Kwa upande wangu siwezi KUMCHANGIA aliyefia Uturuki akifanya surgery ya urembo

Daaah nimecheka kingese 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂👊👊👊👊👊👊👊
 
Mimi ntachanga

Nachojua watu tupo dunia moja Ila tumetofautiana viwango vya ufahamu wetu.

Naimani huyu dada hakupata watu sahihi wa kuijenga Akili yake so I can't be a judgmental.

Wote hapa duniani ni same drive

Nb sitoweza kuchanga maana hao ndugu zake Mimi siwaamini kabisa ila Kama ameacha mtoto tuunganishwe naye ili tumchangie chochote kitu.
 
Labda wanaume watuambie wana kazi gani na hayo makalio?? Maana wadada wamekua kama wehu siku hzi...wanaweka matakwo yana shepu mbaya kama breki za ndege...
 
Turkey surgery wanayoweza vema kuliko yoyote duniani ni hair implant tu. Kwa hiyo hawana mpinzani. Lakini mengine wababaishaji tu.
Hawatoi mvi mkuu? Mimi mvi zimenijia mapema...kila nikipita mabinti warembo wananiambia shikamoo shikamoo
 
Azikwe huko huko.....
 
Sidhani kama unaweza mkomoa marehemu. Wanaokomolewa ni ndugu wanaotakwa azikwe nyumbani.
 
Nadhani kuchanga sio lazima, ila busara ni kukaa kimya kuliko kuchangia masimango...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…