Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #41
Leo hakupi tendo, kesho anakukaripia n.kMigogoro kama ipi mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo hakupi tendo, kesho anakukaripia n.kMigogoro kama ipi mkuu?
Na kumlea mzee je?Kulea watoto
Ni kweli binadamu anabadilikaUkitaka kuishi vizuri hapa Dunian hakikisha unajitegemea kwa 100% hasa katika uzee wako. Tumia nguvu zako piga kazi ujiwekee akiba ya uzeeni, mwanadamu siyo wa kumtumainia.
Vipi kuhusu wewe, unafurahia ndoa yako?
Utaacha wangapi?Talaka
Kuna uwezekano kwenye ndoa, wapo wanaume wanaofanyiwa ukatili na wake zaoNdoa ni mkataba ambao upo kwa ajiri ya kulinda masilahi ya mwanamke, katika mkataba huu mwanaume utashurutishwa kisheria kutimiza wajibu wako lakini mwanamke kutimiza wajibu wake ni hiyari yake mwenyewe.
Marriage is amongst of all time premier scams invented by human beings.
Wanawake smart hawapendi sana kuwekana mkuu. Hapo nimenyqnyua mikono. Mambo mengine tunaenda sawa.Leo hakupi tendo, kesho anakukaripia n.k
JF utaiweza mkuu?We si babu kabisa, sasa hao watoto bado mnalea hadi leo? 😂
Kwa mazigira hayo mkuu, mechi za ugenini ni nyingi.Wanawake smart hawapendi sana kuwekana mkuu. Hapo nimenyqnyua mikono. Mambo mengine tunaenda sawa.
Kupunguza makali unafanyaje?Tunapata GUBU
Uko sahihi, Je ni wake wote wanalijua hili na kulitekeleza? Kwa sababu huwa kuna migogoro ya ndoa kuvunjika na kugawana mali, mzee kutelekezwa na bibie kukimbilia kwingine n.kSwali zuri sana..... nami naomba kujibu kama ifuatavyo, ndoa sio tendo la ndoa tu, sasa ukiacha tendo la ndoa yapo yafuatayo:
1. Ulinzi wa mali zako, mwanamke aliye mke wako atajitahidi kulinda mali zako huku akifikiria kuna kesho maana yake anawaza future ya maisha yenu, wengi wakiambiwa kuna kesho huwa wanawaza labda kufa, hata usipokuwa kesho inakuja.
2. Anakupatia watoto, hii unaweza sema aah! nitazaa huko nje, mke akizaa anakuwa na kiu ya kuongeza uzao wako na anawatunza watoto kwa mapenzi yote kwa sababu anajua mume wake uko pembeni, kumbuka kuzaa sio kazi, kazi kulea mwana.
3. Mwanamke ataunganisha familia, kiuhalisia kuna familia ndugu hawaelewani, uwepo wa mke anakuwa mtu kati(mediator) na hapa upate mke sahihi wengine wanakuja kugombanisha.
4. Mke ni msaidizi wa mwanaume, na hapa sio usaidizi wa kazi za ndani noo, ni kumsaidia mwanaume kutimiza malengo yake, kumbuka malengo ya mwanaume ndo huwa malengo na msimamo wa familia, mwanamke hawezi kuja na ya kwake lazima atasimama na kumsupport mume, kumbuka hakuna mwanamke atapenda kusemwa kwamba hapo shost ulikosea kuchagua, kwahiyo hata kama mwanaume hayuko njema kiuchumi, atasaidiwa, tuna mifano kuna wanaume hata mahari walisaidiwa na wake zao.
5. Mke anakuletea Heshima katika jamii, sio heshima tu na kuaminika, kuna nyumba ukienda kupanga hujaoa au kuolewa huruhusiwi kwanini unaonekana huna heshima, huwezi kuwa Raisi wa nchi hii hujaoa, ukiachana Katoliki mengine huwezi kuwa Askofu hujaoa: Kiufupi kama haujaoa au kuolewa unawekwa kundi la wahuni, kama ndugu zangu kataa ndoa
Tendo la ndoa tena siyo msaada, maana unaweza kulipata kwa'ela zako mara unapolihitaji.Wengi tulikuwa tunatamani kuoa, tukiamini baada ya kuoa maisha yatakuwa full starehe na hakutakuwa na migogoro.
Wapo waliofanikiwa kwa kupata watu sahihi, mpaka wakikaribia kuzeeka sura zao zinakuwa zinafanana.
Pia wapo waliokosa watu sahihi, na kujikuta wameingia kwenye ndoa yenye changamoto; ambao ukikutana nao njiani, sura zao zimekuwa nzito na zimejaa majukumu mazito na ghadhabu za kuingia kwenye ndoa.
Na wengi tunaoteseka kwenye hizi ndoa ni wanaume, sema huwa tunavumilia ndio maana ata takwimu zinaonyesha wanaume wanakufa haraka kuliko wanawake.
Sasa tujiulize swali; Kwa sisi wanaume tulio oa, ukiacha tendo la ndoa, mke wako anakusaidia kwa lipi?