Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Kwaiyo mkuu kwa maana hiyo nipo sawa au nina matatizoMungu akutangulie ndugu yangu maisha ni kupambana sana
JichunguzeKwaiyo mkuu kwa maana hiyo nipo sawa au nina matatizo
Nahisi hilo nalo ni tatizoUnatafuta perfect job kwenye dunia isiyo perfect?
Hamjachelewa Mkuu, Bora umeshtuka mapema,,Baada ya kumaliza chuo tu.
01.Kazi yangu ya kwanza ilikuwa ni receptionist Zanzibar.
Niliacha kwasababu niliona ni kazi ya kunyenyekea sana watu, ukiona mzugu umpokee umchekee upokee mabegi meno nje kifupi kazi ya kunyenyekea mtu siwezi hasa hawa wazungu wa hotelini(nikaacha kazi)miezi miwili
02.kazi ya pili, nilikuwa mkufunzi chuo cha maendeleo ya jamii(private) hapa niliacha kwa sababu mbili
Moja mshahara laki mbili hakuna mkataba
Mbili wanafunzi wana sauti kuzidi mwalimu Yani chuo kinasikiliza wanafunzi sana kuliko waalimu ulifelisha msala,pia chuo kipo kijijini ambapo nimezaliwa kujuana kwingi nikaacha kazi nilikaa miezi Tisa
Kazi ya tatu, ni afisa masoko natembea mikoa mbalimbali kuuza bidhaa X
Kwanini nataka kuacha?
01.nataka kutafuta fani mana nina amini maisha bila fani huwezi kufanikiwa(kuweka degree pembeni.)
Naona umri unaenda mshahara mdogo.
03.Boss anatabia ya kufukuza wafanyakazi wapo wengi wazuri zaidi yangu walifukuzwa(mimi nafuata)
Boss pia hayuko serious na kazi anaendeshwa na hisia
Ila kubwa kabisa nataka kutafuta fani au ujuzi sio kuajiliwa.
Kazi ingine niliacha ni udereva Bajaj, kwanini? Huwezi kujenga future kwa Bajaj,kutunza pesa ni ngumu, risk kubwa sana barabara ukizingatia sikuwa na ndugu yoyote Dar.
Nikaacha
Je kwa tabia hizi nina matatizo au nipo sahihi
Naomba ushauri
Uvumilivu ni Muhimu, kunyenyekea lazima ndio Maana Chawa ndio wanapata teuziKapime kiwango cha hisia kwanza. Inaonyesha hisia zimekuzidi bila uhalisia. Haya maisha yanahitaji constent kama huna hiyo hutoboi
Ni Kweli chawa wana kiwango kikubwa cha unyenyekevuUvumilivu ni Muhimu, kunyenyekea lazima ndio Maana Chawa ndio wanapata teuzi
πππwatu mna maneno bwanaMbona sujaona kazi uliyoacha hapa ni kwamba unatabia ya kuacha shughuri mbalimbali
Huyo boss wako mjinga sana huyo kama vp acha tuBaada ya kumaliza chuo tu.
01.Kazi yangu ya kwanza ilikuwa ni receptionist Zanzibar.
Niliacha kwasababu niliona ni kazi ya kunyenyekea sana watu, ukiona mzugu umpokee umchekee upokee mabegi meno nje kifupi kazi ya kunyenyekea mtu siwezi hasa hawa wazungu wa hotelini(nikaacha kazi)miezi miwili
02.kazi ya pili, nilikuwa mkufunzi chuo cha maendeleo ya jamii(private) hapa niliacha kwa sababu mbili
Moja mshahara laki mbili hakuna mkataba
Mbili wanafunzi wana sauti kuzidi mwalimu Yani chuo kinasikiliza wanafunzi sana kuliko waalimu ulifelisha msala,pia chuo kipo kijijini ambapo nimezaliwa kujuana kwingi nikaacha kazi nilikaa miezi Tisa
Kazi ya tatu, ni afisa masoko natembea mikoa mbalimbali kuuza bidhaa X
Kwanini nataka kuacha?
01.nataka kutafuta fani mana nina amini maisha bila fani huwezi kufanikiwa(kuweka degree pembeni.)
Naona umri unaenda mshahara mdogo.
03.Boss anatabia ya kufukuza wafanyakazi wapo wengi wazuri zaidi yangu walifukuzwa(mimi nafuata)
Boss pia hayuko serious na kazi anaendeshwa na hisia
Ila kubwa kabisa nataka kutafuta fani au ujuzi sio kuajiliwa.
Kazi ingine niliacha ni udereva Bajaj, kwanini? Huwezi kujenga future kwa Bajaj,kutunza pesa ni ngumu, risk kubwa sana barabara ukizingatia sikuwa na ndugu yoyote Dar.
Nikaacha
Je kwa tabia hizi nina matatizo au nipo sahihi
Naomba ushauri
Kwa namna ya mtoa maada. Hata akimaliza kazi ataanza kujishikiza kwenye garage za watu na ataacha kazi!.Hamjachelewa Mkuu, Bora umeshtuka mapema,,
Ushauri wangu kama uko Dar au Mkoani jiunge na VETA itakuchukua miezi sita Tu kusoma Motor mechanics( vyombo vya moto,) asubuhi Chuo, mchana Garage kupata uzoefu na kushika spans, kwa kuwa umesima utaelewa haraka Sana pesa ndogo ndogo utakuwa unapata kuzidi hizo