Kwa Tanzania maisha ya kijijini ni magumu zaidi kuliko mjini kwa ujumla

Mchana jua kali vumbi kubwa hakuna hata mti wakujificha kivuli!!
Yaaani hata ukikojoa kwenye vumbi mkojo hausambai🤔🤔
Kuna vijiji ni zaidi ya mateso 🙏
😁😁😁😁😁

Mazoea tu hayo.
Hao wanatoka tabora hadi malinyi wakiswaga mifugo yao na wanaona kawaida.

Ila wa mjini kutoka karume hadi kigogo anaona pagumu kutembea anapanda usafiri.

Kila mmoja anamshangaa mwenzake wakijijini anaona mjini kugumu, na wa mjini wanaona kijijini kugumu pia.
 
Kuna watu huwa waanamini maisha ya vijijini ni mepesi na bora kuliko mjini, sijui hizi fikra zinatokana na nini ila kwa ukweli ukiacha vijiji vichache vya mikoa kama ya Kilimanjaro, Njombe, Mbeya labda na vya mikoa mingine michache maisha kwa ujumla wake vijijini ni magumu sana kuliko mjini.

Umaskini wa mahitaji ya msingi ya kibinadmu ulioko vijijini ni mkubwa sana na wa kutisha kuliko mjini na hapo bado hatujaongelea huduma mbovu za kijamii na miundombinu kama hospitali, maji, barabara na umeme. Kuna vijiji unakuta watu wanatumia maji ya dimbwi kwa pamoja na wanyama na hapo hapo wanafulia na kufanyia shughuli nyingine. Kijijini unaweza kukuta mifugo mingi ila nyama kuliwa ni kwa manati.
Hapo kwenye mifugo mingi lakini nyama kuliwa kwa manati ni ukweli mtupu, kuna kijiji nilienda aise mifugo kama yote lakini nyama hamna kabisa labda mfugo upate ajali na wenyewe usipowahi huambulii kitu
 
Vijiji vingi havina huduma nzuri za msingi kama vile shule, hospitali hata kama zipo hakuna wataalamu yaani manesi na walimu waKutosha. Vyakula vinaweza kuwepo kama vile mahindi na mihogo. Shida mboga , nyama samaki vinaweza kuwa shida, pia pesa za kijijini ni za msimu , kunzia mwezi wa Saba mpaka wa 11 ndo Kuna kuwa na mzunguko
 
Hamna maisha magumu karibia vijiji vyote nilivyotembelea ..Life style yao wameshazoea, milo mitatu kama kawaida .. Kiufupi labda useme weqe hauwezi kuishi ila wao wako poa ..Karibu Lushoto maji kila kona mpaka milimani , barabara sio lazima ,vyakula vipo kila kona..
Umetembelea vijiji gani ukitoa vijiji vya Tanga?
 
Kuna watu huwa waanamini maisha ya vijijini ni mepesi na bora kuliko mjini, sijui hizi fikra zinatokana na nini ila kwa ukweli ukiacha vijiji vichache vya mikoa kama ya Kilimanjaro, Njombe, Mbeya labda na vya mikoa mingine michache maisha kwa ujumla wake vijijini ni magumu sana kuliko mjini.

Umaskini wa mahitaji ya msingi ya kibinadmu ulioko vijijini ni mkubwa sana na wa kutisha kuliko mjini na hapo bado hatujaongelea huduma mbovu za kijamii na miundombinu kama hospitali, maji, barabara na umeme. Kuna vijiji unakuta watu wanatumia maji ya dimbwi kwa pamoja na wanyama na hapo hapo wanafulia na kufanyia shughuli nyingine. Kijijini unaweza kukuta mifugo mingi ila nyama kuliwa ni kwa manati.
Kijiji Gani ...tupe mfano hai wakijiji chenye maisha ya dhiki
Binafsi naona wanao ishi vijijin wako na unafuu wa maisha na hawana stress kama wa mjini
 
Kwa mtu ambaye amekulia mjini hata bila kazi anaweza asilale njaa na asikose pa kulala.

Huyu ukimtupa village atarudi Dar mbio. Ndiyo maana Makonda alishindwa kututimua Dar ingawa alijiapiza jobless wote tutaondoka Dar.

Matokeo yake akaondoka yeye
 
Hamna maisha magumu karibia vijiji vyote nilivyotembelea ..Life style yao wameshazoea, milo mitatu kama kawaida .. Kiufupi labda useme weqe hauwezi kuishi ila wao wako poa ..Karibu Lushoto maji kila kona mpaka milimani , barabara sio lazima ,vyakula vipo kila kona..
Kaka unatetea nini huo ndo ukweli, kumbuka siku zote ukikosa kitu na ukapata kidogo lazima ukifanye kukizoea hili uendelee ku stain lakn shortly kijijini wanamaisha yasolidhisha katika huduma za kijamii na kiuchumi pluss miundombinu
 
Kuna mtu hajui zaidi ya hapo ,so sio lazima wote wanataka maisha fulani ...Bado unaaminisha kutumia elfu saba kwa siku ni umaskini, wazungu wajanja sana.
 
Kuna watu huwa waanamini maisha ya vijijini ni mepesi na bora kuliko mjini, sijui hizi fikra zinatokana na nini ila kwa ukweli ukiacha vijiji vichache vya mikoa kama ya Kilimanjaro, Njombe, Mbeya labda na vya mikoa mingine michache maisha kwa ujumla wake vijijini ni magumu sana kuliko mjini.

Umaskini wa mahitaji ya msingi ya kibinadmu ulioko vijijini ni mkubwa sana na wa kutisha kuliko mjini na hapo bado hatujaongelea huduma mbovu za kijamii na miundombinu kama hospitali, maji, barabara na umeme. Kuna vijiji unakuta watu wanatumia maji ya dimbwi kwa pamoja na wanyama na hapo hapo wanafulia na kufanyia shughuli nyingine. Kijijini unaweza kukuta mifugo mingi ila nyama kuliwa ni kwa manati.
Maisha ya vijijin yalikuwa yanaehasabika ni marahisi sababu ya availability of food, makazi kuwa rahisi (back in the day)
Chakula kiko shambani so gharama ilikuwa so less, zama zimebadilika kidogo
 
Ifike wakati vijiji vya Tz viwe kama country side za huko North Carolina,Texas, Nevada, Carlifonia, Chicago nk. Maisha safi, kilimo + ufugaji smart, huduma safi za kijamii kama maji, gesi, afya,elimu nk. Utakuta kule ni kijijini ndani kabisa ila mkazi anamiliki bima ya afya,laptop,nyumba nzuri na gari safi na nyingine ya shughuli za shamba😀
 
Back
Top Bottom