Historia inaonesha wayahudi wa Israel kila waliposhambuliwa na wanamgambo wa Hamas walilipiza kisasi papo kwa papo bila kusubiri.
Nini kilichwafanya safari hii "wajipange" kwa muda mrefu na huku wanadai kuwawatu wao wengi wametekwa?
Jibu ni jepesi sana; Hamas ndiyo walioshambulia na katika kushambulia kwao walikuwa wsanajuwa na wanafahamu moto wakaoshushiwa na wayahudi, hilo halina shaka wala ubishi.
Kama walijuwa hilo inamaanisha kitu kimoja tu, walijipanga, ikumbukwe kuwa Israel wameshambulia kutokea mbali na angani ndani ya gaza na wanasema wameua viongozi wawili wa Hamas, cha kujiuliza, viongozi wawili wa Hamas ndiyo wana mgambo wote wa Hamas> Ni nini kinawashinda kuingia Hamas? Na nguvu zote za kivita walizonazo na mashambulio ya ndege za kivita kuuwa viongozi wawili tu na raia kibao ni kushindwa kwa mbinu kwa wayahudi.
Gaza, ina mji mwengine wa mtandao wa mapango waliyoyachimba miaka yaote ya kushambuliwa na Wayahudi, ni mapngo yalio "very comple" mengine yanatokea ndani ya Israel na mengine yanatokea upande wa pili wa mpaka wa Egypt.
Kilichokuwepo, ni Wisrael wanangojwa waingie kwaa miguu wamalize kazi ya kuwamaliza Hamas, ambao ikumbukwe kuwa Hamas ni waanamgambo waliokwisha jitolea kufa, siyo wanajeshi, ni raia wa kawaida walijotolea liwalo na liwe.
Mpaka sasa hivi, hili ni pigo kubwa sana kwa wayahudi na wameshashindwa vita walioitanganza kwa mbembwe za mandonga, kama vile vita imeanza waliposhambuliwa na mgambo wa Hams.
Hamas wameshafanya yao, bado wanamateka kubao, wayahudi wanangoja nini, mara sababu ooh hali yahewa, mara sababu oooh sijuwi nini? Kw aufupi hawana ukweli kabisa. imewanyeshea na inaendelea kuwanyeeshea, sasa kulikwepa wanalianzisha huko kaskaini na Hizbollah, huko ndiyo kabisa wameshaambiwa wasijaribu. Hizbollah jana imewatangazia ina missiles laki moja na nusu wanazongoja waijaribu kuipiga tel Aviv. Waje tu.
Israel itaebdelea kushambulia kwa mbali na kwa ndge, lakini vita ya uso kwa suso ndani ya gaz itakuwa ngumu sana kwao, wanaogopa sana kufa. Kinyume na Hams wanaokitamani kifo ckufa "shahhed" (martyr).
Mpaka sasa nahisabu ushindi ni wa Palestina. Njia pekee ya ushindi kwa wayahudi ni kuagizia makombora ykutokea mbali na hapo kuuwa wayahudi wenzao walishikiliwa mateka. N ahilo wapo tayari kulifanya ikibidi, kwa kwuwa walioshikwa wengi wanahesabika ni daraja lachini, siyo wayahudi ashkenazi. Au kingine wanachokingoja ni majeshi ya kukodisha ndiyo wayasukumie gaza.
Haya waale amabao mungu wenu ni myahudi, ulaji huo.
View: https://youtu.be/tF928JnCQNI?si=1c_BqltNvVkZbwc4