Kwa takwimu hizi za sensa hapa Tanzania na duniani, agizo la Quran kuoa mpaka wanawake wanne halitekelezeki

Kwahiyo hawa ndio wangepunguza nusu ya wanaume ili angalau wanaume wanaobaki wapate angalau watatu?

Halafu hii hoja yako ni dhaifu kwasababu ukichaa haichagui jinsia, jela vivyo hivyo na kuna masista wengi kama walivyo mapadri.
Kumuelewesha mjinga kama ww kazi sana kuna comment ya juu kabla ya hii nadhani ungesoma ungeelewa ila ww umedandia gari kwa mbele kiufupi asilimia kubwa ya vichaa na waliopo gerezani ni wanaume achana na mateja ambao hawana kabisa habari za kuoa hapo unasemaje bado mashoga yale ya kikristo yanayofungisha ndoa kanisani.
 
Kumbe quran iliandikwa kwa ajili ya enzi hizo tu? Sasa kwanini watu wanaitumia miaka hii?
Ndio gap la wanaume na wanawake lilianzia hapa hata kwenye vita vilivyofuatia wanaume ndo walikuwa wahanga maana wao ndio walikuwa wanaenda vitani kupigana kwa hyo lile gap halitakaa liwe sawa mpaka dunia inaisha ukiachana na ile ya biological.
 
SIO AGIZO, ni Ruhusa. Kuwa ‘objective’ uuelewe vyema Uislam. Ukishaelewa kua SI AGIZO bali ni Ruksa huu uzi unapoteza maana.

Namba zinagoma kweli? Hebu kuwa ‘Objective’ tufunge huu mjadala.

Maeneo mengi utakuta wanawake ni wengi kuliko wanaume ‘with exception of few areas’ na sababu ziko dhahiri.

Wasaikolojia leo wanatwambia ‘Men tends to be more aggressive than women’ na ndiyo maana wengi wako magerezani ukilinganisha na wanaume.

Vita zikitokea wengi wa wanaokufa ni wanaume, kama wewe ni mfuatiliaji utagundua hata wakati wa vita ya Urusi na Ukraine Wanawake na watoto waliruhusiwa kuondoka Ukraine huku Wanaume wakilzimishwa kubaki kupigana.

Ulevi na uraibu wa madawa ya kulevya huwaathiri sana wanaume kuliko wanawake, na wataalam wanatueleza kuwa Wanaume wako kwenye hatari kubwa kuingia kwenye uraibu kuliko wanawake.

Uwiano wa kujinyonga ni mkubwa kwa wanaume kuliko wanawake. Yaani kuna nafasi kubwa kwa ME kujinyonga kuliko KE.

Sasa namba zinagoma wapi? Au niambie ni mkoa gani Tanzania wanaume wamekosa wake wa kuoa kisa Waislam wameoa wake wengi?

Unasema mungu kaweka chuki kwa KE juu ya ndoa hizi, ni kweli wapo baadhi ya KE wasiopenda kuolewa hivi na pia wapo wanaopenda kuolewa namna hii.

Na ushahidi wa hili ni mwingi watu wangapi na wengine mashuhuri wana wake wengi?

Hapo zamani babu zetu walioa wake wangapi?

(Ukisoma historia hata kidogo hili haliwezi gumu kuelewa)

Kama ni mfuatiliaji utaona namna jamii zetu zilivyo hivi sasa, mtu ana mke mmoja na michepuko kadhaa. Na hapa michepuko hii haina haki yoyote kwa mume kisheria ila watakapozaa.

Sasa ipi bora, mtu huyu kumwozesha wake wengine kihalali na kuwapa wake hao haki zao kamili kama wake na hadhi zao ktk jamii au kuendelea kuwadunisha kwa kuwa michepuko wasio na haki wala hadhi kijamii?

Narudia tena, kuwa ‘Objective’ ili uelewe kitu kidogo sana. KUOA WAKE WANNE SIO AGIZO, NI RUHUSA!

Maana msingi wa uzi wako uko hapa, ukielewa kuwa SI AGIZO utaelewa vingine.

Unaona sasa? Biblia haijawa wazi kwenye hilo Quran imetueleza wazi kuwa “…. Oa mmoja tu…”

Biblia haijasema kitu kuhusu idadi ya wake wa kuoa, na pia haijasema mtu aoe mmoja, hayo ni mawazo ya wakuu wa kanisa tu ambayo hayana mshikamano na Biblia takatifu.

Unamjua Ibrahimu? Baba wa iman alikuwa na wake wangapi?

Unamjua mtu mfalme mwenye busara pengine kuliko wote, Mfalme Suleyman alikuwa na wake wangapi?

