Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
It is possible Mkuu, nimeshuhudia hili kabisa. Baada ya matokeo ya form four kutoka huwa kuna vyuo vinapita na barua za selection zao mapemaa. Tourism and hotel management, secretarial services...community development...daah!.. ususi na utarizi...ongezea na weweMkufunzi wa chuo ulikuwa unalipwa laki mbili?? Hebu kuwa serious kidogo mkuu au ulikuwa na maana ya mwalimu wa kashule kadogo kachekechea kale kakuimbisha watoto CHECHEKULEEEE CHECHEKOVIZAAAA?
Unaendeleaje love!!
Mungu akutunze sana.
Nimeipenda hiiNimeacha kazi zaidi yako na kwa sababu pengine kubwa.
Shida sio kuacha kazi je una competency ya kupata kazi unayoitaka.
Kuna watu wanaacha kazi kwa sababu soko la ajira linawataka kuliko wanavuolitaka. Kwa hiyo hawa wakichagua kazi ni sawa kabisa
Ila kuacha kazi na ukiondoka kwenye hiyo kazi hakuna gap uliloacha ni sawa na kujipa thamani ambayo huna.
Mwisho wa siku, ya kutokea yameshatokea, so angaliq unafanyq nini next and stick to it maana ni rahisi kwa kazi mbovu kukupeleka kwenye kazi nzuri kuliko kupata kazi mpya.
So chagua kitu pambana nacho mkuu. Tumia akili kuliko hisia na ego
Tena pale hotelini anakutana na wageni wengi ndio huenda pangempeleka mbali sanaYaani uliacha kazi sababu ya kunyenyekea sana watu.
Ndugu, hata leo ukijiajiri, mteja ndio boss wako. Usitegemee utanyenyekewa wewe na bado mteja atoe hela kununua bidhaa au huduma yako.
La muhimu jifunze maarifa na lugha ya kumshawishi mteja kuendana na kazi ulionayo na usijione kama unamnyenyekea. Vita ya uchumi haijawahi kuwa rahisi hata siku moja.
Shukrani mkuuNimeipenda hii
Tafuta mume uolewe. Sema utaweza kumtunza mume na unasema huwezi kunyenyekea?Baada ya kumaliza chuo tu.
01.Kazi yangu ya kwanza ilikuwa ni receptionist Zanzibar.
Niliacha kwasababu niliona ni kazi ya kunyenyekea sana watu, ukiona mzugu umpokee umchekee upokee mabegi meno nje kifupi kazi ya kunyenyekea mtu siwezi hasa hawa wazungu wa hotelini(nikaacha kazi)miezi miwili
02.kazi ya pili, nilikuwa mkufunzi chuo cha maendeleo ya jamii(private) hapa niliacha kwa sababu mbili
Moja mshahara laki mbili hakuna mkataba
Mbili wanafunzi wana sauti kuzidi mwalimu Yani chuo kinasikiliza wanafunzi sana kuliko waalimu ulifelisha msala,pia chuo kipo kijijini ambapo nimezaliwa kujuana kwingi nikaacha kazi nilikaa miezi Tisa
Kazi ya tatu, ni afisa masoko natembea mikoa mbalimbali kuuza bidhaa X
Kwanini nataka kuacha?
01.nataka kutafuta fani mana nina amini maisha bila fani huwezi kufanikiwa(kuweka degree pembeni.)
Naona umri unaenda mshahara mdogo.
03.Boss anatabia ya kufukuza wafanyakazi wapo wengi wazuri zaidi yangu walifukuzwa(mimi nafuata)
Boss pia hayuko serious na kazi anaendeshwa na hisia
Ila kubwa kabisa nataka kutafuta fani au ujuzi sio kuajiliwa.
Kazi ingine niliacha ni udereva Bajaj, kwanini? Huwezi kujenga future kwa Bajaj,kutunza pesa ni ngumu, risk kubwa sana barabara ukizingatia sikuwa na ndugu yoyote Dar.
Nikaacha
Je kwa tabia hizi nina matatizo au nipo sahihi
Naomba ushauri
huna tatizo, nature ya kazi zenyewe zinakusukuma kuachaBaada ya kumaliza chuo tu.

Maisha bado hayajakunyosha vizuri wewe .Baada ya kumaliza chuo tu.

Baada ya kumaliza chuo tu.

Mama yako ni mnyenyekevu kwa baba yako ambaye anapenda kula kisamvu cha kopo?Tafuta mume uolewe. Sema utaweza kumtunza mume na unasema huwezi kunyenyekea?