Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Tulishuhudia mechi wote, Yanga walikuwa wamezidiwa kila idara na Mamelodi
Yanga walichofanya ni kupaki basi kwa dakika zote na kubahatisha shuti moja ambalo ndio wanalolalamikia walinyimwa goli
Kwa mashabiki tunaopenda kuona soka, tunataka timu bora ishinde, sio kubahatisha, hata Penalti walishindwa kupiga
Mamelodi ndio alikuwa timu bora na alistahili kushinda
Pole mtani msimu ujao mtamaliza utata...Mpira ni mfumo sio kumiliki
Zero 🧠 !Tulishuhudia mechi wote, Yanga walikuwa wamezidiwa kila idara na Mamelodi
Yanga walichofanya ni kupaki basi kubutua butua, kucheza rafu kwa dakika zote na kubahatisha shuti moja ambalo ndio wanalolalamikia walinyimwa goli
Kwa mashabiki tunaopenda kuona soka, tunataka timu bora ishinde, sio kubahatisha, hata Penalti walishindwa kupiga
Mamelodi ndio alikuwa timu bora na alistahili kushinda
View attachment 2955417
Hizo ni mbinu za woga!! Ukisikia kitolewa kike ndio hivyo! Yanga katolewa kike! Kutolewa kike ni kutolewa pasipo kupambana! Yanga hakupambana! Aliogopa kupambana!! Alitegemea kudra!! Ni sawa na bondia ambaye muda wote yeye anarudi nyuma na kujitahidi kukinga uso wake! Huyo akitolewa tunasema ametolewa KIKE!!Nadhani hiyo ni mipango na mbinu za timu. Yanga waliwawin Mamelodi
Asante sana mtaniPole mtani msimu ujao mtamaliza utata...
Sisi kwetu hatuna stress tushazoea
0 🧠Hizo ni mbinu za woga!! Ukisikia kitolewa kike ndio hivyo! Yanga katolewa kike! Kutolewa kike ni kutolewa pasipo kupambana! Yanga hakupambana! Aliogopa kupambana!! Alitegemea kudra!! Ni sawa na bondia ambaye muda wote yeye anarudi nyuma na kujitahidi kukinga uso wake! Huyo akitolewa tunasema ametolewa KIKE!!
Kama hataki mtambeba??Wachezaji wetu nao.
Imagine jana wanashindwa kumzonga mwamuzi kwebda kwenye VAR.
WACHEZAJI WALIPASWA WAMZONGE MWAMUZI AENDE KWENYE VAR
Hawautaki huu ukweli..wameaminishwa kuwa wao walitakiwa wawafunge mamezdadi...Yanga alienda kuzuia sio kushinda .
Ila jana yanga alicheza mpira mbovu zaidi kuwahi kutokea .
Mechi ilikua ya kubutua na kuzuia tu yaani yanga tumeteseka jana mda wote roho juu
We kweli matako.Tulishuhudia mechi wote, Yanga walikuwa wamezidiwa kila idara na Mamelodi