Kwa takwinu hizi, Yanga kutolewa ni haki, ingeitoa Mamelodi ndio isingekuwa haki, Mamelodi alikuwa timu bora

naona hapo shot on target ni zero.... maana yake hata lile goli pia mpira ulipaa juu ukashuka kwa kipa
 
Ila akili za wabongo!! Eti Yanga hakupambana..kwahiyo kwako wewe kupambana ni kupi sasa?
Vijana walijitoa 110%. Kila mwenye akili ameona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…