Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Tulishuhudia mechi wote, Yanga walikuwa wamezidiwa kila idara na Mamelodi
Yanga walichofanya ni kupaki basi kubutua butua, kucheza rafu kwa dakika zote na kubahatisha shuti moja ambalo ndio wanalolalamikia walinyimwa goli
Kwa mashabiki tunaopenda kuona soka, tunataka timu bora ishinde, sio kubahatisha, hata Penalti walishindwa kupiga
Mamelodi ndio alikuwa timu bora na alistahili kushinda