Kwa Ule Mjengo wa Boniface Jacobo: Hakuna Polisi Mwenye Uwezo wa Kujenga

Kwa Ule Mjengo wa Boniface Jacobo: Hakuna Polisi Mwenye Uwezo wa Kujenga

Screenshot_20240919-093849.jpg
 
Jana nilivyoona stori za mmoja ya mwanaharakati chadema kakamatwa na polisi kwenda kukagua nyumbani kwa jamaa naamini kabisa wale polisi waliokua wanakagua Ile nyumba na na polisi wengine Kwa ujumla hamna ambaye anamjengo kama ule wa huyu boni yai polisi ni masikini sana aisee Kuna anaebisha humu yaani mnazidiwa kipato na mpambanaji aliekataa kula Mali za dhulma
Umejipanga?
 
Ukiwa Mtumishi wa Umma Kwa cheo cha hao Maaskari wanaotumwa kukamata, huwezi kumiliki mjengo wenye ile level

Hata Maaskari wenyewe vyeo, labda wafikie level ya RPC ndiyo pengine wakaweza, tena hapo ni baada ya kukopa sana kwenye Mishahara yao pamoja na Saccos za Jeshi
 
Back
Top Bottom