Uchaguzi 2020 Kwa uelewa wake, Lissu anaamini kabisa kuwa atakuwa Rais wa Tanzania

Haswaaaaaa
 
Wajumbe huwa hawakosi majibu.umejitahidi kujibu mkuu.
CHADEMA maisha yenu magumu,kama mtu unafikikisha 25+ bado unawaza chai ujue kunasehemu unakwama,mimi kwa umri wangu sio mtu wa kuwaza chai tena,nawaza nifungue miradi gani itakayonipatia pesa zaidi
 
CHADEMA maisha yenu magumu,kama mtu unafikikisha 25+ bado unawaza chai ujue kunasehemu unakwama,mimi kwa umri wangu sio mtu wa kuwaza chai tena,nawaza nifungue miradi gani itakayonipatia pesa zaidi
Ugumu wa maisha ulianzia kwa wajumbe kula na kulala bure. Kalipe mkopo wa HESLB kwanza kabla hujaanza kubuni mradi mkuu.wakati unabuni mradi ukumbuke pia kuwajulisha TRA wakupatie TIN number Ili wakutambue na wakutembelee utambue umuhimu wa box la kura Oct.
 
Huku kwetu kigoma tumechinja tayari.
Pamoja sana, tunataka huyu kibaraka wa mabeberu arudi ubeligiji na kuwaambia mabwana zake kuwa watanzania hawatoi kura kwa kigezo cha huruma
 
Mgombea wa CCM hana la zaidi ya ndege na madaraja...

Watu wapo hoi kimaisha wewe anawaambia mambo ya kununua ndege.
 
Lile tochi la kichwani analovaa yule mlinzi wake limeisha betri? Silioni siku hizi
 
Mgombea wa CCM hana la zaidi ya ndege na madaraja...

Watu wapo hoi kimaisha wewe anawaambia mambo ya kununua ndege.
Wa chadema yeye ana nini zaidi ya kuhubiri ushoga na uporaji Mali za umma?
 
Izo Mara nne zote Bora ungeenda kubeti tu huenda ungeambulia kapesa kidogo
 
Hauna facts Wala hujafanya research ya thread y'ako... Ur so weak!
Kwan nan alijua jpm atakuja kua president
 
Ukipiga kura ya rais kwa Tundu Lissu, ujue unapiga kura ya katiba mpya, ujue unapiga kura kwa rais ambaye atarudisha uhuru na haki za wananchi, ujue unapiga kura kwa rais ambaye hatawasimanga..".Tundu Lissu. #Uchaguzi2020

Achana na takataka za ccm
 
Mkuu unatafuta matusi ya bure, mwache Lissu na style yake ya campaign.Kama ulipata nafasi ya kuhudhuria mara nne bila shaka uliwaona baadhi ya makamanda ungeweza kuwapa maoni yako.
Kumbuka huu ni mwaka wa uchaguzi,ndio wakati wa raia mwenye kadi ya kupiga kura kuchagua kile ukipendacho.
Utamalizia tafiti yako baada ya matokeo ya wapiga kura.
 
Well done

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Acha kutufokea mkuu
 
Funika upumbavu wako mkuu . Nchi hii siyo sehemu ya mtaa wenu unatusemea maneno yenye ujinga mwingi kiasi hiki .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…