JumaKilumbi
JF-Expert Member
- Sep 7, 2022
- 432
- 507
Mkuu umepitia lile andiko la ‘Pew research centre’?Nawe unaamin?? kadri miaka inavyokwenda hizi dini zitakosa kabisa wafuasi.
Kama bado pitia wameeleza kwanini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umepitia lile andiko la ‘Pew research centre’?Nawe unaamin?? kadri miaka inavyokwenda hizi dini zitakosa kabisa wafuasi.
Hawajui kuwa wanazidi kuitangaza dini na kuleta 'curiosity' miongoni mwa watu kuifuatilia zaidi na hatimaye kusilimu.View attachment 2407340
Kumuelewesha mjinga kama ww kazi sana kuna comment ya juu kabla ya hii nadhani ungesoma ungeelewa ila ww umedandia gari kwa mbele kiufupi asilimia kubwa ya vichaa na waliopo gerezani ni wanaume achana na mateja ambao hawana kabisa habari za kuoa hapo unasemaje bado mashoga yale ya kikristo yanayofungisha ndoa kanisani.Kwahiyo hawa ndio wangepunguza nusu ya wanaume ili angalau wanaume wanaobaki wapate angalau watatu?
Halafu hii hoja yako ni dhaifu kwasababu ukichaa haichagui jinsia, jela vivyo hivyo na kuna masista wengi kama walivyo mapadri.
Ndio gap la wanaume na wanawake lilianzia hapa hata kwenye vita vilivyofuatia wanaume ndo walikuwa wahanga maana wao ndio walikuwa wanaenda vitani kupigana kwa hyo lile gap halitakaa liwe sawa mpaka dunia inaisha ukiachana na ile ya biological.Kumbe quran iliandikwa kwa ajili ya enzi hizo tu? Sasa kwanini watu wanaitumia miaka hii?
Salute mkuu, una maarifa na unajua kuyatumia hata kwa aliyejipanga kwa kukashfiana.........ujibuji wako ninaamini umemshangaza hata mleta mada maana yeye (kwa nilivyomsoma) alikuja hapa jukwaani kwa ajili ya kujaribu kuwaudhi Waislamu na alijiandaa kuangalia na kucheka vile watakavyopanick.SIO AGIZO, ni Ruhusa. Kuwa ‘objective’ uuelewe vyema Uislam. Ukishaelewa kua SI AGIZO bali ni Ruksa huu uzi unapoteza maana.
Namba zinagoma kweli? Hebu kuwa ‘Objective’ tufunge huu mjadala.
Maeneo mengi utakuta wanawake ni wengi kuliko wanaume ‘with exception of few areas’ na sababu ziko dhahiri.
Wasaikolojia leo wanatwambia ‘Men tends to be more aggressive than women’ na ndiyo maana wengi wako magerezani ukilinganisha na wanaume.
Vita zikitokea wengi wa wanaokufa ni wanaume, kama wewe ni mfuatiliaji utagundua hata wakati wa vita ya Urusi na Ukraine Wanawake na watoto waliruhusiwa kuondoka Ukraine huku Wanaume wakilzimishwa kubaki kupigana.
Ulevi na uraibu wa madawa ya kulevya huwaathiri sana wanaume kuliko wanawake, na wataalam wanatueleza kuwa Wanaume wako kwenye hatari kubwa kuingia kwenye uraibu kuliko wanawake.
Uwiano wa kujinyonga ni mkubwa kwa wanaume kuliko wanawake. Yaani kuna nafasi kubwa kwa ME kujinyonga kuliko KE.
Sasa namba zinagoma wapi? Au niambie ni mkoa gani Tanzania wanaume wamekosa wake wa kuoa kisa Waislam wameoa wake wengi?
Unasema mungu kaweka chuki kwa KE juu ya ndoa hizi, ni kweli wapo baadhi ya KE wasiopenda kuolewa hivi na pia wapo wanaopenda kuolewa namna hii.
Na ushahidi wa hili ni mwingi watu wangapi na wengine mashuhuri wana wake wengi?
Hapo zamani babu zetu walioa wake wangapi?
(Ukisoma historia hata kidogo hili haliwezi gumu kuelewa)
Kama ni mfuatiliaji utaona namna jamii zetu zilivyo hivi sasa, mtu ana mke mmoja na michepuko kadhaa. Na hapa michepuko hii haina haki yoyote kwa mume kisheria ila watakapozaa.
Sasa ipi bora, mtu huyu kumwozesha wake wengine kihalali na kuwapa wake hao haki zao kamili kama wake na hadhi zao ktk jamii au kuendelea kuwadunisha kwa kuwa michepuko wasio na haki wala hadhi kijamii?
Narudia tena, kuwa ‘Objective’ ili uelewe kitu kidogo sana. KUOA WAKE WANNE SIO AGIZO, NI RUHUSA!
