Kwa Tabia hizi za kuacha kazi nina matatizo au?

Mkufunzi wa chuo ulikuwa unalipwa laki mbili?? Hebu kuwa serious kidogo mkuu au ulikuwa na maana ya mwalimu wa kashule kadogo kachekechea kale kakuimbisha watoto CHECHEKULEEEE CHECHEKOVIZAAAA?
It is possible Mkuu, nimeshuhudia hili kabisa. Baada ya matokeo ya form four kutoka huwa kuna vyuo vinapita na barua za selection zao mapemaa. Tourism and hotel management, secretarial services...community development...daah!.. ususi na utarizi...ongezea na wewe
 
Nimeacha kazi zaidi yako na kwa sababu pengine kubwa.

Shida sio kuacha kazi je una competency ya kupata kazi unayoitaka.

Kuna watu wanaacha kazi kwa sababu soko la ajira linawataka kuliko wanavuolitaka. Kwa hiyo hawa wakichagua kazi ni sawa kabisa

Ila kuacha kazi na ukiondoka kwenye hiyo kazi hakuna gap uliloacha ni sawa na kujipa thamani ambayo huna.

Mwisho wa siku, ya kutokea yameshatokea, so angaliq unafanyq nini next and stick to it maana ni rahisi kwa kazi mbovu kukupeleka kwenye kazi nzuri kuliko kupata kazi mpya.

So chagua kitu pambana nacho mkuu. Tumia akili kuliko hisia na ego
Nimeipenda hii
 
Yaani uliacha kazi sababu ya kunyenyekea sana watu.
Ndugu, hata leo ukijiajiri, mteja ndio boss wako. Usitegemee utanyenyekewa wewe na bado mteja atoe hela kununua bidhaa au huduma yako.

La muhimu jifunze maarifa na lugha ya kumshawishi mteja kuendana na kazi ulionayo na usijione kama unamnyenyekea. Vita ya uchumi haijawahi kuwa rahisi hata siku moja.
Tena pale hotelini anakutana na wageni wengi ndio huenda pangempeleka mbali sana

Pale ndio kwenye kupata connection mbali mbali
 
Baada ya kumaliza chuo tu.

01.Kazi yangu ya kwanza ilikuwa ni receptionist Zanzibar.
Niliacha kwasababu niliona ni kazi ya kunyenyekea sana watu, ukiona mzugu umpokee umchekee upokee mabegi meno nje kifupi kazi ya kunyenyekea mtu siwezi hasa hawa wazungu wa hotelini(nikaacha kazi)miezi miwili

02.kazi ya pili, nilikuwa mkufunzi chuo cha maendeleo ya jamii(private) hapa niliacha kwa sababu mbili
Moja mshahara laki mbili hakuna mkataba

Mbili wanafunzi wana sauti kuzidi mwalimu Yani chuo kinasikiliza wanafunzi sana kuliko waalimu ulifelisha msala,pia chuo kipo kijijini ambapo nimezaliwa kujuana kwingi nikaacha kazi nilikaa miezi Tisa

Kazi ya tatu, ni afisa masoko natembea mikoa mbalimbali kuuza bidhaa X
Kwanini nataka kuacha?

01.nataka kutafuta fani mana nina amini maisha bila fani huwezi kufanikiwa(kuweka degree pembeni.)
Naona umri unaenda mshahara mdogo.
03.Boss anatabia ya kufukuza wafanyakazi wapo wengi wazuri zaidi yangu walifukuzwa(mimi nafuata)
Boss pia hayuko serious na kazi anaendeshwa na hisia
Ila kubwa kabisa nataka kutafuta fani au ujuzi sio kuajiliwa.

Kazi ingine niliacha ni udereva Bajaj, kwanini? Huwezi kujenga future kwa Bajaj,kutunza pesa ni ngumu, risk kubwa sana barabara ukizingatia sikuwa na ndugu yoyote Dar.
Nikaacha

Je kwa tabia hizi nina matatizo au nipo sahihi
Naomba ushauri
Tafuta mume uolewe. Sema utaweza kumtunza mume na unasema huwezi kunyenyekea?
 
huna tatizo, nature ya kazi zenyewe zinakusukuma kuacha
 
Maisha bado hayajakunyosha vizuri wewe .

Hizo kazi unazo ziacha kunawezako wanaotafuta na hawazipati.
 
Pole sana ndugu yangu...

Ukweli ni kwamba wewe HUJAWAI KUPATA KAAZI kwenye orodha yote uliyo iweka..

Wewe unapata ""SURVIVAL JOB"" izo zotee ni survival job

Hizo unafanya ukiwa una chase dreams zako "SURVIVAL JOBS""

NB. SIKU UKIPATA KAZI HUWEZI KUA NA MAWAZO KAMA HAYO TENA NA HAUTO ACHA KIRAHISI

Wenzako wakat wanachagua kusoma course zenye manufaa kwa wakati wa sasa, wewe ulichagua course kwasababu ya mkumbo.
Utafanya kazi hadi ya kuzoa mavi wewe endelea kuchagua kazi
 
Tatizo lako si kazi, ni kutokuwa na uvumilivu. Kila sehemu umeacha kwa sababu umeona mapungufu yake, lakini hakuna kazi isiyo na changamoto. Ukizoea kukimbia kila unapokutana na usichokipenda, hata ukipata “fani” yako unaweza kuiacha hivyo hivyo. Jifunze kuvumilia huku ukijijenga, si kuanza upya kila mara.
 
Kwani wewe unataka nini?, kwanini usikae ww mwenyewe na kutafakari Kwa kina kuwa unataka ufanye nini then ukishaamua Ingia mzima miguu yote miwili, huwezi kufanikiwa Kwa kudandia tu Kila fursa inayojitokeza, kama kweli umeona kuwa na ujuzi wa mikono ndio kitakutoa basi amini kwenye hicho na komaa nacho Hadi unakufa, lazima uwe tayari Kwa changamoto...

Hiyo Hali uliyokuwa nayo naijua na karibu wote Tanzania tulipitia hasa ukiwa umetoka humble background, kuna wakati unafika hujui hasa unachotaka yaani unaenda Tu ilimradi kuna fursa.
 
Back
Top Bottom