Na uzuri mifano iko mingi sana, sasa wewe unamzidi utukufu Suleyman? Au Ibrahimu? Kiasi ujiharamishie kuoa wake wengi?

Au ni wapi kwenye biblia imekatazwa mtu kuoa wake wengi?

Vipi kuhusu Jacob, Esau, Lamek, Abijah, Gideon.

Ukitaka kulijua hili vyema msome Father Adrian Hastings kwenye kitabu chake “Christian marriages in Africa” uupate ukweli wa madai yako dhalili ati Biblia imesema mtu aoe mke mmoja.

(Acha uvivu msome Father Adrian kweli)

Vizuri, maana imeonesha kuwa ‘progressive’ kidogo.

Kwahiyo mwenza akikutukania wazazi wako, akawa hapendi ndugu zako, mchawi muuaji ila si mzinifu huwezi kumwacha?

Hivi unajua unachokisema ? Unajua ‘complexity’ ya ndoa? au unakariri vifungu na kuvimeza kama vilivyo wala hufikiri?

Nakuuliza tena, unajua unachokiongea mkuu?

Hivi ulete sheria ambazo hazipo ‘practical’ jamii itastawi vipi?

Mkuu jipe muda soma tena ukristo, usome vizuri na usome Uislam vizuri kisha uje uandike vitu vyenye mantiki nami ‘i will be more than happy to discuss spirituality with you’
Salute mkuu, una maarifa na unajua kuyatumia hata kwa aliyejipanga kwa kukashfiana.........ujibuji wako ninaamini umemshangaza hata mleta mada maana yeye (kwa nilivyomsoma) alikuja hapa jukwaani kwa ajili ya kujaribu kuwaudhi Waislamu na alijiandaa kuangalia na kucheka vile watakavyopanick.

Kuna mada nyingine kule inaendelea; inazungumzia sijui kuzipeleka mahakamani Qur'an dhidi ya Biblia ili ishindwe.......ukiweza pitia na kule mkuu unaweza kuchangia kitu katika kuwaokoa hao wapinga Uislamu waliokwama.
 
Ninashukuu mkuu, ile mada ya bwana ROBERT HERIEL nilimueleza kitu kimoja kuwa; angefahamu kuwa Quran haikuja kuipinga biblia bali kuikamilisha zaidi ya 98% ya uzi ule ungepoteza maana.

Nashukuru alikuwa muelewa na kukubali.
 
Huko India nako inasemekana kuna mfumo wa kuwaruhusu wanawake kuolewa na mwanaume zaidi ya mmoja, labda kuna kuji balance.
Ni kweli mkuu ipo, na hata Afrika ya Kusini mwaka 2021 walipendekeza mswada wa kuruhusu hilo upite na iwe sheria.
 
Sensa ni zinadhaminiwa na wazungu lazima hesabu itoke kama wanavyotaka wao ili iwe rahisi kuleta mambo ya gender equity na mambo yao ya magasho
Kwahiyo hapa Tanzania pia sensa ilifanywa na wazungu?
 
Mkuu kusema Uislam unakua Ufaransa peke yake umefanya tafiti?

Kama hujafanya taarifa hiyo umeitoa wapi?

Halafu hivi unajua kuna wimbi kubwa la watu wanaoacha kujihusisha na dini?

Mkuu hizi hoja ni mawazo yako au ni ‘fact’? Naona hazina uhalisia kwa yanayoendelea Duniani.
Waislam wanaongezeka zaidi ufaransa, hiyo ni fact unaweza kupata taarifa zaidi mtandaoni.

Ila pia waislam wanayo tabia ya kuongea sana na kulalamika maeneo wanayokaribishwa ili tamaduni zao zifanywe rasmi hivyo huwa wanasikika sana ingawa ni wachache.
 
Kumuelewesha mjinga kama ww kazi sana kuna comment ya juu kabla ya hii nadhani ungesoma ungeelewa ila ww umedandia gari kwa mbele kiufupi asilimia kubwa ya vichaa na waliopo gerezani ni wanaume achana na mateja ambao hawana kabisa habari za kuoa hapo unasemaje bado mashoga yale ya kikristo yanayofungisha ndoa kanisani.
Hapa umeweka blah blah tupu. Hakuna mkristo anayefungisha ndoa za jinsia moja, hao ni wapumbavu tu wanaopenda kujiita wakristo.
 