Maana msingi wa uzi wako uko hapa, ukielewa kuwa SI AGIZO utaelewa vingine.
Unaona sasa? Biblia haijawa wazi kwenye hilo Quran imetueleza wazi kuwa “…. Oa mmoja tu…”
Biblia haijasema kitu kuhusu idadi ya wake wa kuoa, na pia haijasema mtu aoe mmoja, hayo ni mawazo ya wakuu wa kanisa tu ambayo hayana mshikamano na Biblia takatifu.
Unamjua Ibrahimu? Baba wa iman alikuwa na wake wangapi?
Unamjua mtu mfalme mwenye busara pengine kuliko wote, Mfalme Suleyman alikuwa na wake wangapi?
Na uzuri mifano iko mingi sana, sasa wewe unamzidi utukufu Suleyman? Au Ibrahimu? Kiasi ujiharamishie kuoa wake wengi?
Au ni wapi kwenye biblia imekatazwa mtu kuoa wake wengi?
Vipi kuhusu Jacob, Esau, Lamek, Abijah, Gideon.
Ukitaka kulijua hili vyema msome Father Adrian Hastings kwenye kitabu chake “Christian marriages in Africa” uupate ukweli wa madai yako dhalili ati Biblia imesema mtu aoe mke mmoja.
(Acha uvivu msome Father Adrian kweli)
Vizuri, maana imeonesha kuwa ‘progressive’ kidogo.
Kwahiyo mwenza akikutukania wazazi wako, akawa hapendi ndugu zako, mchawi muuaji ila si mzinifu huwezi kumwacha?
Hivi unajua unachokisema ? Unajua ‘complexity’ ya ndoa? au unakariri vifungu na kuvimeza kama vilivyo wala hufikiri?
Nakuuliza tena, unajua unachokiongea mkuu?
Hivi ulete sheria ambazo hazipo ‘practical’ jamii itastawi vipi?
Mkuu jipe muda soma tena ukristo, usome vizuri na usome Uislam vizuri kisha uje uandike vitu vyenye mantiki nami ‘i will be more than happy to discuss spirituality with you’
Nina allergy ya kuwaQuote wapumbavu na kujibu mada za kipumbavu .Jikite kwenye uzi, jibu hoja kwa hoja.
Ninashukuu mkuu, ile mada ya bwana ROBERT HERIEL nilimueleza kitu kimoja kuwa; angefahamu kuwa Quran haikuja kuipinga biblia bali kuikamilisha zaidi ya 98% ya uzi ule ungepoteza maana.Salute mkuu, una maarifa na unajua kuyatumia hata kwa aliyejipanga kwa kukashfiana.........ujibuji wako ninaamini umemshangaza hata mleta mada maana yeye (kwa nilivyomsoma) alikuja hapa jukwaani kwa ajili ya kujaribu kuwaudhi Waislamu na alijiandaa kuangalia na kucheka vile watakavyopanick.
Kuna mada nyingine kule inaendelea; inazungumzia sijui kuzipeleka mahakamani Qur'an dhidi ya Biblia ili ishindwe.......ukiweza pitia na kule mkuu unaweza kuchangia kitu katika kuwaokoa hao wapinga Uislamu waliokwama.
Ni kweli mkuu ipo, na hata Afrika ya Kusini mwaka 2021 walipendekeza mswada wa kuruhusu hilo upite na iwe sheria.Huko India nako inasemekana kuna mfumo wa kuwaruhusu wanawake kuolewa na mwanaume zaidi ya mmoja, labda kuna kuji balance.
Punguza ujinga bwasheeKwakweli hii komenti yako inathibitisha.
Kwahiyo hapa Tanzania pia sensa ilifanywa na wazungu?Sensa ni zinadhaminiwa na wazungu lazima hesabu itoke kama wanavyotaka wao ili iwe rahisi kuleta mambo ya gender equity na mambo yao ya magasho
Waislam wanaongezeka zaidi ufaransa, hiyo ni fact unaweza kupata taarifa zaidi mtandaoni.Mkuu kusema Uislam unakua Ufaransa peke yake umefanya tafiti?
Kama hujafanya taarifa hiyo umeitoa wapi?
Halafu hivi unajua kuna wimbi kubwa la watu wanaoacha kujihusisha na dini?
Mkuu hizi hoja ni mawazo yako au ni ‘fact’? Naona hazina uhalisia kwa yanayoendelea Duniani.
