Kwa utendaji kazi uliotukuka wa Rais Samia naanza kuziona dalili za upinzani kutafuta visingizio vya kumkimbia na kumkwepa katika Uchaguzi Mkuu ujao

Nashindwa kukujibu maana umetumia lugha isiyo na heshima Wala staha
Uchaguzi uliomweka huyo Mtakatifu wako ulikuwa haramu na alirithi mikoba haramu,sisi tutamsifu iwapo atapambana kwa sera zake mwenyewe 2025 na kushinda Urais iwe kwa njia halali au haramu ali mradi tu apite nchi nzima kujinadi yale anayotegemea kuwatendea Watanzania.
 
Acha uongo, mbona siasa marekani inaendelea. Umesahahu impeachment ya Trump?. Tusitumie mifano kwa nia ovu. Mbona juzi imepigwa kampeni mpaka gavana was New York akatoka na uchaguzi kufanyiwa.
Hivi wapi umeona wakizulula Kama mnavyotaka huku?
 
Uchaguzi uliomweka huyo Mtakatifu wako ulikuwa haramu na alirithi mikoba haramu,sisi tutamsifu iwapo atapambana kwa sera zake mwenyewe 2025 na kushinda Urais iwe kwa njia halali au haramu ali mradi tu apite nchi nzima kujinadi yale anayotegemea kuwatendea Watanzania.
Nakwambia hivi ndugu yangu kuwa mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani atapitaa kwa kishindo kikuu, Hakuna mwenye ubavu wa kushindana Naye katika uchaguzi ujao, kafanya kazi zilizoacha Alama zinazoendelea kuwa gusa watanzania na muda wote wakiziona inakuwa Ni Kama wamemuona mh Rais wetu mpendwa
 
Kama upinzani wa Tanzania hauna sera kwa nin mwendakuzimu wakati wote wa utawala wake alikuwa anapambania sera za upinzani,na wapinzani wakiunga juhudi mara moja wanapewa promosheni ya nguvu,mpaka sasa wale wamama 19 wapo kule kwa sababu wametoka kwenye sera nzuri na ccm inawalinda bila utaratibu.
 
Nakwambia hivi ndugu yangu kuwa mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani atapitaa kwa kishindo kikuu, Hakuna mwenye ubavu wa kushindana Naye katika uchaguzi ujao, kafanya kazi zilizoacha Alama zinazoendelea kuwa gusa watanzania na muda wote wakiziona inakuwa Ni Kama wamemuona mh Rais wetu mpendwa
Alama za tozo,aisee!
 
Back
Top Bottom