Ndio gap la wanaume na wanawake lilianzia hapa hata kwenye vita vilivyofuatia wanaume ndo walikuwa wahanga maana wao ndio walikuwa wanaenda vitani kupigana kwa hyo lile gap halitakaa liwe sawa mpaka dunia inaisha ukiachana na ile ya biological.
Sasa hapo takwimu zinaonesha duniani wanaume ni wengi kuliko wanawake.
 
Salute mkuu, una maarifa na unajua kuyatumia hata kwa aliyejipanga kwa kukashfiana.........ujibuji wako ninaamini umemshangaza hata mleta mada maana yeye (kwa nilivyomsoma) alikuja hapa jukwaani kwa ajili ya kujaribu kuwaudhi Waislamu na alijiandaa kuangalia na kucheka vile watakavyopanick.

Kuna mada nyingine kule inaendelea; inazungumzia sijui kuzipeleka mahakamani Qur'an dhidi ya Biblia ili ishindwe.......ukiweza pitia na kule mkuu unaweza kuchangia kitu katika kuwaokoa hao wapinga Uislamu waliokwama.
Hayo maelezo yake mengi ni blah blah tupu za kuepuka kujibu hoja iliyopo mezani.
 
Ninashukuu mkuu, ile mada ya bwana ROBERT HERIEL nilimueleza kitu kimoja kuwa; angefahamu kuwa Quran haikuja kuipinga biblia bali kuikamilisha zaidi ya 98% ya uzi ule ungepoteza maana.

Nashukuru alikuwa muelewa na kukubali.
Quran iikamilishe biblia?🤣🤣🤣 Weka link hapa tubonyeze ngapi kupata vichekesho kama hivi?

Maswali ya Robert kule hamjayajibu mkaleta blah blah tupu na kibadilisha mada kama ilivyo kawaida yenu.
 
SIO AGIZO, ni Ruhusa. Kuwa ‘objective’ uuelewe vyema Uislam. Ukishaelewa kua SI AGIZO bali ni Ruksa huu uzi unapoteza maana.

Namba zinagoma kweli? Hebu kuwa ‘Objective’ tufunge huu mjadala.
Ruhusa ya kuoa wake wengi ni jambo linalopendwa na wanaume na lingechukuliwa serious basi Allah angebakia na aibu maana hajaweza kuumba wanawake wa kutosha ili litekelezwe.
Maeneo mengi utakuta wanawake ni wengi kuliko wanaume ‘with exception of few areas’ na sababu ziko dhahiri.
Takwimu za dunia zinapingana na hilo, kuna wanaume milioni 60+ zaidi ya wanawake.
Wasaikolojia leo wanatwambia ‘Men tends to be more aggressive than women’ na ndiyo maana wengi wako magerezani ukilinganisha na wanaume.
Hawa wapo kwenye hiyo category ya wanaume milioni 60+ waliozidi idadi ya wanawake unless ulete takwimu kwamba duniani wafungwa wanazidi hiyo namba.
Vita zikitokea wengi wa wanaokufa ni wanaume, kama wewe ni mfuatiliaji utagundua hata wakati wa vita ya Urusi na Ukraine Wanawake na watoto waliruhusiwa kuondoka Ukraine huku Wanaume wakilzimishwa kubaki kupigana.
Takwimu za dunia zinapingana na hii hoja yako.
Ulevi na uraibu wa madawa ya kulevya huwaathiri sana wanaume kuliko wanawake, na wataalam wanatueleza kuwa Wanaume wako kwenye hatari kubwa kuingia kwenye uraibu kuliko wanawake.
Weka hapa takwimu za hii category
Uwiano wa kujinyonga ni mkubwa kwa wanaume kuliko wanawake. Yaani kuna nafasi kubwa kwa ME kujinyonga kuliko KE.
Takwimu za dunia kwa sasa zinapingana na hili maana wanaume ni wengi zaidi ya wanawake.
Sasa namba zinagoma wapi? Au niambie ni mkoa gani Tanzania wanaume wamekosa wake wa kuoa kisa Waislam wameoa wake wengi?
Kwa idadi ya wanaume waliopo duniani kwa sasa haiwezekani japo wanawake wakatutosha wote achilia mbali kuwa na mke zaidi ya mmoja.
Unasema mungu kaweka chuki kwa KE juu ya ndoa hizi, ni kweli wapo baadhi ya KE wasiopenda kuolewa hivi na pia wapo wanaopenda kuolewa namna hii.

Na ushahidi wa hili ni mwingi watu wangapi na wengine mashuhuri wana wake wengi?

Hapo zamani babu zetu walioa wake wangapi?

