Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,477
- 5,283
Kijijini kwetu mchele una bei sometimes kubwa kuliko huku dar sijui kwa nini!
Mkuu ni wapi hukoNdugu hayo maji ya kisima yangekuwepo tungengoja ng'ombe wanywe? Usafiri Hadi jmosi labda uwe na boda wako wa kutoka center aje akufate lasvo ngoja jmosi noha ije Iwabebe kuwapeleka centre
Vijiji vingi unakuta nyama inapatikana zaidi siku ya mnada nayo ni bei sawa na mjini tu.Mkuu vijijini hata chakula ni shida kubwa sana. Yaani hadi unashangaa sijui tulilogwa.
Bei za Nyama ni kubwa sana kuliko mjini.
Ukiongelea Manufactured products ndio balaa.
Mimi ntaendelea kuhangaika na jua la mjini.
Kingine kijijini hata ukiwa na hela unakuta umapauka sana.
KweliWazungu siyo wajanja wao maisha yao na sisi ni tofauti wao wanachojua bila pesa hakuna kupata huduma ya chakula na maji na hospitali, walitakiwa wajue siyo kila jamii inatumia pesa kila siku kupata chakula, kuna familia Asubuhi Mama anazunguka nyuma ya nyumba achimba viazi vya kula Asubuhi na mchana anakimbizwa kuku anachinjwa na jioni anachuma mate mbele siku imeisha na stoo kuna kunia za mahindi na mpunga unga ukiisha wanaenda kusaga mahindi.
Unajidanganya au umedanganywa mnoo!Kuna watu huwa waanamini maisha ya vijijini ni mepesi na bora kuliko mjini, sijui hizi fikra zinatokana na nini ila kwa ukweli ukiacha vijiji vichache vya mikoa kama ya Kilimanjaro, Njombe, Mbeya labda na vya mikoa mingine michache maisha kwa ujumla wake vijijini ni magumu sana kuliko mjini.
Umaskini wa mahitaji ya msingi ya kibinadmu ulioko vijijini ni mkubwa sana na wa kutisha kuliko mjini na hapo bado hatujaongelea huduma mbovu za kijamii na miundombinu kama hospitali, maji, barabara na umeme. Kuna vijiji unakuta watu wanatumia maji ya dimbwi kwa pamoja na wanyama na hapo hapo wanafulia na kufanyia shughuli nyingine. Kijijini unaweza kukuta mifugo mingi ila nyama kuliwa ni kwa manati.
Duh kwa hiyo barabara hamna mnatembea juu ya miti au..?barabara sio lazima ,vyakula vipo kila kona..
Hakuna umaskini ,kule hakuna utapiamlo kama kwenu 🤣🤣🤣 Lushoto vyakula vya kumwaga kushina kwenu ..Hakuna ombaomba .,hali ya hewa ni nzuri...Watu wote ni wapambanaji tena unakuta kijana wa miaka 15 anapiga dili zake.Duh kwa hiyo barabara hamna mnatembea juu ya miti au..?
Lushoto ina umaskini mwimgi tu. Na maji pia kuna vijiji kibao havina maji naamini hivyo.
Kaa bidhaa za viwandani inaeleweka lakini kwa Mchele na Mahindi na maharage inasikitisha sana.Vijiji vingi unakuta nyama inapatikana zaidi siku ya mnada nayo ni bei sawa na mjini tu.
Bidhaa za viwandani vijijini ni ghali kwa sababu ya gharama za kusafirisha, umbali na barabara mbovu halafu pia mzunguko wa bidhaa kutoka mdogo kwa hiyo muuzaji anaweka bei kubwa sana.
Kama kijiji mko mbali na mahali wanapolima mchele lazima uwe ghali sana tu kwa sababu ya miundombinu na pia unaletwa kidogo, kama mnalima basi ujue baada ya mavuno mwingi unaenda mjini na hapo kijijini unabaki kidogo tu.Kijijini kwetu mchele una bei sometimes kubwa kuliko huku dar sijui kwa nini!
Hakuna umaskini ,kule hakuna utapiamlo kama kwenu 🤣🤣🤣 Lushoto vyakula vya kumwaga kushina kwenu ..Hakuna ombaomba .,hali ya hewa ni nzuri...Watu wote ni wapambanaji tena unakuta kijana wa miaka 15 anapiga dili zake.
Sema kijijini watu hawana maji ,wanaishije sasa🤣🤣🤣😰achana na Takwimu za wazungu ni za kuletwa ,kikubwa watu wanakula na kuishi.
