Kwa Ule Mjengo wa Boniface Jacobo: Hakuna Polisi Mwenye Uwezo wa Kujenga

Jana nilivyoona stori za mmoja ya mwanaharakati wa chadema kakamatwa na polisi kwenda kukagua nyumbani kwa jamaa naamini kabisa wale polisi waliokua wanakagua Ile nyumba na polisi wengine Kwa ujumla hamna ambaye anamjengo kama ule wa huyu boni yai polisi ni masikini sana aisee Kuna anaebisha humu yaani mnazidiwa kipato na mpambanaji aliekataa kula Mali za dhulma
Acha utoto
 
Picha ya mjengo tafadhali
1726728468973.jpeg
 
Jana nilivyoona stori za mmoja ya mwanaharakati wa chadema kakamatwa na polisi kwenda kukagua nyumbani kwa jamaa naamini kabisa wale polisi waliokua wanakagua Ile nyumba na polisi wengine Kwa ujumla hamna ambaye anamjengo kama ule wa huyu boni yai polisi ni masikini sana aisee Kuna anaebisha humu yaani mnazidiwa kipato na mpambanaji aliekataa kula Mali za dhulma
Wewe kama ni muhalifu utakamatwa tuu! Hatuwezi kukuogopa eti ya mjengo! Tii sheria za nchi ambazo kwa hizo zimekupa utajiri!
 
Back
Top Bottom