Kwa Tabia hizi za kuacha kazi nina matatizo au?

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,319
Reaction score
6,878
Baada ya kumaliza chuo tu.

01.Kazi yangu ya kwanza ilikuwa ni receptionist Zanzibar.
Niliacha kwasababu niliona ni kazi ya kunyenyekea sana watu, ukiona mzugu umpokee umchekee upokee mabegi meno nje kifupi kazi ya kunyenyekea mtu siwezi hasa hawa wazungu wa hotelini(nikaacha kazi)miezi miwili

02.kazi ya pili, nilikuwa mkufunzi chuo cha maendeleo ya jamii(private) hapa niliacha kwa sababu mbili
Moja mshahara laki mbili hakuna mkataba

Mbili wanafunzi wana sauti kuzidi mwalimu Yani chuo kinasikiliza wanafunzi sana kuliko waalimu ulifelisha msala,pia chuo kipo kijijini ambapo nimezaliwa kujuana kwingi nikaacha kazi nilikaa miezi Tisa

Kazi ya tatu, ni afisa masoko natembea mikoa mbalimbali kuuza bidhaa X
Kwanini nataka kuacha?

01.nataka kutafuta fani mana nina amini maisha bila fani huwezi kufanikiwa(kuweka degree pembeni.)
Naona umri unaenda mshahara mdogo.
03.Boss anatabia ya kufukuza wafanyakazi wapo wengi wazuri zaidi yangu walifukuzwa(mimi nafuata)
Boss pia hayuko serious na kazi anaendeshwa na hisia
Ila kubwa kabisa nataka kutafuta fani au ujuzi sio kuajiliwa.

Kazi ingine niliacha ni udereva Bajaj, kwanini? Huwezi kujenga future kwa Bajaj,kutunza pesa ni ngumu, risk kubwa sana barabara ukizingatia sikuwa na ndugu yoyote Dar.
Nikaacha

Je kwa tabia hizi nina matatizo au nipo sahihi
Naomba ushauri
 
Hamjachelewa Mkuu, Bora umeshtuka mapema,,

Ushauri wangu kama uko Dar au Mkoani jiunge na VETA itakuchukua miezi sita Tu kusoma Motor mechanics( vyombo vya moto,) asubuhi Chuo, mchana Garage kupata uzoefu na kushika spans, kwa kuwa umesima utaelewa haraka Sana pesa ndogo ndogo utakuwa unapata kuzidi hizo
 
Nimeacha kazi zaidi yako na kwa sababu pengine kubwa.

Shida sio kuacha kazi je una competency ya kupata kazi unayoitaka.

Kuna watu wanaacha kazi kwa sababu soko la ajira linawataka kuliko wanavuolitaka. Kwa hiyo hawa wakichagua kazi ni sawa kabisa

Ila kuacha kazi na ukiondoka kwenye hiyo kazi hakuna gap uliloacha ni sawa na kujipa thamani ambayo huna.

Mwisho wa siku, ya kutokea yameshatokea, so angaliq unafanyq nini next and stick to it maana ni rahisi kwa kazi mbovu kukupeleka kwenye kazi nzuri kuliko kupata kazi mpya.

So chagua kitu pambana nacho mkuu. Tumia akili kuliko hisia na ego
 
Tanzania mtu anafundisha chuo analipwa laki 2? Chuo gani hicho Mkuu? Anyways endelea kupambania ndoto zako ila kua makini na issue ya umri. Kuna umri ukifika hizo mbilinge mbilinge zinakua tena huendani nazo na pia unaondoka kwenye soko la ajira. So wakati unaendelea kupambana kumbuka pia kuanzisha kaproject binafsi pembeni ama nenda Veta jifunze ufundi ambao baadae unaweza kujiajiri mwenyewe hata kama mishe za ajira ni ngumu. Tofauti na nchi nyingine ambapo kuna tatizo kubwa la ajira ila ukifanikiwa kuajiriwa iwe ni private au government maslahi ni mazuri/ yanaridhisha, bongo ajira zipo ila maslahi ni duni sana. Yani mtu kaajiriwa ila maisha anayoishi yanasikitisha sana. Mtu anafundisha chuo analipwa laki 2?🤔🤔🤔
 
Baada ya kumaliza chuo tu.
01.Kazi yangu ya kwanza ilikuwa ni receptionist Zanzibar.
Niliacha kwasababu niliona ni kazi ya kunyenyekea sana watu, ukiona mzugu umpokee umchekee upokee mabegi meno nje kifupi kazi ya kunyenyekea mtu siwezi hasa hawa wazungu wa hotelini(nikaacha kazi)miezi miwili

02.kazi ya pili, nilikuwa mkufunzi chuo cha maendeleo ya jamii(private) hapa niliacha kwa sababu mbili
Moja mshahara laki mbili hakuna mkataba
Mbili wanafunzi wana sauti kuzidi mwalimu Yani chuo kinasikiliza wanafunzi sana kuliko waalimu ulifelisha msala,pia chuo kipo kijijini ambapo nimezaliwa kujuana kwingi nikaacha kazi nilikaa miezi Tisa

Kazi ya tatu, ni afisa masoko natembea mikoa mbalimbali kuuza bidhaa X
Kwanini nataka kuacha?
01.nataka kutafuta fani mana nina amini maisha bila fani huwezi kufanikiwa(kuweka degree pembeni.)
Naona umri unaenda mshahara mdogo.
03.Boss anatabia ya kufukuza wafanyakazi wapo wengi wazuri zaidi yangu walifukuzwa(mimi nafuata)
Boss pia hayuko serious na kazi anaendeshwa na hisia
Ila kubwa kabisa nataka kutafuta fani au ujuzi sio kuajiliwa.

Kazi ingine niliacha ni udereva Bajaj, kwanini? Huwezi kujenga future kwa Bajaj,kutunza pesa ni ngumu, risk kubwa sana barabara ukizingatia sikuwa na ndugu yoyote Dar.
Nikaacha

Je kwa tabia hizi nina matatizo au nipo sahihi
Naomba ushauri
Huyo boss wako mjinga sana huyo kama vp acha tu
 
Hamjachelewa Mkuu, Bora umeshtuka mapema,,

Ushauri wangu kama uko Dar au Mkoani jiunge na VETA itakuchukua miezi sita Tu kusoma Motor mechanics( vyombo vya moto,) asubuhi Chuo, mchana Garage kupata uzoefu na kushika spans, kwa kuwa umesima utaelewa haraka Sana pesa ndogo ndogo utakuwa unapata kuzidi hizo
Kwa namna ya mtoa maada. Hata akimaliza kazi ataanza kujishikiza kwenye garage za watu na ataacha kazi!.

Naona ni mapito tu ya maisha ajaribu kuangalia kitu atadumu nacho ambacho ataona kina future nzuri hata akianza kidogo.
 
Back
Top Bottom