Kwa uzoefu wangu, sehemu zenye Waha wengi ni ngumu sana kufanya biashara

Kwa uzoefu wangu, sehemu zenye Waha wengi ni ngumu sana kufanya biashara

Uko sahihi sana Ndugu Yangu.

Wahaa ni Bahili sana Hapo, Mpare, mchaga aingii kwa Muha hao jamaa ni wabahiri sana
Naweza sema waha.

wanachuana na Muhindi kwa Ubahiri.
Kuna hii mentality kuwa wachaga ni wabahili Huwa bado hainiingii akili kabisa..labda mseme huo ubahili upo angle ipi
 
Mkuu ubahiri ndio chanzo cha utajiri. Ndio maana wachaga, wapare na waha wanatoboa kimaisha kwa sababu ya ubahili wao. Huwezi kutoka kibiashara na kimaisha bila kuendekeza ubahairi mkuu.
Acha kukariri hapa tanzania hakuna kabila linatumia pesa kwenye kula bata namatumiz mengine kuzidi wachaga hio nadharia yakusema wachaga bahiri ni scam
 
kitu nimegundua hao tunaowaona town tukawaita waha, si waha ni warundi.. muha ni mvivu, hapendi kuhama kigoma wala hapendi wahamiaji mkoani kwake, hajui kufuga wala kulima kazi zote anafanyiwa na mrundi ndo kama mtumwa make huku. nimejionea mengi wilaya ya kasulu vijijini
Kwa hii comment yako, umeongea kitu cha umuhimu sana kwa namna rahisi. Nahisi pale usalama wa taifa kama hawana basi wanatakiwa kuwa na kitengo cha ku document behavior na character za makabila ili iwe rahisi kuwatambua wapi ni watanzania wapi sio.

Ulichosema kinaweza kuwa na usahihi, maana ni kweli Warundi ni wachapa kazi sana na hata ukienda kigoma wenyewe wanakuambia watu wanaopiga kazi ni Waburundi na pia ndio ambao wanasifa za ubahili uliotopea kwasababu wanatoka kwenye background ya umasikini.

So nakubaliana na hoja yako, hawa waha wa mjini asilimia kubwa yaweza kuwa ni Waburundi.
 
Japo issue ya ubahali sioni kama ni issue sensitive kujadili kwanini watu ni wabahili, kwasababu asilimia kubwa hii issue ni mindset problem ambayo imejengwa na makuzi.

Asilimia kubwa ya watu waliozaliwa na kukulia kwenye umasikini mkubwa, huwa wengi wao wapo sensitive sana na spending, regardless ana kipato kiasi gani na hii sidhani kama inahusu kabila lolote specifically.

Sema kuna mikoa ambayo level ya umasikini ji mkubwa kuliko mwingine, wao obviously watakuwa ni bahali kupitiliza sababu ya umasikini ulotopea.
 
Kama ningekuwa na uwezo wa kufuta hili kabila ningelifuta aisee hawa jamaa Wana maisha ya kubagua Kwa kuangalia watu wa kabila Lao Tu..
Hilo nimeona Sana huku chamazi ambako nafanya biashara.

Kama unaishi na hao wajinga jitahid uende sehemu nyingine akafanye biashara usijichanganye ukafungua Duka huku walikuzunguka ni waha ambao wanauza bidhaa kama zako, hawa jamaa sio watanzania kabisaa
Ukifungua duka karibu yako umekwisha....Bei wanazopanga utasema wamekatwa kichwa....Mimi nafanya nao biashara Mimi nawauzia kwa jumla Ila nina reja reja pia.

Sasa unakuta mteja wa reja reja anakuja kununua kwangu nikimtajia Bei ananishangaa na kuniuliza mbona fulani unamuuzia ww mzigo lkn kwa reja reja Bei yake iko chini. We unauza juu zaidi yake?
Sasa Mimi kwa kuwa ndio nnao wauzia nakuwa najua faida ya hiyo bidhaa nabaki kushangaza tu.
 
Uko sahihi sana Ndugu Yangu.

Wahaa ni Bahili sana Hapo, Mpare, mchaga aingii kwa Muha hao jamaa ni wabahiri sana
Naweza sema waha.

wanachuana na Muhindi kwa Uba

Ninachowapendea waha na wachaga ni makabila pekee ambayo kijana ukimkabidhi Milioni 3 baada ya miaka mitano anakukabidhi 15M au na zaidi.
Vijana wa makabila mengine ukimpa milioni 3 baada ya Mwaka kauza hadi mbao za fremu. Sababu na visingizio kibao.

Hao watu wana hustle sana. iwe kwebye biashara hata kwenye Elimu hawana masihara.

Mademu wamekuwa wakijaribu kuwapa majina ya kuwatweza wanaponyimwa kuhingwa na kuwapa majina ya Ubahili, roho mbaya lakini hawajali na maisha yao yanainuka siku hadi siku.

Nimejifunza mbinu zao ziko sawa na waarabu na wahundi.
Ila hata hapa mtaani kwetu aisee watu wamejaribu kufungua maduka ya takataka ila wameishia kufunga TU...ni maduka ya waha TU ndo Yana survive
 
Pole mkuu, waha ndio tulivyo nahio dhiki yakwetu ndio tunapambna nayo Ili tuboreshe maisha yetu. Hapana waha hawatekelezi familia bali tunaenda kutafuta huku tukiwa tumeacha familia nyumban, na Ili turudi nyumbani ni either turudi na pesa au irudi maiti.
Aah wapi umejitahidi kujitetea tu ila ndio wanaume wanaoongoza kwa kutelekeza mke na watoto mkifuatiwa na wasukuma
 
Sisi ni bahili nahatutoe pesa hovyo, kwahio kama lengo ni kuhongwa hivyo hovyo kwetu sahau. Kama kula utakula kitachokuwepo lkn kupewa pesa Hilo sahau. Tunajua tukotoka na bahati nzuri zaidi tunajua tunataka kwenda wapi.
hamna uspesho huuuuuoo
 
Kwakweli kwenye hilo wanaongoza nchi tena kwa mbaali, achana na watu wenye ujasiri wa kufulia kwenye sufuria
Mnatuzushia waha, hatuna tabia ya uchafu. Sisi tupo kawaida hatuvai nguo za gharama maana hatuna uwezo nazo, lkn tuko smart na tunaoga nakupaka mafuta ya mgando/Nazi maana ndio uwezo wetu. Lakini kikubwa kuliko yote waha tunajua kuitafuta pesa awe mwanamke au mwanaume na niwavumilivu mno.
 
Back
Top Bottom