Kwa uzoefu wangu, sehemu zenye Waha wengi ni ngumu sana kufanya biashara

Vivo hivyo na ndugu zao warundi...burundi ni moja ya nchi ngumu mno kufannya biashara sababu ya wananchi wake kuwa ni wabahili kupitiliza. Biashara zao nyingi faida ni 10% na wanashindana kushusha bei ya vitu wanaishia kupata faida kiduchu
Ni umaskini uliokithiri
 
😂😂😂🤣🤣🤣😂😂😂
 
nakubali
 
Ukiona maisha Magumu, tafuta rafiki Muha au ishi maeneo wanayoishi,
Kuna kipindi nilipigika baada ya kujichanganya, nikawa na jamaa yangu muha bingwa wa kubana matumizi, hio siku akanipeleka chocho la ugali na mboga kama nne hivi kwa tsh 300., Yes namaanisha mia tatu.., Sema baada ya kufika geto kulikua na safari nyingine ya kuitafuta dispensary huku yeye akidunda kama aliyekula pizza.
Wapare wanaonewa tuu, kuna siku alitumia elf 5 kwa siku, Alijilaumu mpk analala, pale ndio nilichoka.
 
Haa Safari Ya Dispensary Baada Ya Kula Sotojo, Masapta Ya Ajabu
 
😅😅😅hawana mshipa wa aibu, eti utununulie nyumba nzima yani wale hata mke anaweza kukupa upige, akili yao iko taratibu mno
 
Huwezi kuwatofautisha warundi na waha hao ni ndugu sema wametenganishwa na mpaka. Ni sawa na kusema 80% ya wakurya ni wakenya huu sio ukweli
 
Pole sana kwa changamoto hizo

Ni kati ya jamii ambayo ni ngumu kuishi nao, na cha kushangaza tabia nyingi zinafanywa na wanaume, wanawake zao wapo tofauti wana nafuu kiasi
 
Niulize mimi nilikuwa Mkwe wa Rombo huko. Baba Mkwe Profesa, Mama Mkwe Lecturer SUA.
Mkiona watu wanafanikiwa kwao Ubahili sio tusi ni Jadi
Wachaga sio bahaili ila wanakuaga na ujanja ujanja mwingi kwenye kusaka pesa..
Hiyo ya kula mkate na maji siku nzima dukani sijaiona kwa wachaga wengi, ila wao ni risk takers, wazee wa kucheza na system, anajua auze nini apige faida zaidi, bidhaa atoe wapi hata magendo ili apate cha juu.

Na wanakula vizuri na kula gambe sana tu, wao ukiwaletea dili la pesa hawaoni shida kuingia mpige pesa.

Au labda ubahili kwako una tafsiri tofauti joh.
 
Vivo hivyo na ndugu zao warundi...burundi ni moja ya nchi ngumu mno kufannya biashara sababu ya wananchi wake kuwa ni wabahili kupitiliza. Biashara zao nyingi faida ni 10% na wanashindana kushusha bei ya vitu wanaishia kupata faida kiduchu
Tatizo ni umaskini
 
Huwa nashangaa sana mtu akisema Wachaga na Wapare ni wabahiri,,ila Muha ni bahiri hao wote wakasome

Sema Kuna mshikaji wangu Muha bonge kwenye kula hana ubahiri kabisa tofaut na waha wengine
 
Aisee pole mkuu...kila jamii ina utamaduni wake wa matumizi. Kuna wanaotumia kidogo na wengine ni Watumiaji wazuri.
Fanya biashara kwenye maeneo yenye wenyeji wa Dar, wao ni watumiajia wazuri hawajui kujibana na hawachagui kabila au dini
Ni kweli Mtu aliyezaliwa Dar awe Mwanamke au Mwanaume ni watumiaji wazur na watoaji wazur siyo wagumu kwenye kutoa, Kimbembe awa wanaotoka mikoani yani ni wagumu kwenye kutumia pesa na kutoa pesa, kwasababu wamezaliwa na kukulia kwenye Mazingira ambayo hawajawai kuona Wazazi na ndugu jamaa na marafiki wakipeana pesa au kufanya matumizi ya pesa, yani wao ni kupewa pesa ya kusaga mahindi kwenye machine, Wao mambo ya Mzazi kumpa mtoto pesa ya shule hakuna wala shuleni watoto watumie pesa kinunua ice cream au kashata keki hakuna mambo kama hayo. Na wadau wanaosema pesa ya Mwanamke ngumu kuipata kweli lakini kwa Wanawake walikulia Maisha ya vijijini laki kwa waliozaliwa mjini ukiwakopesha pesa wanakulipa na ukiwakopa wana kupa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…