Kwa Ule Mjengo wa Boniface Jacobo: Hakuna Polisi Mwenye Uwezo wa Kujenga

Waandamaji wajinga wa Chadema wajifunze hapo

Mwenzao boni yai akianzisha vurugu pesa zinaingia toka kwa mabeberu wao wanaambulia virungu tu vya polisi hawapati hata tofali moja la kujenga banda la kuku
Akienda kuziomba rais hawawi mabeberu wanakuwa wahisani
 
Mada yako inapotosha muelekeo wa kumpigania mhusika. Hili suala la nani ana hela zaidi ni nje ya hoja ya kumpigania mtuhumiwa. La sivyo Polisi wanaweza kumuongezea tuhuma nyingine ya hujuma ya uchumi wakimtaka aeleze wapi alipopata hela za kujenga nyumba kama hiyo wakati wewe mwenyewe unakiri kwamba kwa mshahara tu, kama walivyo polisi, mtu hawezi kuwa na jumba kama hilo.
 
Chawa nani kakuambia polisi wanamuweza huyo jamaa polisi wanamuogopa hatari na hawawezi kumfanya lolote
 
Chawa nani kakuambia polisi wanamuweza huyo jamaa polisi wanamuogopa hatari na hawawezi kumfanya lolote
Na wale jamaa walivyokuwa dokodoko sijui kama ndani vitu vimepona

Ova
 
Nyie ndy mnawaza kiumaskini,mnafanya hao mnaowatumikisha waishi kimaskini

Ova
hakuna anaemtumikisha mwingine nchi hii..

kua maskini au tajiri ni uamuzi binafsi ndrugu yangu mrangi
nini hakuna humu nchini hata uwe maskini kwa mfano? ni vizuri kuepuka uvivu na kutumia fursa zilizopo kujiondoa katika fikra na mawazo ya kimaskini..

Tanzania ni Tajiri Mno bana πŸ’
 
Nyie si mnaishi kwa uchawa sifiasifia mkono unaenda kinywani
Ila siyo mbaya kama umeona ndy utafutaji

Ova
 
Nyie si mnaishi kwa uchawa sifiasifia mkono unaenda kinywani
Ila siyo mbaya kama umeona ndy utafutaji

Ova
mie si nyumbu wala hiyo ingine.
Uzalendo kwa Taifa langu ni wa kiwango cha juu sana na sina haja kujipambanua saana..

taaluma, nguvu ya kulima, kufuga, kufundisha vyuoni na kuwatumia wananchi ninaweza vizuri mno na kwakweli hakuna namna naweza kushinda njaa au kusomesha vijana wangu..

ile siwez kuacha wala kupunguza hata kidogo ni kusema ukweli tu πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…