitoa wapi
Sasa mwanaume kutelekeza mtoto huo ni ujinga, na ujinga huu upo hata kwa wanawake tena wao wanaua kabisa watoto, mfano kutoa mimba, hamuelewi uhai wa mtoto unaanzia tumboni, kutoa mimba ni ukatili, au mtu anajifungua ananyonga mtoto, au anamtupa jalalani, haya matukio ni mengi, mnanyofoa mimba kama hamna akili vizuri, ujinga mwingine kubambika mwanaume mtoto si wake, unajua kabisa hio mimba ni fulani unambambika mwingine, mna roho ngumu sana.Aloo hivi wewe unaongelea wanaume hawa hawa wa kiafrika au unaongelea wanaume wa maeneo gani, hawa hawa wanaume ambao achilia mbali watoto hata wakiwa kwenye mageto yao tu wenyewe, wanaona uvivu kufanya hizo kazi wanategemea wapenzi wao wakija kuwatembelea ndio wawafanyie
Kuna uzi mmoja ulianzishwa humu kuwauliza wanawake walikutaje mazingira ya nyumbani, baada ya wao kuondoka na kuwaacha waume zao kwa muda mfupi asee majibu ya wanaume wengi yalinisikitisha sana, yani unaona ni dhahiri bado wanaume hawajalipokea hili suala la wao kuyachukulia majukumu ya nyumbani kama ya kwao bado wana ile mitazamo ya babu zetu
Mimi nimekuuliza ni wanawake wangapi wanatelekezwa na watoto na bado wanapambana wenyewe kuhakikisha watoto wanakula na wanasoma, kuanzia wakiwa wadogo hadi wakiwa watu wazima huku pia wakihangaika na malezi na makuzi ya watoto bila msaada wa wanaume, je ni wanaume wangapi wanaweza ku multi task kama hivo bila msaada wa wanawake