Kwa Ule Mjengo wa Boniface Jacobo: Hakuna Polisi Mwenye Uwezo wa Kujenga

We jamaa acha kudharau Dola...
 
Waandamaji wajinga wa Chadema wajifunze hapo

Mwenzao boni yai akianzisha vurugu pesa zinaingia toka kwa mabeberu wao wanaambulia virungu tu vya polisi hawapati hata tofali moja la kujenga banda la kuku
 
Vipi wewe ambae sio muandamanaji unao kama huo MJENGO au ndio unasubiri kifo mkuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuna mmoja alijipiga na selfie akatambie kwenye status whatsapp na fb 😃
 
Dah Mkuu Asubuhi asubuhi hii nimecheka sana ....yani utalii walioufanya jana kwenye hilo Hekalu daah
 
Duh ngoja waje 😄
Ila wapo polisi wengine wako
Njema

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…