Hizo kero zangumza wewe.Agenda ya Katiba mpya tu ni hoja tosha unataka nini tena.panua mawazo yako.Ni kweli mkuu, mimi kila nikifuatilia hoja zao sisikii la maana linalozungumzwa. Nilidhani wataongelea kero zinazowahusu Wananchi kutegemea na eneo husika lkn ni utumbo mtupu wanaongea
Mfano wa mambo matatu yenye kwako ambayo ungependa yazungumziwe na vyama vya siasa ni yapi??Nimejitahidi kusikiliza hoja za wanasiasa katika majukwaa tangia mama aliporuhusu mikutano nimechoka kabisa! Huwezi ukaelewa Nini hasa mkakati wa wanasiasa!
Ni ajabu ni matusi na vijembe na kucharuana hakuna siku tukasikia watu wanaongea fact! Magufuli aliona mbali sana kupiga stop hii mikutano uchwara! Ili kuepusha dalili za uhaini katika nchi yetu mikutano ipigwe stop!
Tuinusuru nchi yetu na Mkono wa shetani ..kama lengo kuu la mikutano ndio hili sioni sababu ya kuendelea nayo
leo ndio watajinyonga kabisa pale furahisha ni hatari.Tulijua tu kwamba kwa Ile mikutano ya Chadema kanda ya ziwa lazima tamko litoke kwa Chawa
Naona kisu kimekufika mfupaniNimejitahidi kusikiliza hoja za wanasiasa katika majukwaa tangia mama aliporuhusu mikutano nimechoka kabisa! Huwezi ukaelewa Nini hasa mkakati wa wanasiasa!
Ni ajabu ni matusi na vijembe na kucharuana hakuna siku tukasikia watu wanaongea fact! Magufuli aliona mbali sana kupiga stop hii mikutano uchwara! Ili kuepusha dalili za uhaini katika nchi yetu mikutano ipigwe stop!
Tuinusuru nchi yetu na Mkono wa shetani ..kama lengo kuu la mikutano ndio hili sioni sababu ya kuendelea nayo
Nchi inaongozwa na katiba mkuu,sio fikra za FUVU na KOMWE lako.Nimejitahidi kusikiliza hoja za wanasiasa katika majukwaa tangia mama aliporuhusu mikutano nimechoka kabisa! Huwezi ukaelewa Nini hasa mkakati wa wanasiasa!
Ni ajabu ni matusi na vijembe na kucharuana hakuna siku tukasikia watu wanaongea fact! Magufuli aliona mbali sana kupiga stop hii mikutano uchwara! Ili kuepusha dalili za uhaini katika nchi yetu mikutano ipigwe stop!
Tuinusuru nchi yetu na Mkono wa shetani ..kama lengo kuu la mikutano ndio hili sioni sababu ya kuendelea nayo
Mama hawezi kupiga marufuku mikutano iliyoko halali kisheria.Nimejitahidi kusikiliza hoja za wanasiasa katika majukwaa tangia mama aliporuhusu mikutano nimechoka kabisa! Huwezi ukaelewa Nini hasa mkakati wa wanasiasa!
Ni ajabu ni matusi na vijembe na kucharuana hakuna siku tukasikia watu wanaongea fact! Magufuli aliona mbali sana kupiga stop hii mikutano uchwara! Ili kuepusha dalili za uhaini katika nchi yetu mikutano ipigwe stop!
Tuinusuru nchi yetu na Mkono wa shetani ..kama lengo kuu la mikutano ndio hili sioni sababu ya kuendelea nayo
🚮Nimejitahidi kusikiliza hoja za wanasiasa katika majukwaa tangia mama aliporuhusu mikutano nimechoka kabisa! Huwezi ukaelewa Nini hasa mkakati wa wanasiasa!
Ni ajabu ni matusi na vijembe na kucharuana hakuna siku tukasikia watu wanaongea fact! Magufuli aliona mbali sana kupiga stop hii mikutano uchwara! Ili kuepusha dalili za uhaini katika nchi yetu mikutano ipigwe stop!
Tuinusuru nchi yetu na Mkono wa shetani ..kama lengo kuu la mikutano ndio hili sioni sababu ya kuendelea nayo
Orodhesha hayo matusi jukwaa lijiridhishe!! Pia kusifia kuvunja sheria huo ni ujinga na woga wa kisiasa, ukiishaingia kweny siasa vaa ngozi ya mamba kama huwez achia ngazi wengine waingie!! Hakuna soft language kweny siasa wala soft treatment!!Nimejitahidi kusikiliza hoja za wanasiasa katika majukwaa tangia mama aliporuhusu mikutano nimechoka kabisa! Huwezi ukaelewa Nini hasa mkakati wa wanasiasa!
Ni ajabu ni matusi na vijembe na kucharuana hakuna siku tukasikia watu wanaongea fact! Magufuli aliona mbali sana kupiga stop hii mikutano uchwara! Ili kuepusha dalili za uhaini katika nchi yetu mikutano ipigwe stop!
Tuinusuru nchi yetu na Mkono wa shetani ..kama lengo kuu la mikutano ndio hili sioni sababu ya kuendelea nayo
Acha ujinga wako!Nimejitahidi kusikiliza hoja za wanasiasa katika majukwaa tangia mama aliporuhusu mikutano nimechoka kabisa! Huwezi ukaelewa Nini hasa mkakati wa wanasiasa!
Ni ajabu ni matusi na vijembe na kucharuana hakuna siku tukasikia watu wanaongea fact! Magufuli aliona mbali sana kupiga stop hii mikutano uchwara! Ili kuepusha dalili za uhaini katika nchi yetu mikutano ipigwe stop!
Tuinusuru nchi yetu na Mkono wa shetani ..kama lengo kuu la mikutano ndio hili sioni sababu ya kuendelea nayo
"NILIWAHI KUSHAURI MIKUTANO YA KISIASA IWE INAFANYIKA MIEZI SITA KABLA YA KILA UCHAGUZI MKUU"Nimejitahidi kusikiliza hoja za wanasiasa katika majukwaa tangia mama aliporuhusu mikutano nimechoka kabisa! Huwezi ukaelewa Nini hasa mkakati wa wanasiasa!
Ni ajabu ni matusi na vijembe na kucharuana hakuna siku tukasikia watu wanaongea fact! Magufuli aliona mbali sana kupiga stop hii mikutano uchwara! Ili kuepusha dalili za uhaini katika nchi yetu mikutano ipigwe stop!
Tuinusuru nchi yetu na Mkono wa shetani ..kama lengo kuu la mikutano ndio hili sioni sababu ya kuendelea nayo
Wafuasi wa mwendazake si mnamuunga mkono Lissu?Naunga mkono hoja...
Wafuasi wa mwendazake si mnamuunga mkono Lissu?😂😂😂😂Ni kwa sababu wana kodi zetu za bure ndio maana hawapo serious, ila wangekuwa wanapambana wenyewe au wanachangishana basi wangekuwa serious na hiyo mikutano.
KuJaza watu haimanishi unaungwa mkono ,Ingekuwa hivyo cuf Ingekuwa imeshika dolaIii iwe na tija sio lazima iwe unavyotaka wewe.Vyama vina haki yakujenga mahusiano na wanachama wake ilo tu inatosha kua na tija.Nfo maana unaona mikutano inapata uungwaji wa wananchi.Wewe ninani hadi ugeuke kua msemaji wa wananchi walio wengi?