(Ukisoma historia hata kidogo hili haliwezi gumu kuelewa)
Huu ni uongo, hakuna mwanamke anataka au anapenda mume wake awe na mwanamke mwingine.
Kama ni mfuatiliaji utaona namna jamii zetu zilivyo hivi sasa, mtu ana mke mmoja na michepuko kadhaa. Na hapa michepuko hii haina haki yoyote kwa mume kisheria ila watakapozaa.

Sasa ipi bora, mtu huyu kumwozesha wake wengine kihalali na kuwapa wake hao haki zao kamili kama wake na hadhi zao ktk jamii au kuendelea kuwadunisha kwa kuwa michepuko wasio na haki wala hadhi kijamii?
Hizi takwimu umezitoa wapi. Yaani weakness za watu wachache ndio zimfanye Allah kuruhusu watu waoe wake wengi? Halafu hapohapo Allah ameshindwa kuumba wanawake wengi kuliko wanaume.😂
Narudia tena, kuwa ‘Objective’ ili uelewe kitu kidogo sana. KUOA WAKE WANNE SIO AGIZO, NI RUHUSA!

Maana msingi wa uzi wako uko hapa, ukielewa kuwa SI AGIZO utaelewa vingine.
Lile ni ruhusa ambayo lazima ichangamkiwe lakini sasa Allah kashindwa kuumba wanawake wengi kuliko wanaume.
Unaona sasa? Biblia haijawa wazi kwenye hilo Quran imetueleza wazi kuwa “…. Oa mmoja tu…”

Biblia haijasema kitu kuhusu idadi ya wake wa kuoa, na pia haijasema mtu aoe mmoja, hayo ni mawazo ya wakuu wa kanisa tu ambayo hayana mshikamano na Biblia takatifu.
Acha kuleta upotoshaji wako, biblia imesema Mungu alimuumba mtu mume na mke na hao WAWILI watakuwa mwili mmoja na hivyo mwanaume atawaacha wazazi wake na kuambatana na mkewe. ACHA KULETA UPOTOSHAJI.
Unamjua Ibrahimu? Baba wa iman alikuwa na wake wangapi?

Unamjua mtu mfalme mwenye busara pengine kuliko wote, Mfalme Suleyman alikuwa na wake wangapi?

Na uzuri mifano iko mingi sana, sasa wewe unamzidi utukufu Suleyman? Au Ibrahimu? Kiasi ujiharamishie kuoa wake wengi?

Au ni wapi kwenye biblia imekatazwa mtu kuoa wake wengi?

Vipi kuhusu Jacob, Esau, Lamek, Abijah, Gideon.
Nenda kasome Mathayo 19 kuanzia mstari wa tatu kama nilivyokuwekea post za nyuma uelewe kwanini watu walioa wake wengi agano la kale. Yesu alishaweka maelezo kwamba tangu MWANZO Mungu alimuumba Adam na Eva (hakuumba wanawake wengi kwa ajili ya Adam) na kwamba wakristo wanatakiwa kufuata utaratibu huo wa tangu mwanzo.
Ukitaka kulijua hili vyema msome Father Adrian Hastings kwenye kitabu chake “Christian marriages in Africa” uupate ukweli wa madai yako dhalili ati Biblia imesema mtu aoe mke mmoja.

(Acha uvivu msome Father Adrian kweli)
Ninamsoma Yesu Kristo katika biblia, sifuatishi opinion za watu wengine wala experience zao.
Kwahiyo mwenza akikutukania wazazi wako, akawa hapendi ndugu zako, mchawi muuaji ila si mzinifu huwezi kumwacha?

Hivi unajua unachokisema ? Unajua ‘complexity’ ya ndoa? au unakariri vifungu na kuvimeza kama vilivyo wala hufikiri?
Ndio maana Yesu Kristo alipomaliza ile sura ya 19 katika kitabu cha Mathayo alisema agizo hilo ni gumu na kwamba sio kila mtu atakuwa na imani ya kulifuata. Ukiwa mkristo lazima ufuate maagizo ya biblia na sio logic zako.

Mwenza wako akiwa na tabia hizo unapaswa kumuombea na kumuonyesha upendo wa Kristo na hatimaye atabadilika.
Nakuuliza tena, unajua unachokiongea mkuu?

Hivi ulete sheria ambazo hazipo ‘practical’ jamii itastawi vipi?
Tunafuata maelekezo ya biblia na sio popular opinion ya society.
Mkuu jipe muda soma tena ukristo, usome vizuri na usome Uislam vizuri kisha uje uandike vitu vyenye mantiki nami ‘i will be more than happy to discuss spirituality with you’
Mantiki ni neno la Mungu katika biblia na sio opinion za watu wengine. Nimeisoma hiyo na nimeitumia kukujibu hapa.
 
Back
Top Bottom