Kwa tamko la leo la Rais Samia, 'legacy' ya yule jamaa imezikwa rasmi

Sababu za Lema na Lisu kujibanza kwa wazungu zinadhidi kumalizwa, mikutano ya siasa imeruhusiwa, madai yote ya Lisu yamelipwa, kesi yenye kila aina ya ushahidi ya gaidi wa kuuwa viongozi wa serikali imefutwa.
Ngoja tuone kiki mpya watakayokuja nao .

Umejiunga juzi hapa jukwaani ili kuja kucopy na kupaste huu utoto kila uzi?
 
Yaani upinzani wa bongo ni hovyo sana, sasa mikutano kuruhusiwa ndio watawaambia nini wananchi kwa maneno ya kupangiwa?? halafu ulivyo wa hovyo hawajagundua kua Katiba mpya haiji leo wala kesho maana wameambiwa hadi hapo hali ya nchi kiuchumi na hali halisi itakapokua sawa...changa la macho hilo.
 
Legacy is something that stays permanently! Magufuli Legacy HAIWEZI KUFA NA HAITAKUFA! Kama unabisha ebu angalia crip ya Ujazaji Maji Mwalimu Nyerere Hydroelectric Power Station!
 
MAMA SAMIA ANAENDA KUWEKA LEGACY YAKE YA KUTUPATIA KATIBA MPYA BAADA YA ILE YA NYERERE YA KUTUPATIA UHURU
 
Reactions: Ame
Hakika.

Kwa hasira waliyonayo hao sukuma gang, za kuizika rasmi legacy ya Mwendazake, watakuwa wamekereketwa Ile mbaya kabisa
Wamefura hatari. Wanabwabwaja kama mataahira muda huu.
 
Sababu za Lema na Lisu kujibanza kwa wazungu zinadhidi kumalizwa, mikutano ya siasa imeruhusiwa, madai yote ya Lisu yamelipwa, kesi yenye kila aina ya ushahidi ya gaidi wa kuuwa viongozi wa serikali imefutwa.
Ngoja tuone kiki mpya watakayokuja nao .
 
Kwanza huyo unaesema legacy yake imepigwa ukiangalia kwa jicho la tatu ndie alikua anauinua upinzani. Lakini kwa sasa kwa utawala huu wa Hangaya Upinzani kwishney, wameangukia pua,
Aliuinua upinzani kivipi? Huyu si ndiyo kawaweka bungeni wale covid-19???

Legacy ziiiiiii!!!!!!!!!
 
  • Amefanya vyema anastahili pongezi, je nini maoni ya CCM conservative?
  • Itakuwa vyema zaidi ikiwa kama zile sheria kandamizi za fastafasta zitapitiwa upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…