DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Kijiji ni sehemu ya kuwekeza katika kilimo na mifugo Ila sio sehemu ya kuishi
True na vijana wengi wa kijijini huwa hawafanikiwi zaidi kuota kitambi cha minyoo.Ndio maana unakuta ndoto kubwa ya vijana wengi wa vijijini ni kwenda kuishi mjini.
Watu wanakula acha porojo zako za wazungu🤣🤣Wewe jamaa hapana kwa lushoto kuna hali ngumu maana hata mavuno sio mazuri sana na mashamba yao ni vibustani. Wengi wao wanaishi maisha magumu sana. Napajua ndio maana
Ni muhimu kulala kwenye godoro zuri na nyumba safi yenye hewa ya kutosha, pia ni muhimu kula mlo bora. Utapiamlo na udumavu uko zaidi vijijini kuliko mjini.asilimia kubwa ya vijiji havina maisha magumu, kwa maana suala zima la makaazi na kula huwa wanalimuda vizuri tu, na ndio mahitaji makuu ya mwanadamu. Shida zao ni zakimazingira zaidi. Ila wanaokimbilia mijini hawalaumika. Mijini kuna raha nyingi ambazo vijiji hakuna.
Uvivu & Elimu.Vijiji vingi tu familia hazifugi kuku wala hazilimi mboga za majani, kama hujui Tanzania utapiamlo na udumavu uko vijijini zaidi kuliko mijini.
Lushoto sio kijijini kaka. Huko angalau vitu vya msingi unavipata ila maeneo mengine, mwamini mtoa mada kile anachosema. Napenda kuishi kijijini ila nikiwaza huduma za Jamii, upatikanaji wa chakula.. natulia kidogo 😄Hamna maisha magumu karibia vijiji vyote nilivyotembelea ..Life style yao wameshazoea, milo mitatu kama kawaida .. Kiufupi labda useme weqe hauwezi kuishi ila wao wako poa ..Karibu Lushoto maji kila kona mpaka milimani , barabara sio lazima ,vyakula vipo kila kona..
Watu Kijiji hayo mambo hawana muda nao ,nilienda kijiji kimoja huko Pande kwa Wadigo miaka ya nyuma sana ,hapo kijijini kwao kuna mzee na mwanae wanatibu mpaka walivunjika miguu🤣🤣....Shule ipo ,ila ukiwaangalia kama wako nje ya dunia ,ila wanapika vyakula vizuri ..Just imagine maji ni ya chumvi ila tulipikiwa biryani na bata ....Hawana time na chochote ,kaz kubwa ni uvuvi na kulima mihogo .Lushoto sio kijijini kaka. Huko angalau vitu vya msingi unavipata ila maeneo mengine, mwamini mtoa mada kile anachosema. Napenda kuishi kijijini ila nikiwaza huduma za Jamii, upatikanaji wa chakula.. natulia kidogo 😄
Wee jamaa! Hii avatar yako ulizipelekea moto zote?Hili linahitaji utafiti.