Kwa utendaji kazi uliotukuka wa Rais Samia naanza kuziona dalili za upinzani kutafuta visingizio vya kumkimbia na kumkwepa katika Uchaguzi Mkuu ujao

Kwa utendaji kazi uliotukuka wa Rais Samia naanza kuziona dalili za upinzani kutafuta visingizio vya kumkimbia na kumkwepa katika Uchaguzi Mkuu ujao

Ndio maana nikasema utendaji kazi huu wa mh Rais wetu umesha wachanganya Sana na Kuna uwezekano mkaogopa kuvuna aibu iliyo wazi kabisa baada ya kuonekana kuwa kwa Sasa mmekosa Sera na ajenda za kueleweka kwa wananchi

CCM sio chama cha siasa, kama mlitegemea wapinzani washiriki huo upuuzi ili wawajazie watu kisha mpore uchaguzi, basi mmeukalia. Hakuna mwanaume anayesimamisha vizuri atashiriki huo ukhanithi uitwao uchaguzi. Hivyo vyama vinaweza kushiriki, lakini sisi wapiga kura tumeshapuuza hilo zoezi.

Uchaguzi uko Kenya. Hapa kwetu machafuko tu ndio yatairejesha hii nchi kwenye mfumo sahihi wa kupata chama halali cha kukaa madarakani.l fullstop.
 
Hamna mtanzania anayejitambua atashiriki huo ushenzi uitwao uchaguzi. Kenya hapo tumeona uchaguzi wa ukweli. Huo uhuni shirikini na vyombo vya dola na watu wasiojitambua. Na ukitaka kujua kuwa watanzania wanajitambua na huwa hawaichagui CCM, subiri wapinzani wakisusia huo ushenzi uitwao uchaguzi kama wapiga kura watafika hata 5m.
sasa vyombo vya dola ipi kama ni hao wazee wa kutoka na mabox empty na kurudisha yamejaa mzee wangu these time hawatajisumbua maana washajiongeza wakiwapigania waingie madarakani msoto tunakula wote hawana wanachofaidi. tusubiri muda si ndo daktari wa mambo yote
 
Mara nyingi tunajua lengo la watu wenye ID zenye real name kama wewe ni kukumbukwa na serikali kwa kuimba mapambio mitandaoni mkiamini kwamba mnauza majina lakini mara nyingi utafiti unaonyesha wengi wenu mnaishi kutoswa tu na kulalamika,sikudanganyi walikuwepo wengi sana humu kama wewe na walikuwa wanaweka hadi namba za simu lakini huwezi amini bado wanasugua benchi hadi leo system zina wenyewe hizi.

Kulikuwa na watu wake jiwe humu kibao lakini jiwe alipofariki watu walewale waliokuwa wanaimba mapambio wamegeuka wapingaji wakubwa wa huyu aliye sasa nadhani hata wewe roho inakusuta kwa ID yako yenye jina Fake unaponda upuuzi wa serikali yako hii hii unayoitetea kwa Id ya real name.

Ndugu zangu tuwatengenezee mazingira mazuri watoto wetu aisee wasije wakatia aibu kama hivi kuwasujudia mamlaka
upo sahihi watoto wa machawa watakuja kuona wazazi wao kama matapishi
 
Naitetea serikali yangu kwa kutoa ukweli wa mambo unaoonekana machoni pa kila mtu asiyekipofu, halafu lazima ujuwe na kutambua siku zote kuwa uongozi huwa unatoka kwa Mwenyezi Mungu pekee, yeye ndio huwa anajuwa amnyanyue Nani na kumshusha Nani na kwa makusudi yapi,

Yeye humnyanyua mtu anayejuwa atawatumikia watu wake kwa upendo na unyenyekevu mkubwa Kama ilivyo kwa mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani anayewatumikia watanzania kwa upendo na unyenyekevu mkubwa Sana unaogusa maisha ya watanzania wanyonge

Hakuna Mungu anatoa madarakani kwa kunajisi uchaguzi, wajinga tu ndio mnaweza kuwaambia huu utoto eti madaraka yanayotoka kwa Mungu. Ule uhayawani uliofanyika uchaguzi wa 2020, hakuna Mungu anasimamia na uhuni wa vile.
 
CCM sio chama cha siasa, kama mlitegemea wapinzani washiriki huo upuuzi ili wawajazie watu kisha mpore uchaguzi, basi mmeukalia. Hakuna mwanaume anayesimamisha vizuri atashiriki huo ukhanithi uitwao uchaguzi. Hivyo vyama vinaweza kushiriki, lakini sisi wapiga kura tumeshapuuza hilo zoezi.

Uchaguzi uko Kenya. Hapa kwetu machafuko tu ndio yatairejesha hii nchi kwenye mfumo sahihi wa kupata chama halali cha kukaa madarakani.l fullstop.
Tengeneza nchi yako ndio ukaweke hayo machafuko yako, Hapa Tanzanian sisi tunaendelea kuungana na mh Rais wetu kuijenga nchi yetu ili watanzania wa kesho waikute Tanzania iliyo Bora imara na yenye maendeleo makubwa kuliko hapa tulipo, wakute Tanzania iliyojengwa kwa mikono yetu wenyewe ili nao waendelee tulipoishia sisi, wasikute Tanzania iliyojaa mzigo wa madeni kwa kushindwa kwetu kutimiza wajibu wetu
 
