Kwa Tsh. Milioni 5 nifungue Uwakala wa Benki ama ninunue Toyota Probox niipeleke ruti za vijijini?

Acha uoga mjomba,miamala midogo midogo ya 50k na 100k ni mingi sana kuliko hiyo mikubwa
 
5m ni ndogo kwa biashara ya uwakala wa bank na hata kununua hyo probox
 

Cheers mkuu. Be blessed!
 
Kuna probox ya Milioni 5?
 
Nzuri hii
 
Kumbe hata mimi na weza kununua probox then nikazama ndichi nikaanza kula vichwa
 
Wat

Watu wanatiana hofu tu mkuu na Ni kwa vile sikuwa dereva mwenye chombo nadhani ningepata hela
Aisee haya mambo haya watu wana weza kukujaza upepo na wewe ukajaa, kumbe mambo yana wezekana kabisa tena mimi dereva/kondakta mimi mwenyewe. Maana ni kadogo tu. Na weza ku mudu.

Hivi vi Probox niliwahi kuviona Congo na Zambia cina piga kazi kuliko daladala ya Tz [emoji23] kwahiyo wanoko watuache kwanza wasitutishe tutie hela aisee. [emoji848]
 
Mtu anajenga anaanza kutisha kuwa ametumia pesa nyingi mno
 
Mtu anajenga anaanza kutisha kuwa ametumia pesa nyingi mno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo yote ni unoko tu ili utishike kwamba hauwezi ila ukisubutu una weza watu hawa nawachikiaga wana ongezaga sana chumvi kwanini mtu usiwe really tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…