Kwa ufupi, Wayahudi wameshindwa kabla hawajaanza

Kwa ufupi, Wayahudi wameshindwa kabla hawajaanza

Upuuzi tu..

#Justice for J.Mollel
Waulize mazayuni wamemfanya nini.

Umeingia kichwa kichwa ule uongo wa ile clip?
Uongo kama ule hata #@MK 254 toka ajifunze graphichs kila siku anauleta hapa JF.

Tatizo lenu mjomba wa mungu wenu yuko taabani huko kwa ushoga.
 
Kichapo cha kuwadunguwa kinaendelea:

 
Hilo lisikutishe kila kijana, watu wanafyatuana saa hizi chini ya ardhi kama pamya.


Usiwe na hofu, wakiibuka huko ni kuangamiza mazayuni tu, hawaelewi kingine.

Wewe nyeusi hautakua wa msaada pale kwenye kupanua miguu maana muarabu hapendi nyeusi kama ambavyo muddy hakua anawapenda, itabidi waombe msaada kwa wanawake waarabu wenzao....

3257805170761984946-jpg-png.2843958
 
Wewe nyeusi hautakua wa msaada pale kwenye kupanua miguu maana muarabu hapendi nyeusi kama ambavyo muddy hakua anawapenda, itabidi waombe msaada kwa wanawake waarabu wenzao....
 
Unapambania watu wasiopenda weusi, kule hautaruhusiwa kwenda kupanua miguu licha ya kwamba wanaisha
Tazama kamanda wa kikosi cha mazayuni yupo nyuma kabisa na jeep anaongoza kikosi chake anaporushwa na ma Ghosts wa Hamas hapo:

 
 
Jibu unajijibu halafu jibu hulioni, Israel wamechukua muda kuhakikisha raia wa Kipalestina wanaondoka eneo husika ili waweze shambulia waharibu miundo mbinu ya Hamas, fikiria kama wangepiga Gaza hapo hapo si leo unge vua hadi huo ushungi kwa kulia ? Huwa siamini kama wewe ni mwanamke unachat kama mwanaume naweza bet buku jero kwamba wewe ni mwanaume sio mwanamke
Mkuu naongeza buku jero hili dume kabisa
 
Leo wamekiri kuuliwa IDF 11, wayahudi wakisema wameuliwa 11 uelewe kuwa hapo ni 110.


View: https://youtu.be/UYyprwa-VLA?si=P7zc5Apgk68GC5SP

Wakikwambia wameuliwa 11×100 wanaenda kuua 1100,
Hivi we mpumbavu hata nani alikupandisha ndege ukafika nchi zenye watu.?
Wenzio wanafanya mahesabu ya kufanya uzayuni wao mnaita.
Ili kesho wakimwaga damu wasilaumiwe.
Vita mahesabu tu.
Kula vibaba na tende na mandazi na chai hapo ulale.
Bill yako silipi utaletewa.
 
Historia inaonesha wayahudi wa Israel kila waliposhambuliwa na wanamgambo wa Hamas walilipiza kisasi papo kwa papo bila kusubiri.

Nini kilichwafanya safari hii "wajipange" kwa muda mrefu na huku wanadai kuwa watu wao wengi wametekwa?

Jibu ni jepesi sana; Hamas ndiyo walioshambulia na katika kushambulia kwao walikuwa wanajuwa na wanafahamu moto wakaoshushiwa na wayahudi, hilo halina shaka wala ubishi.

Kama walijuwa hilo inamaanisha kitu kimoja tu, walijipanga, ikumbukwe kuwa Israel wameshambulia kutokea mbali na angani ndani ya gaza na wanasema wameua viongozi wawili wa Hamas, cha kujiuliza, viongozi wawili wa Hamas ndiyo wanamgambo wote wa Hamas> Ni nini kinawashinda kuingia Gaza? Na nguvu zote za kivita walizonazo na mashambulio ya ndege za kivita kuuwa viongozi wawili tu na raia kibao ni kushindwa kwa mbinu kwa wayahudi.

Gaza, ina mji mwengine wa mtandao wa mapango waliyoyachimba miaka yote ya kushambuliwa na Wayahudi, ni mapango yalio "very complex" mengine yanatokea ndani ya Israel na mengine yanatokea upande wa pili wa mpaka wa Egypt.

