Kwa ufupi Hayati Magufuli aliwachukia watumishi wa umma

Hahaha eti deep what! Anyway ameongea member mmoja kwamba watakuja wataondoka watatuacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lako umeshezowea kula vya kunyonga,vya kuchinja huviwezi, na huo ugonjwa wako utakutesa sana! Tafuta riziki halali hata Kama uko utumishini jaribu sana kula vya halali,hata akija Rais zaidi ya JPM wala hutakua na hofu ya uongozi uliopo madarakani kwa wakati wowote ule!!
 
na wengine wenye nia hofu na wafanyakazi wa nchi hii Mwenyezi Mungu awape wanachokistahili
 
Hata muuza duka ,kahawa, dengelua au mbege pia ni mtumishi wa umma! Kwan ww mwenzetu una define vipi term "umma"? Au huko kwenu umma maana yake ni serikali?
 
Walinda legacy watabisha watakwambia wewe ni mfoji vyeti,wakala wa mabeberu na mwizi.
 
Tena wanajua kabisa kufoji ni kosa la Jinai lakini hata hawajali,kisa njaa zao basi hata Sheria kufuata hawataki!! Ehh Mungu tusaidie sisi waja wako wapenda haki na usawa kwa wote!!
Yeye alifoji Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na uchaguzi mkuu 2020 pamoja na Wabunge 19(COVID 19) kawaingiza Bungeni kwa kughushi.
 
Ushauri mzuri lakini kazi ya Historia ni kukumbusha matukio yaliyopita kwa faida ya jamii iliyopo na itakayofuata baadaye.
 
Majambazi,wezi,wala rushwa na wauaji ndiyo waliompenda sana JPM kwa sababu alikuwa anawaambia Tembeeni kifua mbele mimi nipo nitawalinda.
Jpm alichukiwa na wezi kama kamba na nduguze
Watanzania wadilifu kama mimi tulimpenda sana
 
Na gharama za maisha zilianza kupanda wakati wa JPM na tangu hapo hazijawahi kushuka.
 
Leo unaandika utumbo lakini pamoja na utumbo wote ni Mtumishi wa umma aliyekufanya ujue kusoma na kuandika na hata hiyo smart phone yako au laptop ni matunda ya Watumishi wa umma.
 
Anateseka motoni na analia kila siku kwa ujinga alioufanya wakati akiwa hai.
 
Ndiyo maana akawashuhulikia, maana alikua anazijiua tabia zenu chafu za ufisadi! Na JPM ulikua ni mpango wa deep State kuwashuhulikia Watumishi wala Rushwa! Na bado msizani kufa kwa JPM huo mpango nao umekufa,bado atakuja another JPM very soon!!
Kwa sababu CCM kumejaa matapeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…