Kwa uzoefu wangu, sehemu zenye Waha wengi ni ngumu sana kufanya biashara

Kwenye hili la wanawake na pesa karudie utafiti wako tena.
 
Mi nilijuwa huku mijini Waha wabaili kwakuwa wanawaza kwao kulivyokuwa mbali anajikuta tu lazima atunze pesa,kumbe wabahili hata huko kwao,basi hawa siwaelewi kwakweli...
 
Waha ni wa zamani,
hawa wa leo ni wenye hati miliki huko oya kama tulivyo tu wengine.
 
Kama ningekuwa na uwezo wa kufuta hili kabila ningelifuta aisee hawa jamaa Wana maisha ya kubagua Kwa kuangalia watu wa kabila Lao Tu..
Hilo nimeona Sana huku chamazi ambako nafanya biashara.

Kama unaishi na hao wajinga jitahid uende sehemu nyingine akafanye biashara usijichanganye ukafungua Duka huku walikuzunguka ni waha ambao wanauza bidhaa kama zako, hawa jamaa sio watanzania kabisaa
 
pole sana dada.
 
Kwa kweli hawa jamaa ni wabahili wa kiwango cha lami
Yote uliyoyasema ni kweli
Anashinda dukani ugali unatoka home, zamani walikuwa kila mmoja anasafiri kivyake kuendea mzigo, maana hawapendani pia na kila mmoja alikuwa anabeba ugali wake na dumu la maji ya kisima mpaka dar
Wakifika wanaweza kulala hata stesheni
Ila siku hizi waneamua kutuma tajiri mmoja anawanunulia wote
Wamejiongeza pia wana malori yao ya mizigo na wanapambana haswa
Ila mwisho wao mbaya
Utasikia kajiuwa, kauwawa na ndugu au mke kamuwekea sumu
Kwa ubahili sidhani kama kuna watu wanawafikia hawa jamaa
Muulize kama anatoa sadaka ni nadra sana ndio maana wengi hata aongeze biashara awe na maduka kumi bado anakuja kufa vibaya
 
hahahahaaa. hatarii
 
Kelsea unacheka nini😁
Nilikua nawaza hii nguvu ya kutetea wachaga imetoka wapi kumbe kabila lako rafiki yangu. Wachaga wabahili wapo, kunae mmoja pombe tu ndio anaweza tumia hela bila malalamiko lkn mambo mengine anaumia sana kutoa hela yake mpaka huwa namuuliza ni mchaga kweli ama wa kudownload. Ni mbahili sijawahi ona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…