Kwa Tabia hizi za kuacha kazi nina matatizo au?

Mkuu hawa jamaa bei zao zimefika wapi? Nataka kumpeleka dogo akasomee kutengeneza toyo
 
Kwa namna ya mtoa maada. Hata akimaliza kazi ataanza kujishikiza kwenye garage za watu na ataacha kazi!.

Naona ni mapito tu ya maisha ajaribu kuangalia kitu atadumu nacho ambacho ataona kina future nzuri hata akianza kidogo.
Akishapata ujuzi atajiajiri
 
Yaani uliacha kazi sababu ya kunyenyekea sana watu.
Ndugu, hata leo ukijiajiri, mteja ndio boss wako. Usitegemee utanyenyekewa wewe na bado mteja atoe hela kununua bidhaa au huduma yako.

La muhimu jifunze maarifa na lugha ya kumshawishi mteja kuendana na kazi ulionayo na usijione kama unamnyenyekea. Vita ya uchumi haijawahi kuwa rahisi hata siku moja.
 
Kama huwezi kutunza pesa za bajaji utaweza kutunza fedha za fundi bomba,fundi umeme,fundi cherehani nk.

Inshort wewe huna hulka ya kujismamia,bado unamentality ya kusimamiwa.Endelea kuajiriwa mpaka utapoweza kutunza pesa ndio ujiajiri.

Hakuna fani itakutoa kama huna hulka za ubahili.

๐Ÿ“ŒMaduka ya mangi wanapata faida kiduchu ila ubahili na focus ndio unawaona wanatamba december kila mwaka.
 
Katika sehemu zote ambazo umeandika hakuna mahali ambapo umeonesha uliingia mkataba wa ajira unaotambulika kisheria kati yako na hao maboss zako.
 
Hiyo ya kwanza mkuu๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ, muda wote kuchekea mzungu mbaya zaidi unakuta mzungu mwenyewe ni shoga na Basha wake aloooohhh!
 
Kwa kuwa umeshapata uzoefu mbalimbali, anza sasa kujiajiri na wewe uajiri wengine kwa kuwalipa mshahara kidogo.
 
Mkuu sio toyo Tu, anaweza kutengeneza motorcycles zote Pikipiki na za magurudumu matatu, na gadgets nyingi zinazofanana na hizo
Safi sana. Acha nimwambie afatalie. Niwapeleke yeye na rafiki yake wamalize waanzishe sehemu yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