Uchaguzi 2020 Kwa ukata huu walionao CHADEMA, wataweza kuwagharamia mawakala?

Siasa ni gharama kwa hiyo ili chama cha siasa kiweze kufanikisha malengo yake lazima wanachama na wafuasi wake wajitolee kwa hali na mali....
Huku katika upinzani, watu tulishazowea kujitolea, hakuna Lori wala basi la kusomba watu kujaza watu mikutanoni. Hivyo hivyo katika usimamizi wa kura, tutajitolea kwa hali na mali kulinda kura za wagombea wetu. Anayedhani kuwa kutakuwa na mteremko wa kuiba kura za upinzani pole yake.
 
Uzalendo ni kujitolea
 
Wapi huko?
Hata huku Rchuga.hata mgombea udiwani mtaa wetu toka kampeni zimeanza Jana ndo namuona kwa Mara ya pili.afu chadema wamejipanga sana kama sio nyie kuwazuia kukodisha chopa kampeni zote zilikuwa zipigwe kwa chopa.hvi unajua kukodisha chopa kwa siku ni milioni ngapi mkuu.
 
Siasa ni gharama kwa hiyo ili chama cha siasa kiweze kufanikisha malengo yake lazima wanachama na wafuasi wake wajitolee kwa hali na mali...
Hatuhitaji ruzuku. Mimi mwenyewe nimejitolea mawakala wote wa kata yangu nawalipa. Na siyo hela ya kijinga. Siyo kila kitu maccm mjue. Nyie mmetuibia hela za kodi zetu mnatumia kufanya ushenzi wenu. Sisi kuna watu hamuwaoni lakini wanatusapoti.
 
Hatuhitaji ruzuku. Mimi mwenyewe nimejitolea mawakala wote wa kata yangu nawalipa. Na siyo hela ya kijinga. Siyo kila kitu maccm mjue. Nyie mmetuibia hela za kodi zetu mnatumia kufanya ushenzi wenu. Sisi kuna watu hamuwaoni lakini wanatusapoti.
Zanzibar wao wamekuja na hii,
Your browser is not able to display this video.
 
Ikumbukwe kabla ya kwenda Iringa alikua kapumzika siku tano mfululizo, kukatishwa kwa kampeni na mgombea huyu kwa sababu za kubana matumizi kumelazimisha tume mstopishe kampeni za Lissu ili naye akae nyumbani Kama mgombea wa ccm
Viongozi wenu jana wameridhia mgombea wao kusitisha kampeni, kwahiyo wamekubaliana na huu uonevu?
 
Ukata an as o bdba yako mpiga magoti , kawanyima wagombea ubunge na udiwani hela za kufanyia kampeni , wanafanya mkutzno mmoja kwa wiki , akitegemea tume ,haya white paper imetoka sijui mmeisha mtafsiria .
 
Kwani lile bakuli linalopita kwenye mikutano zile pesa zinaenda wapi?
 
Yani imefikia hatua ACT Wazalendo ina mabango mengi kuzidi CHADEMA!

Mbowe siyo mtu mzuri kabisa, ruzuku yote sikui kaipeleka wapi?
Ruzuku za CHADEMA anawekeza kwenye miradi yake huku chama kikiwa hohehahe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…