Nimeshajibu huko nyuma, soma Mathayo 19 kuanzia mstari wa tatu.Tupe andiko la biblia linalosema mwanaume akioa wanawake zaidi ya mmoja ni dhambi. Nasubiri hapa
Hapa umeweka blah blah tupu. Hakuna mkristo anayefungisha ndoa za jinsia moja, hao ni wapumbavu tu wanaopenda kujiita wakristo.Kumuelewesha mjinga kama ww kazi sana kuna comment ya juu kabla ya hii nadhani ungesoma ungeelewa ila ww umedandia gari kwa mbele kiufupi asilimia kubwa ya vichaa na waliopo gerezani ni wanaume achana na mateja ambao hawana kabisa habari za kuoa hapo unasemaje bado mashoga yale ya kikristo yanayofungisha ndoa kanisani.
Sasa hapo takwimu zinaonesha duniani wanaume ni wengi kuliko wanawake.Ndio gap la wanaume na wanawake lilianzia hapa hata kwenye vita vilivyofuatia wanaume ndo walikuwa wahanga maana wao ndio walikuwa wanaenda vitani kupigana kwa hyo lile gap halitakaa liwe sawa mpaka dunia inaisha ukiachana na ile ya biological.
Hayo maelezo yake mengi ni blah blah tupu za kuepuka kujibu hoja iliyopo mezani.Salute mkuu, una maarifa na unajua kuyatumia hata kwa aliyejipanga kwa kukashfiana.........ujibuji wako ninaamini umemshangaza hata mleta mada maana yeye (kwa nilivyomsoma) alikuja hapa jukwaani kwa ajili ya kujaribu kuwaudhi Waislamu na alijiandaa kuangalia na kucheka vile watakavyopanick.
Kuna mada nyingine kule inaendelea; inazungumzia sijui kuzipeleka mahakamani Qur'an dhidi ya Biblia ili ishindwe.......ukiweza pitia na kule mkuu unaweza kuchangia kitu katika kuwaokoa hao wapinga Uislamu waliokwama.
Quran iikamilishe biblia?🤣🤣🤣 Weka link hapa tubonyeze ngapi kupata vichekesho kama hivi?Ninashukuu mkuu, ile mada ya bwana ROBERT HERIEL nilimueleza kitu kimoja kuwa; angefahamu kuwa Quran haikuja kuipinga biblia bali kuikamilisha zaidi ya 98% ya uzi ule ungepoteza maana.
Nashukuru alikuwa muelewa na kukubali.
Jaribu kurudi mirembe ulipotoroka.Punguza ujinga bwashee
Ruhusa ya kuoa wake wengi ni jambo linalopendwa na wanaume na lingechukuliwa serious basi Allah angebakia na aibu maana hajaweza kuumba wanawake wa kutosha ili litekelezwe.SIO AGIZO, ni Ruhusa. Kuwa ‘objective’ uuelewe vyema Uislam. Ukishaelewa kua SI AGIZO bali ni Ruksa huu uzi unapoteza maana.
Namba zinagoma kweli? Hebu kuwa ‘Objective’ tufunge huu mjadala.
Takwimu za dunia zinapingana na hilo, kuna wanaume milioni 60+ zaidi ya wanawake.Maeneo mengi utakuta wanawake ni wengi kuliko wanaume ‘with exception of few areas’ na sababu ziko dhahiri.
Hawa wapo kwenye hiyo category ya wanaume milioni 60+ waliozidi idadi ya wanawake unless ulete takwimu kwamba duniani wafungwa wanazidi hiyo namba.Wasaikolojia leo wanatwambia ‘Men tends to be more aggressive than women’ na ndiyo maana wengi wako magerezani ukilinganisha na wanaume.
Takwimu za dunia zinapingana na hii hoja yako.Vita zikitokea wengi wa wanaokufa ni wanaume, kama wewe ni mfuatiliaji utagundua hata wakati wa vita ya Urusi na Ukraine Wanawake na watoto waliruhusiwa kuondoka Ukraine huku Wanaume wakilzimishwa kubaki kupigana.
Weka hapa takwimu za hii categoryUlevi na uraibu wa madawa ya kulevya huwaathiri sana wanaume kuliko wanawake, na wataalam wanatueleza kuwa Wanaume wako kwenye hatari kubwa kuingia kwenye uraibu kuliko wanawake.
Takwimu za dunia kwa sasa zinapingana na hili maana wanaume ni wengi zaidi ya wanawake.Uwiano wa kujinyonga ni mkubwa kwa wanaume kuliko wanawake. Yaani kuna nafasi kubwa kwa ME kujinyonga kuliko KE.
Kwa idadi ya wanaume waliopo duniani kwa sasa haiwezekani japo wanawake wakatutosha wote achilia mbali kuwa na mke zaidi ya mmoja.Sasa namba zinagoma wapi? Au niambie ni mkoa gani Tanzania wanaume wamekosa wake wa kuoa kisa Waislam wameoa wake wengi?
Huu ni uongo, hakuna mwanamke anataka au anapenda mume wake awe na mwanamke mwingine.Unasema mungu kaweka chuki kwa KE juu ya ndoa hizi, ni kweli wapo baadhi ya KE wasiopenda kuolewa hivi na pia wapo wanaopenda kuolewa namna hii.
