Kwa ufupi, Wayahudi wameshindwa kabla hawajaanza

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,246
Reaction score
123,145
Historia inaonesha wayahudi wa Israel kila waliposhambuliwa na wanamgambo wa Hamas walilipiza kisasi papo kwa papo bila kusubiri.

Nini kilichwafanya safari hii "wajipange" kwa muda mrefu na huku wanadai kuwa watu wao wengi wametekwa?

Jibu ni jepesi sana; Hamas ndiyo walioshambulia na katika kushambulia kwao walikuwa wanajuwa na wanafahamu moto wakaoshushiwa na wayahudi, hilo halina shaka wala ubishi.

Kama walijuwa hilo inamaanisha kitu kimoja tu, walijipanga, ikumbukwe kuwa Israel wameshambulia kutokea mbali na angani ndani ya gaza na wanasema wameua viongozi wawili wa Hamas, cha kujiuliza, viongozi wawili wa Hamas ndiyo wanamgambo wote wa Hamas> Ni nini kinawashinda kuingia Gaza? Na nguvu zote za kivita walizonazo na mashambulio ya ndege za kivita kuuwa viongozi wawili tu na raia kibao ni kushindwa kwa mbinu kwa wayahudi.

Gaza, ina mji mwengine wa mtandao wa mapango waliyoyachimba miaka yote ya kushambuliwa na Wayahudi, ni mapango yalio "very complex" mengine yanatokea ndani ya Israel na mengine yanatokea upande wa pili wa mpaka wa Egypt.

Kilichokuwepo, ni Wisrael wanangojwa waingie kwa miguu wamalize kazi ya kuwamaliza Hamas, ambao ikumbukwe kuwa Hamas ni waanamgambo waliokwisha jitolea kufa, siyo wanajeshi, ni raia wa kawaida walijotolea liwalo na liwe.

Mpaka sasa hivi, hili ni pigo kubwa sana kwa wayahudi na wameshashindwa vita walioitanganza kwa mbembwe za mandonga, kama vile vita imeanza waliposhambuliwa na mgambo wa Hamas.

Hamas wameshafanya yao, bado wana mateka kibao, wayahudi wanangoja nini?

Mara sababu ooh hali ya hewa, mara sababu ooh sijuwi nini? Kwa ufupi, hawana ukweli kabisa. imewanyeshea na inaendelea kuwanyeeshea, sasa kulikwepa wanalianzisha hu klKaskazini na Hizbollah, huko ndiyo kabisa wameshaambiwa wasijaribu. Hizbollah jana imewatangazia ina missiles laki moja na nusu wanazongoja wazijaribu kwa kuipiga Tel Aviv. Waje tu.

Israel itaendelea kushambulia kwa mbali na kwa ndge, lakini vita ya uso kwa uso ndani ya gaza itakuwa ngumu sana kwao, wanaogopa sana kufa. Kinyume na Hamas wanaokitamani kifo cha kufashaheed" (martyr).

Mpaka sasa nahisabu ushindi ni wa Palestina. Njia pekee ya ushindi kwa wayahudi ni kuagizia makombora kutokea mbali na hapo kuuwa wayahudi wenzao walioshikiliwa mateka. Na hilo wapo tayari kulifanya ikibidi, kwa kuwa walioshikwa wengi wanahesabika ni daraja la chini, siyo wayahudi ashkenazi. Au kingine wanacho kingoja ni majeshi ya kukodisha ndiyo wayasukumie gaza.

Haya wale ambao mungu wenu ni myahudi, ulaji huo.


View: https://youtu.be/tF928JnCQNI?si=1c_BqltNvVkZbwc4
 

Hizo zote ni porojo bila mpango. Mambo ni Gaza, wanamgambo wa Hamas wanawafanya mhororoje na kubwabwaja bila mpango.

Jana Iran, Saudi Arabia, Jorda, South Afica, wote hao wametangaza kimbembe kw Myahudi.
 
Hizo zote ni porojo bila mpango. Mambo ni Gaza, wanamgambo wa Hamas wanawafanya mhororoje na kubwabwaja bila mpango.

Jana Iran, Saudi Arabia, Jorda, South Afica, wote hao wametangaza kimbembe kw Myahudi.

Japo kila nikitizama video za mnavyoteseka na watoto wenu najikuta nikiumia sana kwa huruma, tatizo mlivyo mazombi ya ajabu licha ya mateso yote hayo, mkiachiwa lazima mtaendelea na uchizi wenu. Itabidi Israel iendelee tu bila kuwaonea huruma, hamna namna, itabidi hilo eneo lifanyiwe usafi wa kuondoa yale mazombi yenu, wabaki watu wanaopenda amani.
 
Kibibi unapenda kuona watu wakifa tu au ndiyo Imani yenu inavyohubiri?

Vita vya hawa haitokuja viishe, imani yao imeamrisha wawinde Wayahudi na kuwaua

sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.
 
MTU mzima unashabikia vita , tena umeshededea kabisa hujali kuhusu watoto ,wazee , mama wajawazito wanaokufa Pande zote mbili.

Inasikitisha kwa kweli, inasemekana NI udini unakufanya uyafanye haya yote sipati picha ungekuwa kiongozi wa nchi hii God is good always hukuwa .
 
Hizo zote ni porojo bila mpango. Mambo ni Gaza, wanamgambo wa Hamas wanawafanya mhororoje na kubwabwaja bila mpango.

Jana Iran, Saudi Arabia, Jorda, South Afica, wote hao wametangaza kimbembe kw Myahudi.
Sasa hao waliotangaza wana nguvu gani za Kijeshi za kumtishia Israel? Eti south Africa watangaze kimbembe na Israel astuke like serious😀😀
 
Mwana wa house girl, hata rithi pamoja na mwana wa ahadi. Never forever. Wabarikiwe wana wa Yakobo, neema na amani ziwe juu yao.
Kwamba mtoto wa mchepuko tena beki tatu anataka na yeye atambulike rasmi.
Wakianza kuwatandika usije unalialia hapa we bibi
Huwa anarusha mapovu kila upande na kuongea maneno machafu yasiyoendana na umri wake hadi aibu.
 
Tena sasa anashabikia mpaka anatukana hovyo hadi vijana wanamtukana zaidi na wala hajisikii vibaya.Menopouse imemjia vibaya sana mtu mzima mwenzetu.
 
Kwa kifupi hamas ni magaidi serikali ya Palestine inatakiwa iwafukuze ili watu wagaZa waishi kwa amani
 
Ok sawa
 
Mwana wa house girl, hata rithi pamoja na mwana wa ahadi. Never forever. Wabarikiwe wana wa Yakobo, neema na amani ziwe juu yao.
Na wewe una kauli kwa mungu wako? Jisome hapa:

25 Naye akaja akamsujudia, akisema Bwana, unisaidie.
26 Akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…