Kwa takwinu hizi, Yanga kutolewa ni haki, ingeitoa Mamelodi ndio isingekuwa haki, Mamelodi alikuwa timu bora

Kwa takwinu hizi, Yanga kutolewa ni haki, ingeitoa Mamelodi ndio isingekuwa haki, Mamelodi alikuwa timu bora

Tulishuhudia mechi wote, Yanga walikuwa wamezidiwa kila idara na Mamelodi
Yanga walichofanya ni kupaki basi kubutua butua, kucheza rafu kwa dakika zote na kubahatisha shuti moja ambalo ndio wanalolalamikia walinyimwa goli

Kwa mashabiki tunaopenda kuona soka, tunataka timu bora ishinde, sio kubahatisha, hata Penalti walishindwa kupiga

Mamelodi ndio alikuwa timu bora na alistahili kushinda

naona hapo shot on target ni zero.... maana yake hata lile goli pia mpira ulipaa juu ukashuka kwa kipa
 
Hizo ni mbinu za woga!! Ukisikia kitolewa kike ndio hivyo! Yanga katolewa kike! Kutolewa kike ni kutolewa pasipo kupambana! Yanga hakupambana! Aliogopa kupambana!! Alitegemea kudra!! Ni sawa na bondia ambaye muda wote yeye anarudi nyuma na kujitahidi kukinga uso wake! Huyo akitolewa tunasema ametolewa KIKE!!
Ila akili za wabongo!! Eti Yanga hakupambana..kwahiyo kwako wewe kupambana ni kupi sasa?
Vijana walijitoa 110%. Kila mwenye akili ameona.
 
Back
Top Bottom