Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
-
- #21
Mbona umeandika Kwa uchungu sanaaaa🤣🤣🤣🤣🤣Hlafu unataka watu wamtetea , hiyo ndio ajira yake na risk zake ...Hatutaki huruma apambane mbona bodaboda wanakufa kila siku hawataki kutetewa.
Mbona umeandika Kwa uchungu sanaaaa unayo 🤣🤣🤣🤣Ni hako ka rosheni kamoja ndio kanakupa kimuhemuhe!!?
Mbona unauchungu sanaaa 🤣🤣🤣🤣Ikiwa uzi huu haujaambatanishwa na ushahidi wa picha!
Naomba uongozi waufute tuu.
Ni nyumba nzuri na uwezo wa kujenga zaidi ya hiyo ninao vilevileUnamuonea wivu kisa huna uwezo wa kujenga ule MJENGO hahaha🤣🤣🤣
Huna uwezo wa kujenga hiyo wewe wenye uwezo wapo kimyaaaaa🤣🤣🤣Ni nyumba nzuri na uwezo wa kujenga zaidi ya hiyo ninao vilevile
Wewe umejenga kama huo?Boniface Jacob ni ex- Mayor wa Ubungo .
Unaelewa posho n marupurupu ya Mayor tena Ubungo?
polisi umemindhuu mbona ni utoto wa kiwango cha juu kwenye utu uzima gentleman, dah 🐒
Hutaki auAu sio
Umejipanga?Jana nilivyoona stori za mmoja ya mwanaharakati chadema kakamatwa na polisi kwenda kukagua nyumbani kwa jamaa naamini kabisa wale polisi waliokua wanakagua Ile nyumba na na polisi wengine Kwa ujumla hamna ambaye anamjengo kama ule wa huyu boni yai polisi ni masikini sana aisee Kuna anaebisha humu yaani mnazidiwa kipato na mpambanaji aliekataa kula Mali za dhulma
Kwa pesa za kujichanga tu kama hujatapeli au kudhulum serikalini sio rahisiHata Wewe huwezi kujenga ule MJENGO na uchawa wako mpaka unakufa
Yah nimejipangaUmejipanga?
Polisi ndio wanadhulumu mali za raia ila mbona ni masikini sanaKwa pesa za kujichanga tu kama hujatapeli au kudhulum serikalini sio rahisi