Kwa sasa sipo tayari kuolewa, nahitaji kufanya mambo yangu

Hivi vitu havina formula.
 
Wanawake wanahitaji ndoa zaidi, na wanaililia na kwenda kwa waganga, wakikosa wanaenda kuombewa kwenye makanisa ya kiroho.
Mwanaume akitaka muda na saa yeyote anaoa, we si unamuona Robert de Niro miaka 80 ana mtoto mchanga.

Mwanaume hata miaka 60 kesho ukitafuta mke unapata tena bado anazaa.

Mwanamke akikaa muda pasipo kuolewa huwa anaanza kujisikia vibaya. Kwa hio heshimuni wanaume wanapokuja kuwachumbieni ile ni heshima na cheo, tukigoma kuoa mtahangaika sana. Kwanza tunawaonea huruma tu wanawake...
 
Mzee wa kubishana na uhalisia ushakuja. Nenda kwa mwamposa fanya research kwa waganga wa jadi utajua ni jinsia gani ipo desperate na ndoa.
Wanawake wanaonekana wako desperate na ndoa kwa sababu siyo wao wanaoamua ndoa, kwa tamaduni zetu anayeamua ndoa ni mwanaume ndiye anayejua atamuoa nani ila mwanamke hajui ataolewa na nani, lakini cha ajabu pamoja na wanaume kuwa na maamuzi yote ya ndoa ila bado wanaoa wanawake hawa hawa ambao wanadai wameharibika kimaadili na hawafai kuolewa ilihali wana uwezo wa kuacha kuwaoa
 
Mkuu wanaume ni wabinafsi sana hamna na hamjawahi kuwa na huruma, wadanganyeni hao mabinti wa 2000 ila sisi tunaelewa how the shit goes, mnaoa kwa sababu mnahitaji ndoa period..wala hakuna sababu nyingine
....
 
Yaani kabisa na suruali yako ukakaa kimya kabisa
Au ulikuwa umevaa kaptura?

Itabidi tujihakikishie kama wewe ni me
 
lakini cha ajabu pamoja na wanaume kuwa na maamuzi yote ya ndoa ila bado wanaoa wanawake hawa hawa ambao wanadai wameharibika kimaadili na hawafai kuolewa ilihali wana uwezo wa kuacha kuwaoa
Hao ndio nice guyz niliowaongelea huko juu. Ni wanaume fulani hivi mafala fala, bado tunaendelea kuwapa somo waamke
 
Mkuu wanaume ni wabinafsi sana hamna na hamjawahi kuwa hiyo huruma, wadangayeni hao mabinti wa 2000 ila sisi tunaelewa how the shit goes, mnaoa kwa sababu mnahitaji ndoa period wala hakuna sababu nyingine

....
Tunaoa kuwasitiri wanawake, mwanamke pasipo ndoa kuna dosari na jamii itamchukulia tofauti, wanaume tuna huruma na upendo sema huwa hamuelewi tu.
 
Hao ndio nice guyz niliowaongelea huko juu. Ni wanaume fulani hivi mafala fala, bado tunaendelea kuwapa somo waamke
Ni malofa kwa mujibu wa nani na ni universal law gani inayoamua kwamba wanaume wanaooa wanawake ambao wameshatumika ni malofa ni ipi, je kina Ruge (aliyetaka kumuoa Nandy ambaye video yake ya ngono na Bill Nass iliwahi kuvuja) na Majizo (ambaye amemuoa Eliza aliyetembea na wanaume wengi maarufu) na hao wote wana pesa, nani lofa ukilinganisha na ninyi mafukara mnaotegemea mijimama na mishangazi kuishi mjini hebu nisaidie hapo
 
Tunaoa kuwasitiri wanawake, mwanamke pasipo ndoa kuna dosari na jamii itamchukulia tofauti, wanaume tuna huruma na upendo sema huwa hamuelewi tu.
Mngekuwa na huruma basi hiyo huruma ingeanzia kwenye kuacha kuwatongoza wanawake ambao hamna malengo nao kwa lengo la ku hit and run, lakini badala yake mnawachezea kwa raha zenu kwa kisingizio kwamba ni wao ndio wanaoteseka hivyo ni wajibu wao kujitunza, huo nao ni unafiki tu kwa sababu sasa hivi mitandao imejaa lawama za wanaume kuhusu tabia za wanawake ila pamoja na hayo yote bado mnaendelea kuwaoa kwahiyo maana yake ninyi mko tayari kuteseka kwa lengo la kuwafurahisa wanawake tu si ndio
 
kulalama mitandaoni ni mambo ya kurekebishana kwa sababu ni sehemu ya kutolea maoni na mwingine akajifunza.

Kuhusu hit and run hata wanawake wapo hivyo, wapo kimaslahi zaidi, hivyo ni kutumiana.

Tunatongoza kwa sababu wanawake wanapenda kutongozwa, ni ile namna flani na yeye ajisikie yupo anaishi duniani, msipotongozwa mnajisikia vibaya na kujiuliza au ni mbaya, hakuna mvuto n.k..
Sisi wanaume tuna huruma sana na upendo hamjui tu.
 
unaweza kuwa na pesa na ukawa fala vile vile, all nice guys are idiots
 
Hapo ndipo unakumbuka wimbo wa Chris brown ft Tyga & e.t all _ DEUCES

"" https://jamii.app/JFUserGuide love am tired of trying""
 
Hizo ni propaganda kama propaganda nyingine tu, wanaume mnawatukana wanawake mitandaoni kwa kile mnachodai hamfurahishwi na maovu yao ila cha ajabu bado mnawaoa, pamoja na kutishia kwamba hamuoi na kuwashawishi wengine wakatae ndoa kwa lengo la kuwakomoa wanawake lakini kila siku ndoa zinafungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…