Hakuna Mungu anatoa madarakani kwa kunajisi uchaguzi, wajinga tu ndio mnaweza kuwaambia huu utoto eti madaraka yanayotoka kwa Mungu. Ule uhayawani uliofanyika uchaguzi wa 2020, hakuna Mungu anasimamia na uhuni wa vile.
Mamlaka yote iliyopo hapa duniani unatoka kwa Mungu, mh Rais wetu anazobaraka zote za watanzania na maombi ya watanzania kwa mh Rais wetu mpendwa Ni makubwa Sana ili mwenyezi Mungu Amlinde na kumpigania wakati wote
 
Kwanini nisimjibu, Kuna swali gani gumu hapo ndugu yangu Mtanzania mwenzangu unayeendelee kupata furaha na fursa ya kuinuka kiuchumi kutokana na kazi nzuri ya mh Rais wetu katika kuhakikisha maisha ya watanzania yanakuwa Bora Zaid ya jana
Rais wetu mwenyewe kasema hapendi kusifiwa sifiwa, kasema pale tunapoona kakosea tumkosoe kwa staha.

Sasa wewe unafikiri kwenye hii awamu uchawa unalipa? get job man! ujue unaudhi sana labda kama unalipwa na Shaka.
 
Rais wetu mwenyewe kasema hapendi kusifiwa sifiwa, kasema pale tunapoona kakosea tumkosoe kwa staha.

Sasa wewe unafikiri kwe hii awamu uchawa unalipa? get job! ujue unaudhi sana labda kama unalipwa na Shaka.
Sasa Mimi nasema Yale ya kweli na Wala sisifii uongo ,na hiyo Ni Haki yangu Kama mpiga kura wake kusema kuwa nimeridhishwa na utendaji kazi wa mh Rais Kama ambavyo mamilioni ya watanzania wanavyoendelea kumuunga mkono mh Rais wetu
 
Tengeneza nchi yako ndio ukaweke hayo machafuko yako, Hapa Tanzanian sisi tunaendelea kuungana na mh Rais wetu kuijenga nchi yetu ili watanzania wa kesho waikute Tanzania iliyo Bora imara na yenye maendeleo makubwa kuliko hapa tulipo, wakute Tanzania iliyojengwa kwa mikono yetu wenyewe ili nao waendelee tulipoishia sisi, wasikute Tanzania iliyojaa mzigo wa madeni kwa kushindwa kwetu kutimiza wajibu wetu

Kenya hapo walikuwa na machafuko na bado wana uchumi mzuri kuliko wetu. Na bado wana demokrasia ya ukweli kuliko sisi nchi ya makondoo.
 
Maombi ya watanzania au yenu nyie mlio kwenye mlo?
Maombi ya mamillioni ya watanzania waliofikiwa na mh Rais kwa utumishi wake uliotukuka, Niambie Ni wapi na eneo lipi unalohisi mh Rais wetu hajafika kiutendaji
 
Maombi ya mamillioni ya watanzania waliofikiwa na mh Rais kwa utumishi wake uliotukuka, Niambie Ni wapi na eneo lipi unalohisi mh Rais wetu hajafika kiutendaji

Anafika kila eneo maana ana usafiri wa bure, na sio kwasababu nilikuwa ni mtendaji mzuri. Nani ana muda wa kumuombea mtu mwenye maisha mazuri wakati yeye anashindia mlo mmoja?
 
Anafika kila eneo maana ana usafiri wa bure, na sio kwasababu nilikuwa ni mtendaji mzuri. Nani ana muda wa kumuombea mtu mwenye maisha mazuri wakati yeye anashindia mlo mmoja?
Ugali mezani utaletwa na wewe mwenyewe ndugu yangu, kazi ya serikali inakuwa Ni kutusaidia sisi wananchi kuuleta mezani, Hapa ndio unamkuta mama yetu kafanya kazi ya kutoa Ruzuku ya billion Mia moja hamsini katika pembejeo hasa mbolea ili zishuke Bei ambapo kwa Sasa mbolea Kama DAP inapatikana kwa shilling elfu sabini tu toka huko ilikokuwa inauzwa laki na 40,

Hapo mh Rais wetu mpendwa ametusaidia Sana na wengi watalima na kuongeza uzalishaji ukilinganisha na msimu uliopita, lakini pia soko la mazao kwa Sasa Ni zuri na la uhakika ukilinganisha na miaka ya nyuma, kwa hiyo mkulima anauza kwa Bei nzuri inayompa faida na kuinua kipato chake,
 
Tume haichagui Wala kupiga kura Bali kazi ya tume Ni kumtamgaza sauti na maamuzi ya wananchi, Sasa nyie Nani atawapigia kura? Kwa Sera na ajenda zipi? Kwa matusi hayo? Nani kawaambia wananchi wanataka kusikia matusi yenu?
Mimi ni MWANANCHI Si mwanasiasa,

Sichaguliwi, Bali Nachagua viongozi.

Bila TUME huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya hapatakuwa na UCHAGUZI wowote.

Ameeeen
 
Mimi ni MWANANCHI Si mwanasiasa,

Sichaguliwi, Bali Nachagua viongozi.

Bila TUME huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya hapatakuwa na UCHAGUZI wowote.

Ameeeen
CCM Ni imara katika mazingira yote ,Hiki Ni chama kiongozi
 
Ni kheri kuishi na kweli hata kama ni kwa tabu, kuliko kupigania tumbo ukiipindisha kweli.
 
Back
Top Bottom