WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Uchaguzi uliomweka huyo Mtakatifu wako ulikuwa haramu na alirithi mikoba haramu,sisi tutamsifu iwapo atapambana kwa sera zake mwenyewe 2025 na kushinda Urais iwe kwa njia halali au haramu ali mradi tu apite nchi nzima kujinadi yale anayotegemea kuwatendea Watanzania.Nashindwa kukujibu maana umetumia lugha isiyo na heshima Wala staha
Hivi wapi umeona wakizulula Kama mnavyotaka huku?Acha uongo, mbona siasa marekani inaendelea. Umesahahu impeachment ya Trump?. Tusitumie mifano kwa nia ovu. Mbona juzi imepigwa kampeni mpaka gavana was New York akatoka na uchaguzi kufanyiwa.
Nakwambia hivi ndugu yangu kuwa mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani atapitaa kwa kishindo kikuu, Hakuna mwenye ubavu wa kushindana Naye katika uchaguzi ujao, kafanya kazi zilizoacha Alama zinazoendelea kuwa gusa watanzania na muda wote wakiziona inakuwa Ni Kama wamemuona mh Rais wetu mpendwaUchaguzi uliomweka huyo Mtakatifu wako ulikuwa haramu na alirithi mikoba haramu,sisi tutamsifu iwapo atapambana kwa sera zake mwenyewe 2025 na kushinda Urais iwe kwa njia halali au haramu ali mradi tu apite nchi nzima kujinadi yale anayotegemea kuwatendea Watanzania.

Kama upinzani wa Tanzania hauna sera kwa nin mwendakuzimu wakati wote wa utawala wake alikuwa anapambania sera za upinzani,na wapinzani wakiunga juhudi mara moja wanapewa promosheni ya nguvu,mpaka sasa wale wamama 19 wapo kule kwa sababu wametoka kwenye sera nzuri na ccm inawalinda bila utaratibu.
Alama za tozo,aisee!Nakwambia hivi ndugu yangu kuwa mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani atapitaa kwa kishindo kikuu, Hakuna mwenye ubavu wa kushindana Naye katika uchaguzi ujao, kafanya kazi zilizoacha Alama zinazoendelea kuwa gusa watanzania na muda wote wakiziona inakuwa Ni Kama wamemuona mh Rais wetu mpendwa