Kwa sisi wanaume tuliooa, ukiacha tendo la ndoa, mke wako anakusaidia kwa lipi?

Je hiyo biashara ikiyumba au kufilisika, bado atakuwa na upendo na wewe?
 
Wewe kwa mwanamke unatafuta nini? Bussiness parterner au msaidizi wa nyumbani na kutatua shida zako za hisia?
 
Hayo yote uliyoyataja yanapatikana nje ya ndoa kwa gharama nafuu, amani, utulivu kuliko kwenye ndoa.

Nitazungumia hili moja kama mfano,

Usimamizi wa miradi, Kuna uwezekano hajachangia mtaji, anaiba pesa kama wanavyofanya wafanyakazi na mwisho wa siku hizo mali ni zenu wote. Ila ungeajiri mtu ungemlipa pesa kidogo kuliko unayotumia kumtunza mkeo na familia yake na mali zingebaki zakwako pekeako.
 
Katika mahusiano ya kimapenzi ni mazuri mno yale ya kihawala mtaenjoy mno pamoja, mtaenda viwanja pamoja, simu hamkaguani n.k ila ukioa/kuolewa kila mtu anaonesha makucha tabia yake halisi migogoro inaanza indapo katika ndoa hakuna atakae jishusha.
 
Umetuheshimisha mkuu
 
Kama atakuwa anawapatia wengine nje, itakuwa sawa?
Sijui kwako ila Mimi naamini mwanamke kutongozwa na kuliwa Huwa lipo haijarishi kaolewa ama lah!!

Jinsi unavyowaona wake za watu wanaliwa basi na wakwako hufanywa vile pasina shaka.(Naamini hivyo)

Kwa hayo machache ni Bora tu usijue Ili maisha yaendelee na aendelee kukutii basi.

Siku akibainika analiwa Nje timua
 
Katika mahusiano ya kimapenzi ni mazuri mno yale ya kihawala mtaenjoy mno pamoja, mtaenda viwanja pamoja, simu hamkaguani n.k ila ukioa/kuolewa kila mtu anaonesha makucha tabia yake halisi migogoro inaanza indapo katika ndoa hakuna atakae jishusha.
Ndipo tunashauriwa tutumie muda mwingi katika kutafuta mtu sahihi
 
Kwa hiyo mkuu, unataka kutuambia wake zetu tulio waoa wanachepuka huko nje?
 
Uchawi (kina Hamisa Mobeto kutaka kupewa nyumba ya ghorofa), stress za mikopo ya kijinga, michango ya kumchangia Mchungaji wakati familia yake ina matatizo kibao, michango ya vikoba na sare za harusi za kila wiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…