Wewe jamaa hapana kwa lushoto kuna hali ngumu maana hata mavuno sio mazuri sana na mashamba yao ni vibustani. Wengi wao wanaishi maisha magumu sana. Napajua ndio maanaHakuna umaskini ,kule hakuna utapiamlo kama kwenu 🤣🤣🤣 Lushoto vyakula vya kumwaga kushina kwenu ..Hakuna ombaomba .,hali ya hewa ni nzuri...Watu wote ni wapambanaji tena unakuta kijana wa miaka 15 anapiga dili zake.
Sema kijijini watu hawana maji ,wanaishije sasa🤣🤣🤣😰achana na Takwimu za wazungu ni za kuletwa ,kikubwa watu wanakula na kuishi.
Hakuna umaskini ,kule hakuna utapiamlo kama kwenu 🤣🤣🤣 Lushoto vyakula vya kumwaga kushina kwenu ..Hakuna ombaomba .,hali ya hewa ni nzuri...Watu wote ni wapambanaji tena unakuta kijana wa miaka 15 anapiga dili zake.
Sema kijijini watu hawana maji ,wanaishije sasa🤣🤣🤣😰achana na Takwimu za wazungu ni za kuletwa ,kikubwa watu wanakula na kuishi.
Wewe jamaa hapana kwa lushoto kuna hali ngumu maana hata mavuno sio mazuri sana na mashamba yao ni vibustani. Wengi wao wanaishi maisha magumu sana. Napajua ndio maanaHakuna umaskini ,kule hakuna utapiamlo kama kwenu 🤣🤣🤣 Lushoto vyakula vya kumwaga kushina kwenu ..Hakuna ombaomba .,hali ya hewa ni nzuri...Watu wote ni wapambanaji tena unakuta kijana wa miaka 15 anapiga dili zake.
Sema kijijini watu hawana maji ,wanaishije sasa🤣🤣🤣😰achana na Takwimu za wazungu ni za kuletwa ,kikubwa watu wanakula na kuishi.
Kuna wakati serikali ilikuwa inafanya kampeni za kuhamasisha wakulima wasiuze mazao yao yote au kutengenezea pombe baada ya mavuno kuwaepusha na kuteseka kwa muda mrefu wakiwa hawana akiba yoyote hadi mavuno mengine.Kaa bidhaa za viwandani inaeleweka lakini kwa Mchele na Mahindi na maharage inasikitisha sana.
Kwa sasa haieleweki hata wale wanailima bei ni ile ile. Sasa nawaza kwa mkulima na mwananchi wa kawaida ambaye yuko kwenye mzunguko mdogo wa hela anaishi vipiKama kijiji mko mbali na mahali wanapolima mchele lazima uwe ghali sana tu kwa sababu ya miundombinu na pia unaletwa kidogo, kama mnalima basi ujue baada ya mavuno mwingi unaenda mjini na hapo kijijini unabaki kidogo tu.
Kampeni hiyo ingefanya kazi endapo uzalisha ukaongezwa. Mkulima maye anamahitaji muhimu ambayo mazoa ndio mkombozi kwake.Kuna wakati serikali ilikuwa inafanya kampeni za kuhamasisha wakulima wasiuze mazao yao yote au kutengenezea pombe baada ya mavuno kuwaepusha na kuteseka kwa muda mrefu wakiwa hawana akiba yoyote hadi mavuno mengine.
Itumike sensa ya mwaka 2022.Majibu yamo mule.Hili linahitaji utafiti.
We poyoyo kwanza hakuna nchi inaitwa Tanganyika ndio upumbavu wako umeanzia hapo. Km umezaliwa mjini unayajuaje maisha ya kijijini? Acha ushambenga mtoto wa kiume.Kuna tusi wapi au unawashwa pahala, kusema kuna vijiji havina huduma ni tusi??? Punguzeni uchawa pelekeni huduma nzuri vijijini!
Usikariri kuwa kila mtanganyika ni lazma azaliwe kijijini, punguza mafuta kichwani!!
Ndio maana unakuta ndoto kubwa ya vijana wengi wa vijijini ni kwenda kuishi mjini.Maisha ya kijijini ya kijinga Sana na ya hovyo .
Unakuta ikifika saambili usiku unabidi kukaa ndani ukitoka nje unaweza hata kuuliwa na kupotezwa.
Shule hamna ikiwepo IPO mbali unatembea hadi unaota kigimbi
Maduka ya dawa yanahesabika hosptali moja na ipo mbali
Maji wanayokunywa mifugo ndo hayo wanatumia binadamu
Kuamini uchawi ,fitina majungu na kuuana bila sababu.
Mfano yule mtendaji kilaza walikuwa kijijini waliomuua Enock.
There's so many shit in village