Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Kwani jina palestina liliandikwa na miungu ama ni binadamu tu tena wazungu wa ulaya?.Hiyo Biblia imeandikwa na binadamu kama wewe, kwa utashi wake akaamua kuitaja hiyo Israel mara zote hizo.
Kuna mtu kakuuliza iman yako?.Mimi ni mkristo.
Ila biblia hata Quran ya waislamu sivichukulii kama vitabu special vya Mungu.
Biblia ni kitabu ambacho kimeandikwa na watu kama mimi na wewe. Kwa sababu ya manufaa na madhumuni yao binafsi
Hata yesu ambaye ni baba wa ukristo akili yangu inaniambia hajawai kuwepo. Ni fictional character tu wa kutungwa kwa faida ya watu fulani.
Yesu huyo wakristo tunaemuamudu kazaliwa israel na kafia israel... ila cha kushangaza raia wa israel hawamtambui wala kumuabudu. Wanamuona tapeli tu.
Yesu kama angekuwa ni mkweli angeanza na kuabudiwa na waisrael yaani wayahudi wenzake jamii moja.
Hiyo bible si wamejiandikia wenyewe waisrael kwa ajili yao na ni kama katiba yao na si kwa ajili ya wewe msukule.Wadau hamjamboni nyote
Niende kwenye hoja moja Kwa moja
Huu ndiyo ukweli wa Maandiko matakatifu
Taifa la Israel limetajwa mara 2,200 kwenye Biblia wakati Palestina haijatajwa hata mara moja
Je Taifa la Israel limetajwa mara ngapi ndani ya Quran tukufu?
Je Palestine imetajwa mara ngapi ndani ya Quran tukufu?
Mwenye ushahidi wa Takwimu tofauti anakaribishwa.
Lugha zisizo na staha hazikubaliki
Niwatakie sabato njema
Mimi ni mkristo.
Ila biblia hata Quran ya waislamu sivichukulii kama vitabu special vya Mungu.
Biblia ni kitabu ambacho kimeandikwa na watu kama mimi na wewe. Kwa sababu ya manufaa na madhumuni yao binafsi
Hata yesu ambaye ni baba wa ukristo akili yangu inaniambia hajawai kuwepo. Ni fictional character tu wa kutungwa kwa faida ya watu fulani.
Yesu huyo wakristo tunaemuamudu kazaliwa israel na kafia israel... ila cha kushangaza raia wa israel hawamtambui wala kumuabudu. Wanamuona tapeli tu.
Yesu kama angekuwa ni mkweli angeanza na kuabudiwa na waisrael yaani wayahudi wenzake jamii moja.
Limetajwa taifa la wana wa Israel na sio inchi ya israel,,Wadau hamjamboni nyote
Niende kwenye hoja moja Kwa moja
Huu ndiyo ukweli wa Maandiko matakatifu
Taifa la Israel limetajwa mara 2,200 kwenye Biblia wakati Palestina haijatajwa hata mara moja
Je Taifa la Israel limetajwa mara ngapi ndani ya Quran tukufu?
Je Palestine imetajwa mara ngapi ndani ya Quran tukufu?
Mwenye ushahidi wa Takwimu tofauti anakaribishwa.
Lugha zisizo na staha hazikubaliki
Niwatakie sabato njema
Kwanza hili nina Israel chimbuko lake ni kwenye qur,an,jiulize biblia yakwanza kuja hapa ilikuwa imeandikwa kingereza ndipo ikatufusiliwa kwa kiswahili na kiswahili kimachukua maneno mengi na majina kutoka kwenye lugha ya kiarabu,swali hiyo biblia ya mwanzo kabla ajatafsiliwa kwa kiswahili huyo Israel alikuwa akiitwa nani?Wadau hamjamboni nyote
Niende kwenye hoja moja Kwa moja
Huu ndiyo ukweli wa Maandiko matakatifu
Taifa la Israel limetajwa mara 2,200 kwenye Biblia wakati Palestina haijatajwa hata mara moja
Je Taifa la Israel limetajwa mara ngapi ndani ya Quran tukufu?
Je Palestine imetajwa mara ngapi ndani ya Quran tukufu?
Mwenye ushahidi wa Takwimu tofauti anakaribishwa.
Lugha zisizo na staha hazikubaliki
Niwatakie sabato njema
Umeanza tabia zako za kupiga watu ngumi zako za usoWewe mtoa mada umetajwa popote....
Hata kwenye hadithi za Kiafrika,?
Hata wewe ulijiumba,swali ivyo vitabu alie viandika alikusudia kupata faida gani?Mimi ni mkristo.
Ila biblia hata Quran ya waislamu sivichukulii kama vitabu special vya Mungu.
Biblia ni kitabu ambacho kimeandikwa na watu kama mimi na wewe. Kwa sababu ya manufaa na madhumuni yao binafsi
Hata yesu ambaye ni baba wa ukristo akili yangu inaniambia hajawai kuwepo. Ni fictional character tu wa kutungwa kwa faida ya watu fulani.
Yesu huyo wakristo tunaemuamudu kazaliwa israel na kafia israel... ila cha kushangaza raia wa israel hawamtambui wala kumuabudu. Wanamuona tapeli tu.
Yesu kama angekuwa ni mkweli angeanza na kuabudiwa na waisrael yaani wayahudi wenzake jamii moja.
Wadau hamjamboni nyote