Kilichokuwepo, ni Wisrael wanangojwa waingie kwa miguu wamalize kazi ya kuwamaliza Hamas, ambao ikumbukwe kuwa Hamas ni waanamgambo waliokwisha jitolea kufa, siyo wanajeshi, ni raia wa kawaida walijotolea liwalo na liwe.

Mpaka sasa hivi, hili ni pigo kubwa sana kwa wayahudi na wameshashindwa vita walioitanganza kwa mbembwe za mandonga, kama vile vita imeanza waliposhambuliwa na mgambo wa Hamas.

Hamas wameshafanya yao, bado wana mateka kibao, wayahudi wanangoja nini?

Mara sababu ooh hali ya hewa, mara sababu ooh sijuwi nini? Kwa ufupi, hawana ukweli kabisa. imewanyeshea na inaendelea kuwanyeeshea, sasa kulikwepa wanalianzisha hu klKaskazini na Hizbollah, huko ndiyo kabisa wameshaambiwa wasijaribu. Hizbollah jana imewatangazia ina missiles laki moja na nusu wanazongoja wazijaribu kwa kuipiga Tel Aviv. Waje tu.

Israel itaendelea kushambulia kwa mbali na kwa ndge, lakini vita ya uso kwa uso ndani ya gaza itakuwa ngumu sana kwao, wanaogopa sana kufa. Kinyume na Hamas wanaokitamani kifo cha kufashaheed" (martyr).

Mpaka sasa nahisabu ushindi ni wa Palestina. Njia pekee ya ushindi kwa wayahudi ni kuagizia makombora kutokea mbali na hapo kuuwa wayahudi wenzao walioshikiliwa mateka. Na hilo wapo tayari kulifanya ikibidi, kwa kuwa walioshikwa wengi wanahesabika ni daraja la chini, siyo wayahudi ashkenazi. Au kingine wanacho kingoja ni majeshi ya kukodisha ndiyo wayasukumie gaza.

Haya wale ambao mungu wenu ni myahudi, ulaji huo.


View: https://youtu.be/tF928JnCQNI?si=1c_BqltNvVkZbwc4

Uchambuzi wa kijinga...hebu njoo usome tena...bado Mayahudi wanashindwa!? Unashangilia vita ,huku wewe umekaa una paka wanja na kujifukiza udi.....!
 
Wakikwambia wameuliwa 11×100 wanaenda kuua 1100,
Hivi we mpumbavu hata nani alikupandisha ndege ukafika nchi zenye watu.?
Wenzio wanafanya mahesabu ya kufanya uzayuni wao mnaita.
Ili kesho wakimwaga damu wasilaumiwe.
Vita mahesabu tu.
Kula vibaba na tende na mandazi na chai hapo ulale.
Bill yako silipi utaletewa.
Kwani wameanza leo kuuwa?

Wewe ndiyo maana mpaka leo unatawaliwa bila kujijuwa. Una fikra za kitumwa.
 
Ulipotoa uzi wa kushangilia kipindi Hamas wanavamia Israel, wakaua na kuteka raia
Wewe ni hatari sana kwenye jamii ukiwa jukumu hili
👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎

Hivi wewe mpaka leo huwasifii Hamas?

Mwezi wa ngapi huu kikundi kidogi kimeyqsimqmishq majeshi ya Israel yakisaiwa na wamarekani, wahindi, na NATO yote.

Mie nawashangilia sana mpaka dakika hii. Wewe huwashangilii japo kisirisiri?
 
Hivi wewe mpaka leo huwasifii Hamas?

Mwezi wa ngapi huu kikundi kidogi kimeyqsimqmishq majeshi ya Israel yakisaiwa na wamarekani, wahindi, na NATO yote.

Mie nawashangilia sana mpaka dakika hii. Wewe huwashangilii japo kisirisiri?
Maisha mwangu huwa sishangilii mauaji (vita) ya aina yoyote ile.
Kitendo cha october 7 nilijua yatatokea makubwa hata watu kwenda ICJ
 
Back
Top Bottom