WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Uchaguzi uliomweka huyo Mtakatifu wako ulikuwa haramu na alirithi mikoba haramu,sisi tutamsifu iwapo atapambana kwa sera zake mwenyewe 2025 na kushinda Urais iwe kwa njia halali au haramu ali mradi tu apite nchi nzima kujinadi yale anayotegemea kuwatendea Watanzania.Nashindwa kukujibu maana umetumia lugha isiyo na heshima Wala staha