Kwa takwinu hizi, Yanga kutolewa ni haki, ingeitoa Mamelodi ndio isingekuwa haki, Mamelodi alikuwa timu bora

Hawautaki huu ukweli..wameaminishwa kuwa wao walitakiwa wawafunge mamezdadi...
Acheni kuropoka ninyi.
Morocco ilifika nusu fainali world cup kwa conventional football,je mwataka kusema Morocco iliionea Portugal na Spain??
 
Tulishuhudia mechi wote, Yanga walikuwa wamezidiwa kila idara na Mamelodi
Yanga walichofanya ni kupaki basi kubutua butua, kucheza rafu kwa dakika zote na kubahatisha shuti moja ambalo ndio wanalolalamikia walinyimwa goli

Kwa mashabiki tunaopenda kuona soka, tunataka timu bora ishinde, sio kubahatisha, hata Penalti walishindwa kupiga

Mamelodi ndio alikuwa timu bora na alistahili kushinda

View attachment 2955417
Yanga hawakutaka penalti walitaaka kumaliza game 90 mins na walifanya hivyo ila timu mbovu ikabebwa...takwimu hazikupeleki kokote ila goli tu ndo linaweza kukupeleka hatua nyingine
 
Naam
IMG-20240406-WA0020.jpg
 
Yanga alienda kuzuia sio kushinda .

Ila jana yanga alicheza mpira mbovu zaidi kuwahi kutokea .

Mechi ilikua ya kubutua na kuzuia tu yaani yanga tumeteseka jana mda wote roho juu
Afu mnalilia kwenda semi final? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona maajabu haya
 
Acheni kuropoka ninyi.
Morocco ilifika nusu fainali world cup kwa conventional football,je mwataka kusema Morocco iliionea Portugal na Spain??
Morocco walifunga, nyie mlifunga? Timu inaanza kupoteza muda dakika ya 3..! Halafu inadai ushindi
 
Tulishuhudia mechi wote, Yanga walikuwa wamezidiwa kila idara na Mamelodi
Yanga walichofanya ni kupaki basi kubutua butua, kucheza rafu kwa dakika zote na kubahatisha shuti moja ambalo ndio wanalolalamikia walinyimwa goli

Kwa mashabiki tunaopenda kuona soka, tunataka timu bora ishinde, sio kubahatisha, hata Penalti walishindwa kupiga

Mamelodi ndio alikuwa timu bora na alistahili kushinda

View attachment 2955417
Ostracism
 
Goli liliingia au halikuingia??
Je kama haki ingetendeka Yanga hakustahili lile goli??
Morocco alishinda moja dhidi ya Portugal na alishinda penati dhidi ya Spain.
Kitakwimu Morocco alizidiwa kama alivyozidiwa Yanga.
We si umeleta takwimu?
Na mimi nimezungumzia takwimu.
 
Tulishuhudia mechi wote, Yanga walikuwa wamezidiwa kila idara na Mamelodi
Yanga walichofanya ni kupaki basi kubutua butua, kucheza rafu kwa dakika zote na kubahatisha shuti moja ambalo ndio wanalolalamikia walinyimwa goli

Kwa mashabiki tunaopenda kuona soka, tunataka timu bora ishinde, sio kubahatisha, hata Penalti walishindwa kupiga

Mamelodi ndio alikuwa timu bora na alistahili kushinda

View attachment 2955417
Kocha wa Mamelod amekubali kuwa alikamatwa na Yanga, wewe kocha wa Jamiiforums unakoja na porojo huku! Nyie takwimu za mchezo wenu vs Ahyl zimewafikisha wapi??
 
Tulishuhudia mechi wote, Yanga walikuwa wamezidiwa kila idara na Mamelodi
Yanga walichofanya ni kupaki basi kubutua butua, kucheza rafu kwa dakika zote na kubahatisha shuti moja ambalo ndio wanalolalamikia walinyimwa goli

Kwa mashabiki tunaopenda kuona soka, tunataka timu bora ishinde, sio kubahatisha, hata Penalti walishindwa kupiga

Mamelodi ndio alikuwa timu bora na alistahili kushinda

View attachment 2955417
We mbumbumbu tuletee na takwimu za timu yako pendwa baada ya kumiliki mpira wakafunga goli ngapi? Mbona mmekojolewa nje ndani na umiliki wenu wa mpira usiokuwa na faida? Timu Bora inapimwa na vitu vingi sio umiliki wa mpira peke yake acha upuuzi wako
 
Hizo ni mbinu za woga!! Ukisikia kitolewa kike ndio hivyo! Yanga katolewa kike! Kutolewa kike ni kutolewa pasipo kupambana! Yanga hakupambana! Aliogopa kupambana!! Alitegemea kudra!! Ni sawa na bondia ambaye muda wote yeye anarudi nyuma na kujitahidi kukinga uso wake! Huyo akitolewa tunasema ametolewa KIKE!!
Uliiona mechi ya juzi kati ya Man City na Arsenal?? Kila mechi inampango wake kulingana na mpinzani wako na wachezaji ulionao! Aliyepigwa thalatha bin sufuri naona ndiye katolewa ki kike!
 
Yanga alienda kuzuia sio kushinda .

Ila jana yanga alicheza mpira mbovu zaidi kuwahi kutokea .

Mechi ilikua ya kubutua na kuzuia tu yaani yanga tumeteseka jana mda wote roho juu
Ujielewi wewe na ulichokiandika inawezekana ni kwa hisani ya mangungu
 
Tulishuhudia mechi wote, Yanga walikuwa wamezidiwa kila idara na Mamelodi
Yanga walichofanya ni kupaki basi kubutua butua, kucheza rafu kwa dakika zote na kubahatisha shuti moja ambalo ndio wanalolalamikia walinyimwa goli

Kwa mashabiki tunaopenda kuona soka, tunataka timu bora ishinde, sio kubahatisha, hata Penalti walishindwa kupiga

Mamelodi ndio alikuwa timu bora na alistahili kushinda

View attachment 2955417
Nimeuliza kama JF imeanza kulipa mnaoanzisha nyuzi mmekaa kimya.
 
Tulishuhudia mechi wote, Yanga walikuwa wamezidiwa kila idara na Mamelodi
Yanga walichofanya ni kupaki basi kubutua butua, kucheza rafu kwa dakika zote na kubahatisha shuti moja ambalo ndio wanalolalamikia walinyimwa goli

Kwa mashabiki tunaopenda kuona soka, tunataka timu bora ishinde, sio kubahatisha, hata Penalti walishindwa kupiga

Mamelodi ndio alikuwa timu bora na alistahili kushinda

View attachment 2955417
Mpira nyie wengine mmeujulia ukubwani hebu katafute Chelsea ile ya msimu wa kwanza ya Morihno, ikiwezekana angalia na statistics za mechi zake zote za ligi, halafu urudi halafu juulize why alikuwa bingwa na si Arsenal.Kwenye hii mechi Mamelod possess ila Yanga alitengeneza clear chance,tatu kuluko Mamelod akashindwa kuzitumia. Kumiliki mpira haina maana kwamba unastahili kushinda,Barca alipigwa jumla ya goli saba na Bayern, mechi zote za away na nyumbani alimiliki yeye mpira.

Yanga wameshindwa kutumia nafasi zao.
 
Anti Football, sisi mashabiki wa soka tunataka timu zinazotembeza boli, sio huo upumbavu wa kupaki basi
 
Unatembeza boli bila magoli.Simba sikatembeza boli nyumbani na ugenini kilicho mkuta nini......? na nani kasonga mbele, aliye tembeza boli au aliye tumia chance zake.
 
Back
Top Bottom