Kwa sisi wanaume tuliooa, ukiacha tendo la ndoa, mke wako anakusaidia kwa lipi?

Katika ndoa yenu, hakuna makasiriko yoyote?
 
Wanaume wengi hufa mapema sababu ya direct au indirect pressure toka kwa wake zao. Mwanaume akipata maendeleo kinachofuata ni ndoa ilihali mwanamke akifanikiwa kinachofuata ni talaka. Wanawake wengi wakiwa huru kiuchumi huwa hawana time na ndoa.
Nini kifanyike, wakati mwingine ndoa ni muhimu, hasa tunapoelekea huko uzeeni
 
Wengi tulikuwa tunatamani kuoa, tukiamini baada ya kuoa maisha yatakuwa full starehe na hakutakuwa na migogoro.

Wapo waliofanikiwa kwa kupata watu sahihi, mpaka wakikaribia kuzeeka sura zao zinakuwa zinafanana...​
Talaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…