Uchaguzi 2020 Kwa uelewa wake, Lissu anaamini kabisa kuwa atakuwa Rais wa Tanzania

To be honest, ukitarajia kwamba Tundu Lissu atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka huu, unaumiza hisia zako bure. Hilo jambo haliwezi kutokea.
 
Kama kwa mara 4 bado hukumuelewa, tatizo siyo Lissu, bali akili yako ndogo ndiyo shida
 
Njaa zako zisikufanye ukose akili wee mataga hizo juhudi zilizofanywa na awamu ya tano mnazokaririshwa ni zipi wakati hakuna ajira,maisha magumu biashara ngumu Kodi kubwa, mshahara haupandi ni zipi hizo jinga wewe
Mkuu usiandaa mawazo yako katika kuona na kuukubali ukweli kamwe huwezi kuona,CCM imetutoa toka kwenye kundi la LDC to MDC wewe huoni hilo?

Serikali ya CCM imejenga madaraka na mabarabara kila sehemu wewe huoni hilo?

Serikali ya CCM imeweka umeme takribani vijijini vyote Tanzania wewe huoni hilo?

Unasubiri hadi uoneshe au?
 
To be honest, ukitarajia kwamba Tundu Lissu atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka huu, unaumiza hisia zako bure. Hilo jambo haliwezi kutokea.
Sio mwaka huu tu,lissu kuwa rais wa Tanzania maisha yake yote itakuwa ni sawa na bingu na ardhi kukutana
 
Maisha yamekuwa magumu kupindukia,wanaccm Wengi wameamua kupindua meza.ukabila imezidi ndani ya chama.watanzania Wengi watapiga kura za hasira.
 
Maisha yamekuwa magumu kupindukia,wanaccm Wengi wameamua kupindua meza.ukabila imezidi ndani ya chama.watanzania Wengi watapiga kura za hasira.
Msipotaka kuona uhalisia watanzania watawaonesheni Oct.28
 
Dhaifu kivipi? Tatizo mmeandaa masikio yenu kusikia kile yanachopenda kusikia,,mukiambiwa kuna hiki hamuelewi
Kama nyie mlivyoandaa maskio yenu kusikia mabeberu, huko kwenu kuna ntu aliita mabeberu "WANAUME"
 
Msipotaka kuona uhalisia watanzania watawaonesheni Oct.28
Hapo ulipo hata chai leo hujui unaipataje Ila shati la kijani umeshalivaa.watakao piga Kura ni sisi na tuna walio nyuma yetu. October mtanyolewa amini maneno yangu.
 
Unajinyea tu mwaka huu
 
Hapo ulipo hata chai leo hujui unaipataje Ila shati la kijani umeshalivaa.watakao piga Kura ni sisi na tuna walio nyuma yetu. October mtanyolewa amini maneno yangu.
Mkuu Wewe ndo huna uhakika wa chai, ninao uwezo wa kukulisha wewe na family yako,

Wewe una kula chakula cha kununua kidokidogo,mimi nikiangalia humu ndani mwangu kulia naona gunia 40 za mahindi,kushoto gunia 30 za mpunga,

Sasa njaa itoke wapi?
 
Kwa uchumi upi? Kwa kazi ipi? Kwa biashara ipi unayoifanya? Kwa mshahara upi? Labda wewe ni mjumbe😏
 
jar
tuliza kinyeo uandike vizuri. kama hujaambulia chochote usiende tena. sisi werevu tunamkubali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…