Na ushahidi wa hili ni mwingi watu wangapi na wengine mashuhuri wana wake wengi?
Hapo zamani babu zetu walioa wake wangapi?
(Ukisoma historia hata kidogo hili haliwezi gumu kuelewa)
Hizi takwimu umezitoa wapi. Yaani weakness za watu wachache ndio zimfanye Allah kuruhusu watu waoe wake wengi? Halafu hapohapo Allah ameshindwa kuumba wanawake wengi kuliko wanaume.😂Kama ni mfuatiliaji utaona namna jamii zetu zilivyo hivi sasa, mtu ana mke mmoja na michepuko kadhaa. Na hapa michepuko hii haina haki yoyote kwa mume kisheria ila watakapozaa.
Sasa ipi bora, mtu huyu kumwozesha wake wengine kihalali na kuwapa wake hao haki zao kamili kama wake na hadhi zao ktk jamii au kuendelea kuwadunisha kwa kuwa michepuko wasio na haki wala hadhi kijamii?
Lile ni ruhusa ambayo lazima ichangamkiwe lakini sasa Allah kashindwa kuumba wanawake wengi kuliko wanaume.Narudia tena, kuwa ‘Objective’ ili uelewe kitu kidogo sana. KUOA WAKE WANNE SIO AGIZO, NI RUHUSA!
Maana msingi wa uzi wako uko hapa, ukielewa kuwa SI AGIZO utaelewa vingine.
Acha kuleta upotoshaji wako, biblia imesema Mungu alimuumba mtu mume na mke na hao WAWILI watakuwa mwili mmoja na hivyo mwanaume atawaacha wazazi wake na kuambatana na mkewe. ACHA KULETA UPOTOSHAJI.Unaona sasa? Biblia haijawa wazi kwenye hilo Quran imetueleza wazi kuwa “…. Oa mmoja tu…”
Biblia haijasema kitu kuhusu idadi ya wake wa kuoa, na pia haijasema mtu aoe mmoja, hayo ni mawazo ya wakuu wa kanisa tu ambayo hayana mshikamano na Biblia takatifu.
Nenda kasome Mathayo 19 kuanzia mstari wa tatu kama nilivyokuwekea post za nyuma uelewe kwanini watu walioa wake wengi agano la kale. Yesu alishaweka maelezo kwamba tangu MWANZO Mungu alimuumba Adam na Eva (hakuumba wanawake wengi kwa ajili ya Adam) na kwamba wakristo wanatakiwa kufuata utaratibu huo wa tangu mwanzo.Unamjua Ibrahimu? Baba wa iman alikuwa na wake wangapi?
Unamjua mtu mfalme mwenye busara pengine kuliko wote, Mfalme Suleyman alikuwa na wake wangapi?
Na uzuri mifano iko mingi sana, sasa wewe unamzidi utukufu Suleyman? Au Ibrahimu? Kiasi ujiharamishie kuoa wake wengi?
Au ni wapi kwenye biblia imekatazwa mtu kuoa wake wengi?
Vipi kuhusu Jacob, Esau, Lamek, Abijah, Gideon.
Ninamsoma Yesu Kristo katika biblia, sifuatishi opinion za watu wengine wala experience zao.Ukitaka kulijua hili vyema msome Father Adrian Hastings kwenye kitabu chake “Christian marriages in Africa” uupate ukweli wa madai yako dhalili ati Biblia imesema mtu aoe mke mmoja.
(Acha uvivu msome Father Adrian kweli)
Ndio maana Yesu Kristo alipomaliza ile sura ya 19 katika kitabu cha Mathayo alisema agizo hilo ni gumu na kwamba sio kila mtu atakuwa na imani ya kulifuata. Ukiwa mkristo lazima ufuate maagizo ya biblia na sio logic zako.Kwahiyo mwenza akikutukania wazazi wako, akawa hapendi ndugu zako, mchawi muuaji ila si mzinifu huwezi kumwacha?
Hivi unajua unachokisema ? Unajua ‘complexity’ ya ndoa? au unakariri vifungu na kuvimeza kama vilivyo wala hufikiri?
Tunafuata maelekezo ya biblia na sio popular opinion ya society.Nakuuliza tena, unajua unachokiongea mkuu?
Hivi ulete sheria ambazo hazipo ‘practical’ jamii itastawi vipi?
Mantiki ni neno la Mungu katika biblia na sio opinion za watu wengine. Nimeisoma hiyo na nimeitumia kukujibu hapa.Mkuu jipe muda soma tena ukristo, usome vizuri na usome Uislam vizuri kisha uje uandike vitu vyenye mantiki nami ‘i will be more than happy to discuss spirituality with you’