gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
Hizo kero zangumza wewe.Agenda ya Katiba mpya tu ni hoja tosha unataka nini tena.panua mawazo yako.Ni kweli mkuu, mimi kila nikifuatilia hoja zao sisikii la maana linalozungumzwa. Nilidhani wataongelea kero zinazowahusu Wananchi kutegemea na eneo husika lkn ni utumbo mtupu wanaongea