Road Traffic Signal
JF-Expert Member
- Mar 17, 2022
- 621
- 1,958
Uyole yetu nayo imetajwa mara ngapi kwenye biblia?
Tuache kushobokea vitu vya watu, utumwa wa kiakili huu
Tuache kushobokea vitu vya watu, utumwa wa kiakili huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si umesema halijaandikwa hata mara moja Mbuzi weweKwani jina palestina liliandikwa na miungu ama ni binadamu tu tena wazungu wa ulaya?.
Wayahudi walimua mungu wao yesu[emoji23][emoji23] kuna watu huwa wapumbavu na mnakurupuka tu sasa kujifanya mnasupport Israel wakat hao waisrael wenyew walimkataa huyo yesu wenu wakamsulubu SHAME ON YOU
Umetumia akiliyako ipasavo bro!! Kuna mtuwangu wa karibu yupo Israel kwa miaka sasa alipigiwa simu na jamaayake Mkristo alimuulize hebu niambie hivo kuna sehema huko haswa ambaye yesu kazaliwa ?? Na kakulia??NA TANZANIA JE IMETAJWA MARA NGAPI ?
Mimi ni mkristo.
Ila biblia hata Quran ya waislamu sivichukulii kama vitabu special vya Mungu.
Biblia ni kitabu ambacho kimeandikwa na watu kama mimi na wewe. Kwa sababu ya manufaa na madhumuni yao binafsi
Hata yesu ambaye ni baba wa ukristo akili yangu inaniambia hajawai kuwepo. Ni fictional character tu wa kutungwa kwa faida ya watu fulani.
Yesu huyo wakristo tunaemuamudu kazaliwa israel na kafia israel... ila cha kushangaza raia wa israel hawamtambui wala kumuabudu. Wanamuona tapeli tu.
Yesu kama angekuwa ni mkweli angeanza na kuabudiwa na waisrael yaani wayahudi wenzake jamii moja.
Kwahiyo kuna faida gani? acha ujinga unapoteza mda kwa vitu vya kipuuzi.Wadau hamjamboni nyote
Niende kwenye hoja moja Kwa moja
Huu ndiyo ukweli wa Maandiko matakatifu
Taifa la Israel limetajwa mara 2,200 kwenye Biblia wakati Palestina haijatajwa hata mara moja
Je Taifa la Israel limetajwa mara ngapi ndani ya Quran tukufu?
Je Palestine imetajwa mara ngapi ndani ya Quran tukufu?
Mwenye ushahidi wa Takwimu tofauti anakaribishwa.
Lugha zisizo na staha hazikubaliki
Niwatakie sabato njema
Sawa.Si umesema halijaandikwa hata mara moja Mbuzi wewe