Mkwara mzito,kama mgombea mmekwama kumchangia ndio mtapata bil 10?Kwa taarifa yako, Chadema haiwezi kukosa fedha za kuwahudumia mawakala wao.
Na leo hii Chadema wakisema tuwachangie hela za kuwahudumia mawakala wao ndani ya siku 5 wataraise bil 10. Mark my words
Acha uongo,chakula cha mchana na kukesha unahesabu kura kwa elfu tano?Huu ulazima wa kila wakala kulipwa 30,000 unatoka wapi au hii ni sheria? Mbona sisiem pamoja na kujichotea tu pesa za walipa kodi lakini miaka tu ya hivi karibuni waliwapa mawakala wao mpunga wa elfu 3 na 5,000/=!!
Wakala anakula pesa ya CCM kisha anasimamia haki mtamfanya nini? Kama Rais wako mtukufu magufuli anapendwa na watanzania iweje mjihangaishe kuihujumu chadema si muache uchaguzi huru na haki ufanyike?
Unyanyasaji gani?Wewe ndiyo hujielewi umechagua kusapoti uonevu unyanyasaji wa CCM pasipo kumuogopa mungu
Hujaona beberu wa Lissu akihangaika kule Twitter ili mtu wake awe rais? Yule ndio aligaramia matibabu yake.Kwani Tundu Lissu alipata wapi pesa za matibabu baada ya kumnyima stahiki zake?Na Nyerere alipata wapi pesa za kuwatimua wakoloni?Mamilioni ya Watanzania tupo nyuma ya chadema na mia 5 zetu kuichangia Katika hatuna zote mpaka ushindi.
Na kwa Neema.Ya Mungu Baba tutashinda!
Miloni 300 mlitumia siku 3 hiyo bilion 10 piga hesabu mtatumia siku ngapi?Kwa taarifa yako, Chadema haiwezi kukosa fedha za kuwahudumia mawakala wao.
Na leo hii Chadema wakisema tuwachangie hela za kuwahudumia mawakala wao ndani ya siku 5 wataraise bil 10. Mark my words
Hakuna Kiu kuu kwa watanzania sasaivi kama ya kumtoa huyu nduli Jiwe ikulu. Si wafanyabiashara si matajiri si wafanyakazi pia wakulima. Kama suala la kuhakikisha ushindi wa Chadema ni mawakala kuwepo vituoni wote tuko tayari kujibana hata kula hiyo hela tuichange na iende kuhudumia mawakala. Bil 10 lazima ipatikane ndani ya siku 5Miloni 300 mlitumia siku 3 hiyo bilion 10 piga hesabu mtatumia siku ngapi?
Naona mmefurishwa huko mje mjazane maujinga yenu kama kawaida yenu ni hivi ukiwa mzalendo sio lazima ulipwe haya kachukueni buku 7 zenu pale lumumbaWatakoma
Nyie wenye pesa za kuwalipa mawakala mbona huwa mnasaidiwa na Tume kupora ushindi wa wapinzani?! nyie ni mazwazwa....
UmeelewaYani imefikia hatua ACT Wazalendo ina mabango mengi kuzidi CHADEMA!
Mbowe siyo mtu mzuri kabisa, ruzuku yote sikui kaipeleka wapi?
Mgombea gani amegoma kuchangiwa??! Kati ya Lissu na Magufuli Nani kafanya mikutano mingi ya kampeni?Mkwara mzito,kama mgombea mmekwama kumchangia ndio mtapata bil 10?
Endelea kuota mkuu!Hakuna Kiu kuu kwa watanzania sasaivi kama ya kumtoa huyu nduli Jiwe ikulu. Si wafanyabiashara si matajiri si wafanyakazi pia wakulima. Kama suala la kuhakikisha ushindi wa Chadema ni mawakala kuwepo vituoni wote tuko tayari kujibana hata kula hiyo hela tuichange na iende kuhudumia mawakala. Bil 10 lazima ipatikane ndani ya siku 5